The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Ha ha ha kwani kuna ubaya wa copy na kupaste kitu ambacho kinaweza kuthibitishwa kimetoka wapi? Mbona wamiliki wa JF hawajasema lolote kuhusu hilo? Na magazeti ambayo nachukua habari hizo juzi baadhi yao yamepata zawadi kwa kuwa mstari wa mbele katika kupambana na mafisadi. Sasa kuna ubaya gani wa kushare habari hizo na Watanzania wenzangu kwa kuziweka hapa jamvini!?

Hakuna yeyote ambaye anataka kummaliza FMES kwanza siijui hiyo style unayodai inatumika kummaliza FMES. Watanzania tunahoji hata 'Dataz' za JK kama zile za pesa za EPA 69 billioni anazodai zilirudishwa ambazo hazijulikani zimewekwa bank ipi, itakuwa za FMES!!! Kama analeta 'dataz' zake basi WanaJF wana haki ya kuzihoji na kufanya hivyo haina maana ya kutaka kummaliza JF's style, kumchafua au kumdharau bali ni kutaka kuthibitisha ukweli wa 'dataz' hizo.


Duh! Bubu Umetumwa nini!?
 
Mnatuogopesha jamani... kila kitu ni malumbano ya wenyewe kwa tu, kulikoni!!!!!
 
Hakuna yeyote ambaye anataka kummaliza FMES kwanza siijui hiyo style unayodai inatumika kummaliza FMES. Watanzania tunahoji hata 'Dataz' za JK kama zile za pesa za EPA 69 billioni anazodai zilirudishwa ambazo hazijulikani zimewekwa bank ipi, itakuwa za FMES!!! Kama analeta 'dataz' zake basi WanaJF wana haki ya kuzihoji na kufanya hivyo haina maana ya kutaka kummaliza JF's style, kumchafua au kumdharau bali ni kutaka kuthibitisha ukweli wa 'dataz' hizo.

- Huwezi ku-question dataz wakati wewe mwenyewe huna dataz, it is just dead end! Mkuu Yrsmne, niachie form here I got it niachie mwenyewe I ill take care of this, Bubu bring it on!.

Sauti ya umeme, FMES!
 
According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.

According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!

Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili suiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.

Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.

Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.

....More Dataz to Come Soon....

Mkuu ikiwa habari hizi ni za kweli, na ikiwa muungwana kaamua kufanya hivyo, Baaasi, nitaanza kumpenda ghafla. Lakini anamengi bado ya kufanya. Maadamu katika yeye yamefanyika mengi ya kinivunja matumaini na imani yangu kwake, basi anabidi afanye mengi ili kuirudisha imani yangu kwake!
 
Hivi chenge bado yupo mikononi mwa makachero huko london au?
 

Mkuu wiki moja kabla ya kushikwa Yona alikwua akijaribu kupata mkopo wa shillingi Billioni 5 toka Stanbic, benki ikadai aonyeshe source ya jinsi atakavyolilipa, ndugu yangu nasikia mbingu zilitaka kushuka Yona liapoamua kuleta usahidi wa sources zake.

- Kesho yake ule mkono mzito, ukapiga simu kule stanbic na kuamuru wasitishe mkopo mara moja, kesho yake mkulu akachukuliwa.

"Mkono mzito" ana nguvu ya kuamuru Benki binafsi isitoe mkopo ?

"Mkono mzito" alipigiwa simu na benki by next day kwamba "hey kuna Yona hapa anaomba mkopo" ?

Baharia, baharia, mbona hivyo tena ? Ha ha ha ha aa aaaaa!


Alirekodi kwa kutumia peni maalum iliyonunuliwa Eastern Europe, ambayo ina uwezo wa kurekodi maneno na picha, kwa hiyo Mengi ana tepu na video.

Inarekodi "maneno na picha." Halafu inatoa "tepu na video."

Tepu na Video ?

Peni ina video camera. Video camera hiyo haitoi sauti. So, you need tepu na video. Okay. 😀

Tepu na Video!
 
- Huwezi ku-question dataz wakati wewe mwenyewe huna dataz, it is just dead end! Mkuu Yrsmne, niachie form here I got it niachie mwenyewe I ill take care of this, Bubu bring it on!.

Sauti ya umeme, FMES!

Kwa hiyo kama hatuna 'dataz' wewe mwenye 'dataz' hata ukileta 'dataz' ambazo zimekaa kushoto kushoto basi tusihoji chochote tuzikubali tu ...LOL! What an excuse!!! Hebu imagine JK awaambie Watanzania hatuna 'dataz' zozote kuhusu EPA, hivyo hamstahili kuhoji chochote!!!

By the way ile kazi uliyotwambia itakufanya uonekane kwenye magazeti na TV za bongo kwa sana imekuaje? Bado inakusubiri au njemba zimekushtukia?
 
Mnatuogopesha jamani... kila kitu ni malumbano ya wenyewe kwa tu, kulikoni!!!!!

Usiogope chochote MN, hii ndiyo raha ya JF where we dare to talk openly bila kusaza chochote kile.
 
- Alirekodi kwa kutumia peni maalum iliyonunuliwa Eastern Europe, ambayo ina uwezo wa kurekodi maneno na picha, kwa hiyo Mengi ana tepu na video.

Peni yenyewe inaweza kuwa kama hii hapa. Tena nafikiri jamaa anayesema atakuwa Mrusi maana kama Putin anaongea.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=7LxiH9R9VKA[/media]
 
"Mkono mzito" ana nguvu ya kuamuru Benki binafsi isitoe mkopo ?

"Mkono mzito" alipigiwa simu na benki by next day kwamba "hey kuna Yona hapa anaomba mkopo" ?

Baharia, baharia, mbona hivyo tena ? Ha ha ha ha aa aaaaa!



Inarekodi "maneno na picha." Halafu inatoa "tepu na video."

Tepu na Video ?

Peni ina video camera. Video camera hiyo haitoi sauti. So, you need tepu na video. Okay. 😀

Tepu na Video!

LOL!...Kuhani! You're too funny! 🙂
 
Mkuu,

Kwanza kabisa, Chenge hakujiuzulu kutokana na shinikizo la Waingereza. Tufuatilie vitu kwa makini jamani. Shinikizo la Kisiasa lilikuwa nyumbani.

Pia unasema Chenge yumo. Yumo wapi? Kwenye Uchunguzi? Umesikia wapi hilo? Si kuna article ya gazeti lao Waingereza imepostiwa humu, naomba uisome. Na ndefu kidogo (kama ukurasa mmoja ni mrefu) lakini vumilia uimalize kwa sababu ni muhimu kuelewa kinacho endelea. Chenge ni shahidi tu, hawezi kuwa chini ya ulinzi Churchil hotel.

Kuhusu Juridisction ya kum search Chenge, inawezekana alikubali kusachiwa kwa hiari. Ukikubali kwa hiari hawahitaji ku assert jurisdiction. Yeye sio target wa investigation hivyo sio hatari kuwakubalia wam search. "Dataz" zilisema Chenge alileta ubishi akaonyeshwa warrant ya Kikwete. Tukaswalisha hilo. Kikwete hawezi kutoa ruhusu kisiri siri Waziri wake asachiwe.

Halafu ni muhimu kukumbuka political atmospherics zilizo kuwa zinaendelea wakati huu. JK alikuwa ametoka kumteua Chenge dhidi ya shinikizo kubwa la Kisiasa lililotaka amtose. Kwa hiyo ni mtu wake. Angemgeuka vipi Waziri wake kwa kuruhusu search kisiri siri, Waziri ambae JK alikuwa tayari kulipa political price kumlinda?

Kwa hiyo Mkuu, tuna maswali mengi kuliko majibu. Tunauliza kwa sababu sisi sio MwanaHALISI na TanzaniaDAIMA. Tanzania hakuna Media, inabidi tutafute haya mambo na tuyachambue wenyewe tujue nini kinaendelea. Hakuna gazeti lililo mbana Waziri Simba atueleze uchunguzi wa UK unatuhusu nini sisi, au hela za Chenge zilizo patikana Benki za Bongo zilisachiwa na nani na kwa Jurisdiction gani. Hakuna kiumbe kwenye Press ya Bongo ameandika vitu hivyo. Not one. Zero! Zepo! Zilch! Lakini tutafika.

Ahsante Mkuu. Naomba usisahau, mwisho wa siku, letu moja. Ila, wanasema Uhuru unashamiri mawazo yakiwa na Uhasama. Na nadhani wote tumeleteana uhamasa wa mawazo ipasavyo. Baadae!
Mkulu Heshima mbele,
Nimefuatilia hii thread toka mwanzo.Nakushauri, INATOSHA.
Wewe ni mmoja wa members ambao ukiondoa mapungufu ya hapa na pale unaheshima yako,INATOSHA MKUU,angalau hapo ilipofikia.
Kwa suala la Kutoamini kama Muungwana anaweza kumtosa waziri wake...!!! basi huyo ndiyo JAKAYA KHALFAN MRISHO WA KIKWETE,rais wa URT,wengi wetu HATUMJUI kwenye hilo.
 
Wakuu worup! worup! worup!

Maneno ni kumkoma nyani bado tunazifuatilia kwa karibu dataz, more dataz, and more dataz......tutarudi soon stay tuned,

Now let me say this, sina muda na magoi goi wa kufikiri, wanaofikiri bongo ni majuu, bongo mambo yetu huwa tunafanya kibongo bongo tutaendelea kukupa the raw halafu uamue kusuka au kunyoa!

Tutarudi soooon stay tuned hatujamaliza maana we have more dataz than ever before, woooooooooooh!

I love JF!
Mkulu hii game inaonekana inakupa raha kwelikweli.
Kuna wapenzi wa Taarab,Soka,Muziki n.k
ES NI MPENZI WA KUWAKOMA NYANI MAFISADI.
Mkulu naona huu ndio ugonjwa wako.
Kwa kusoma hayo uliyoandika hapo juu,inabidi mtu asikae mbele yako...KWA KUWA MKULU UNA MIDADI........Kwi.. kwi.. kwi..hhhhhhh...
 
Duh sasa Tina unatutisha sasa unataka umpe raha gani FISADI huyo??unataka mle wote za RICHMOND?mmh wabongo bwana unakimelea cha ufisadi nini??mfatilie anaweza kukukonyeza.
Tina alikuwa alikuwa ndani anapika, aliposikia jina mamvi...huyo...katoka.....angalia asije AKAKOPA
 
Kelele za mlango huwa hazisumbui mtu kulala ndani ya nyumba,

wakuu niko busy maana nina ugeni mkubwa sana wa viongozi wa taifa,

kwa hiyo samahani wakuu sina muda wa kujadili pua, maana niko busy ninakula darasa la siasa ya taifa letu.

Andikeni points muhimu kusudi niwaonyeshe hawa wakuu wa taifa, maana siwezi kuwaonyesha hizi pumba!

See you later and have a nice day!


Master illusionist or loyal messenger, the intended mission is but one to net the nettable and boy, are there plenty of fish in the vast oceans ? No wonder CCM thrives amidst all the filth surrounding it. As Nyani ngabu would nail it right on the head - Ndivyo tulivyo !!.
 
JF has finally enter a silly season, ni kawaida lakini kuna wakati JF inaingiliwa na shetani mmoja ambaye lengo lake kubwa ni kuleta distraction. Members tunaacha kujadili issues kutokana na dataz, matokeo yake tunaaza hoja za uchwara, na kuonesha uchwara wa hoja. Good thing is silly season always fades away so quickly
 
- Huwezi ku-question dataz wakati wewe mwenyewe huna dataz, it is just dead end! Mkuu Yrsmne, niachie form here I got it niachie mwenyewe I ill take care of this, Bubu bring it on!.

Sauti ya umeme, FMES!

Kwa utii mkubwa FMES,

Unaweza kwa kuonyesha contradictions kwenye hizo dataz zenyewe, kwa mfano.

Na mtoa dataz ni vizuri asimkasirikie aliyefanya hivyo, kwa sababu ku-question huko kunaweza kukawa hakutoshi kuonyesha dataz hizo ni za uongo. Ila tu kwamba maelezo ya zaidi yanahitajika ili dataz hizo ziaminike zaidi.
 
Si ndio hapo sasa!! jamaa wanachekesha sana....na wataua hiki kijiwe kwa hii tabia ya makundi makundi na ku-gang up against watu..🙁

Hakuna makundi hapa JF watu wanahaki ya kuhoji habari zozite zinazowekwa hapa na kusema kwamba kuhoji ni kuonyesha makundi ndani ya JF ni kutaka kuwanyima wanachama wa JF haki yao ya kuzungumza bila kuonekana kwamba wana makundi, wanataka kumchafua mtu, hawamheshimu mtu. Acha hizo kaka huu ni mwaka 2008 nasiyo mwaka 47 waache watu wawe huru kuhoji chochote kile wanachoona kuna haja ya kukihoji zaidi.
 
1.
Kwa hiyo kama hatuna 'dataz' wewe mwenye 'dataz' hata ukileta 'dataz' ambazo zimekaa kushoto kushoto basi tusihoji chochote tuzikubali tu ...LOL! What an excuse!!! Hebu imagine JK awaambie Watanzania hatuna 'dataz' zozote kuhusu EPA, hivyo hamstahili kuhoji chochote!!!

- Mkuu najua kwamba nimekuudhi sana kutokana na kumpiga mawe mtu wa pwani mwenzako, lakini I loove this game, ninaruida hivi kama huna dataz huwezi ku-question dataz, unless una dataz zinazozidi dataz, kwenye hili sina la kukusaidia, anytime ukiona nimeleta dataz za uongo lete za ukweli, otherwise unaweza kuendelea kulia lia hapa siwezi ku-help, na nitaendelea kuleta dataz hapa kama kawaida, maana nyinyi watu .5% hamuwezi kuwaamulia wananchi 99.95% wasipate dataz,

- Acheni ubinafsi na udini wenu hapa, pelekeni huko kwenu huu ni uwanja wa taifa wananchi wanakula elimu ya bure ya taifa lao, na dataz muhimu za taifa lao, mmegeuka vimbwenelehi kulia lia na ukuta, mimi ni moto wa kuotea mbali nitawaunguza!


2
. By the way ile kazi uliyotwambia itakufanya uonekane kwenye magazeti na TV za bongo kwa sana imekuaje? Bado inakusubiri au njemba zimekushtukia?

- Mambo yote yako ontrack, ninaendelea kama kawaida, maana kama nilivyokuambia 80% ya magazeti unayopaste paste hapa JF yana habari zangu, sasa uamuzi ni wako kula Raw dataz hapa JF, au kula purified dataz kwenye magazeti, lakini I am all over na ninaendelea vizuri sana tena sana. In fact kuna TV mpya ya mshikaji wangu mmoja huenda soon ikajitolea kutoa some majadaliano ya hapa JF, hii nakupa hint tu maana sio level yako ni ya juu mno kwako.

Thanxs Guy!
 
"Mkono mzito" ana nguvu ya kuamuru Benki binafsi isitoe mkopo ?

"Mkono mzito" alipigiwa simu na benki by next day kwamba "hey kuna Yona hapa anaomba mkopo" ?

Baharia, baharia, mbona hivyo tena ? Ha ha ha ha aa aaaaa!
Inarekodi "maneno na picha." Halafu inatoa "tepu na video."

Tepu na Video ?

Peni ina video camera. Video camera hiyo haitoi sauti. So, you need tepu na video. Okay.

Tepu na Video!

- Ndio maana ukaitwa mkono mzito maana siku moja ulisimamisha interview ya Lowassa kwenye TV, the rest of your cry ni irrelevant na inaonyesha uwezo mdogo sana wa kufikiri kama sio kuelewa,

wakuu vipi mbona hakuna challenge hapa naona vilio tu vipi? Bubu nipo sasa now bring it on tumkome nyani!
 
Back
Top Bottom