Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 5,953
- 11,230
VIJISENTI PESA ZA WALALA HOI????
According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.
According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, Muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!
Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.
Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.
Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.
....More Dataz to Come Soon....
Unaturusha roho mkuu! umri umekwena haya mambo yanahitaji kukaa juu ya stuli ndefu ndo uyapokee! This stuff is too old tupeni current issues naona tume msahau kabisa vijisenti