The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Kijana mdogo una habari kuwa wakati unamtetea ni majuzi tu ameihamishia Richimonduli/Dowans kwa Manji? Sasa Manji anaendelea kukusanya hela za Tanesco kwa niaba ya Rostam! je unayajua haya kuwa sasa Manji na Rostam, wameamua kuinunua hata Ze Comedy, ili kuipunguza makali ya kuwasema mafisadi kwenye comedy zao? Sasa wakati mafisadi wanafanya haya wewe unafanya nini mwananchi wewe? Eti unawaogopa? Kwa visingizio vya viwango? Sasa unataka wote tuwe hivyo? kama wewe?

Hii hoja ni kali. Ngoja niperuzi kwenye threads huenda nashangaa kwenye mataa.
 
Sidhani habari nzima ni kweli. Polisi wa Uingireza hawezi ku execute search Warrant ya Kitanzania na Rais wa Tanzania hawezi ku sign Search Warrant ya Kiingereza. Tumeambiwa "Dataz" zimesema Kikwete aliandika na ku sign Search Warrant. Stori imepinda!



Right! Unatofautiana na mwenzio, Mkuu mwenye "dataz." Tumeonyesha sheria ya hicho unachokisema hapo (pitia pitia matundiko ya nyuma kidogo). Tatizo la "dataz" ni kwamba zimesema Chenge alileta ubishi akaonyeshwa Search Warrant iliyoandikwa na ku sainiwa na Kikwete (na ni kichekesho kusema mtu anaandika na ku sign warrant yeye mwenyewe - inakuonyesha mtoa "dataz" alivyo pitwa na vitu kidogo - just to put it mildly. Unaanza ku doubt kama anajua anacho kisema. Kwa hiyo, ongea na mtoa "dataz" wako mrekebishane.



Hatujabisha hilo, ila wengine wakauliza, very trenchantly, nini ni newsy kuhusu Chenge kwenda London? Mkasema, ooooh, kaonekana na Pingu. Wait a minute now, Chenge sio target wa Investigation, how come akamatwe? Ndio ikaonekana maswali haya hayana dataz ila yana logic, na hatuendi na logic hapa JF (yet another kituko)! Kwani sisi ndio tumeleta "dataz" au tunaswalisha veracity ya hizo "dataz" alizo zileta Mkuu kuona kama kuna mantiki?



"Vijisenti" na Mafisadi wenzake watamalizwa, Tanzania - if at all - sio UK. Huko wao sio target wa wrongdoing. Vyanzo vya habari vyenu hatujavikataa, tumeviswalisha. Vyombo vingine vinasema, sio tu kwamba Chenge sio target, ila pia hajashitakiwa mtu bado, sasa atakamatwaje mtu?

Sasa hapa tunafanya stringent vetting kuliko MwanaHALISI na Tanzania Daima kwa sababu tumewaalika waandishi wa Bongo waje kujifunza Journalism hapa. Tuta maintain viwango vya juu kuliko Nyegezi na UDSM tulipo waomba wa drop out! Hapata geuka MwanaHALISI hapa kama mchangiaji mmoja alivyo onya.

BAE corruption investigation switches to Tanzania


· Focus on £28m radar deal with East African state

* The Guardian, April 12 2008.
* David Leigh and Rob Evans

Following the uproar over its halted Saudi investigation, the Serious Fraud Office is expected to decide whether to bring fresh corruption charges against arms manufacturer BAE within six weeks, over a second arms deal, this time with Tanzania.

A minister from the east African state has denied that more than $1m (£507,500) in his offshore accounts came from BAE.

Investigators involved in a three-year inquiry after the controversial deal to sell Tanzania a £28m radar system identified the money in Jersey accounts controlled by the poverty-striken country's infrastructure minister, Andrew Chenge.

Investigators say Chenge could be a valuable witness. The target of their investigation is not him but BAE. The arms company made the commission payments to a local agent in Tanzania to promote the £28m radar sale, through an elaborate chain of offshore companies and a Swiss bank.

The agent has now left the country and is wanted by Interpol.

...The Guardian subsequently disclosed that £1bn had been paid into accounts controlled by Prince Bandar during the deal. Bandar says the payments were not improper.

The Tanzania deal, although smaller in cash terms than the Saudi deals, is equally controversial: Tanzania is one of the world's poorest countries, and the UK government is paying more than £100m this year to help the heavily-indebted country's budget.

It was Blair again who forced the radar deal through the British cabinet, despite protests from the then international development secretary, Clare Short. She said the sale, for which Tanzania had to borrow yet more from a commercial bank, was corrupt and "stank".

A lengthy SFO investigation in the UK subsequently discovered that 31% of the deal's contract price had been diverted via Switzerland.

BAE transferred the money to a subsidiary, Red Diamond Trading, registered anonymously in the British Virgin Islands.

Red Diamond then moved the cash to a Swiss account in the name of a Panama company, Envers Trading Corporation. This entity had two Panamanian nominee directors. But it was secretly controlled by a Tanzanian middleman, Shailesh Vithlani, according to Dar es Salaam court papers.

Investigators are now checking whether Vithlani arranged to pass any money in turn to Tanzanian politicians and officials.

Sources said the bank in Jersey had promptly frozen transactions and filed a suspicious activity report when the Tanzanian inquiries began.

Vithlani, who is of Indian extraction but holds a British passport, is listed as wanted by Interpol.

Simply superb Kuhani Mkuu! 😀 Its been long coming to finally hear a genuine voice of reason and rationality instead of the usual gossip, half truths and cheap sensationalizations peddled by individuals basking in their own self glory.
 
Mchelea Mwana,

"Vijisenti" hawezi kuwa na kosa la kujibu UK. Hajawatenda UK kosa. Na Uingereza haina nguvu ya kisheria, haina jurisdiction, juu ya Chenge. Wana dili la watu wao BAE kwa sababu ni kampuni iliyo sajiliwa UK, inabanwa na Sheria za UK. Chenge kama raia wa TZ habanwi na Sheria ya UK isipokuwa kama ametia mguu UK, au amewatenda kosa UK.

Na hela za Chenge hazija freeziwa na Wachunguzi. Hela zime freeziwa na Benki ya Jersey baada ya Uchunguzi wa Tanzania kuanza, na sio kufuatia uchunguzi wa UK. Benki huwa zina taratibu za kushirikiana na vyombo ya dola kudhibiti uhalifu ili kujijengea sura, kama sio kwa kwa shuruti ya sheria ya nchi iliyo sajiliwa.

Ile taarifa niliyo post imesema:

Sources said the bank in Jersey had promptly frozen transactions and filed a suspicious activity report when the Tanzanian inquiries began.

Kwa hiyo, Chenge inabidi tummalize sisi wenyewe. Prosecutors wa UK hawataki kutusaidia sisi katika hili. Wanatafuta samaki wakubwa, BAE. Na wasingeweza - hata wangetaka- kutusaidia kwa sababu ya mipaka ya dola na sheria.


Mkuu,

Maneno yako hapo juu sio sahihi kabisa. Hapa kosa ni la BAE na kweli wanachunguzwa na UK kwasababu ni kampuni iliyosajiliwa UK. Ila wanaochunguzwa ni raia wa dunia nzima, ndio maana Chenge yumo, watu wa SA wamo, Saudi wamo.

Kusema UK hawana jurisdiction na Chenge ni kukosea, ingelikuwa hivyo asingelikuwa searched, wala asingejiuzulu maana hata hivyo visenti vyake visingelijulikana, leo
hii asingelikuwa Churchil Hotel chini ya ulinzi.

Mnaosema kaja kwenye mambo ya kifamilia basi nendeni pale mkamwone na muone kama mtaruhusiwa kumwona.

Hili la Chenge fundisho kubwa, hata kama JK na serikali yake watazembea kushughulikia mafisadi lakini kuna vyombo vingine vya dunia vinaweza kuwaumbua.

Jambazi ni jambazi tu, eti wakoloni, leo wakoloni wanapekua mpaka chupi za mkewe, aibu gani hii jamani.
 
According to more dataz....haya mahojiano yanafanyikia pale pale uliposainiwa mkataba wa Buzwagi........!

Bado tunaendelea kuzifuatilia kuona leo kuna nini....stay tuned!
 
Simply superb Kuhani Mkuu! Its been long coming to finally hear a genuine voice of reason and rationality instead of the usual gossip, half truths and cheap sensationalizations peddled by individuals basking in their own self glory.

Mkuu wewe endelea kushikilia this kind of mentality, za genuine na rationality, na kubadili majina lakini kwa taarifa yako ni kwamba mafisadi hawana genuine wala rationality, wao ndio kwanza wanatuibia taifa kiroho mbaya, bila logic wala sheria:-

1. Ndio kwanza Dowans imehamishiwa kwa Manji, lakini kwa wale tulio macho na taifa letu bila ya kujali genuine wala rationality tayari tunawasiliana na wabunge ili Manji aubebe mzigo wa ufisadi ule ule wa Richimond na wabunge karibuni utawasikia wakitaka aende jela.

2. Ndio kwanza imefahamika kuwa Chnege, anazo dola millioni 13 hapa bongo, sasa mkuu hebu tumabie hizi genuine zako na rationality jinsi zinvyoweza kuwa applied hapa kwenye waziri kuwa na hela zote hizi tena kwenye benki zetu za local?

3. Sasa Rostam na Manji, wameinunua mpaka Ze Comedy ili kuipunguza makali, lakini tayari linatengenezwa kundi jipya la Comedy na wenye uchungu na nchi linakuja Ze Comedy watachekesha na mafisadi watapigwa tu kiroho mbaya bil a genuine wala rationality, maana wao wanapotufisadi taifa huwa hawatumii hizi genuine zako wala rationality,

Ndio maana tunasema kuwa kwenye kumkoma nyani huwezi kutumia genuine wala rationality, maana utaishia kumuonea huruma, wanaotuibia taifa hawatumii genuine wala rationality, ila wanatumia ufisadi tu, lugha wanayoielewa ni moja tu nayo ni ya kumkoma nyani keep your genuine na rationality, sisi ni kumkoma nyani tu tena kiroho mbaya!

Ndio maana tunataka kuweka ule mkanda wa kutoka bungeni hapa ili uone jinsi wabunge walivyomkoma nyani siku ile bila kujali genuine wala rationality, au self glorification, lakini walimkoma nyani mpaka Lowassa, Karamagi, na Msabaha wakaachia ngazi, it about time sasa ukaelewa kuwa uko kwenye the wrong side of the glass bro na majina yako mapya kila unapojaribu kupingana na forum, ni lini utakuwa kama sisi wenye jina moja tu mkuu!
 
The Following 35 Users Say Thank You to Field Marshall ES For This Useful Post:
Augustoons (17th May 2008), Azimio Jipya (17th May 2008), Belo (Yesterday), Bowbow (17th May 2008), Bubu ataka kusema (17th May 2008), Bubu Msemaovyo (Today), Dua (17th May 2008), freetown (17th May 2008), Halisi (17th May 2008), ibambasi (Today), Indume Yene (17th May 2008), injinia (17th May 2008), Kakalende (17th May 2008), kakindomaster (17th May 2008), Kamende (17th May 2008), Kasheshe (Yesterday), Kinyamana (17th May 2008), Kocha (Yesterday), Kuntakinte (17th May 2008), mfwatiliaji (17th May 2008), Mkandara (17th May 2008), Mpita Njia (17th May 2008), Mtanzania (17th May 2008), Mtu wa Pwani (17th May 2008), Mwakilishi (Today), Mzee Mwanakijiji (17th May 2008), Nurujamii (17th May 2008), Nyangumi (Yesterday), Omutwale (Today), phillemon mikael (17th May 2008), power to the people (Today), Rev. Kishoka (17th May 2008), Richard (17th May 2008), SteveD (17th May 2008), wambandwa (Yesterday)

Again, Heshima mbele kwa wajumbe wote hapo juu kwa your strong support on this topic, ninasema kuwa I am humbled na tuko on the same page nacho ni ukombozi wa taifa letu! Inaelekea kuwa very soon kitaanza kueleweka!

Mungu Awabarikie Wote na JF Mbele Zaidi!
 
Maneno yako hapo juu sio sahihi kabisa. Hapa kosa ni la BAE na kweli wanachunguzwa na UK kwasababu ni kampuni iliyosajiliwa UK. Ila wanaochunguzwa ni raia wa dunia nzima, ndio maana Chenge yumo, watu wa SA wamo, Saudi wamo.

Kusema UK hawana jurisdiction na Chenge ni kukosea, ingelikuwa hivyo asingelikuwa searched, wala asingejiuzulu maana hata hivyo visenti vyake visingelijulikana, leo hii asingelikuwa Churchil Hotel chini ya ulinzi.

Mkuu,

Kwanza kabisa, Chenge hakujiuzulu kutokana na shinikizo la Waingereza. Tufuatilie vitu kwa makini jamani. Shinikizo la Kisiasa lilikuwa nyumbani.

Pia unasema Chenge yumo. Yumo wapi? Kwenye Uchunguzi? Umesikia wapi hilo? Si kuna article ya gazeti lao Waingereza imepostiwa humu, naomba uisome. Na ndefu kidogo (kama ukurasa mmoja ni mrefu) lakini vumilia uimalize kwa sababu ni muhimu kuelewa kinacho endelea. Chenge ni shahidi tu, hawezi kuwa chini ya ulinzi Churchil hotel.

Kuhusu Juridisction ya kum search Chenge, inawezekana alikubali kusachiwa kwa hiari. Ukikubali kwa hiari hawahitaji ku assert jurisdiction. Yeye sio target wa investigation hivyo sio hatari kuwakubalia wam search. "Dataz" zilisema Chenge alileta ubishi akaonyeshwa warrant ya Kikwete. Tukaswalisha hilo. Kikwete hawezi kutoa ruhusu kisiri siri Waziri wake asachiwe.

Halafu ni muhimu kukumbuka political atmospherics zilizo kuwa zinaendelea wakati huu. JK alikuwa ametoka kumteua Chenge dhidi ya shinikizo kubwa la Kisiasa lililotaka amtose. Kwa hiyo ni mtu wake. Angemgeuka vipi Waziri wake kwa kuruhusu search kisiri siri, Waziri ambae JK alikuwa tayari kulipa political price kumlinda?

Kwa hiyo Mkuu, tuna maswali mengi kuliko majibu. Tunauliza kwa sababu sisi sio MwanaHALISI na TanzaniaDAIMA. Tanzania hakuna Media, inabidi tutafute haya mambo na tuyachambue wenyewe tujue nini kinaendelea. Hakuna gazeti lililo mbana Waziri Simba atueleze uchunguzi wa UK unatuhusu nini sisi, au hela za Chenge zilizo patikana Benki za Bongo zilisachiwa na nani na kwa Jurisdiction gani. Hakuna kiumbe kwenye Press ya Bongo ameandika vitu hivyo. Not one. Zero! Zepo! Zilch! Lakini tutafika.

Ahsante Mkuu. Naomba usisahau, mwisho wa siku, letu moja. Ila, wanasema Uhuru unashamiri mawazo yakiwa na Uhasama. Na nadhani wote tumeleteana uhamasa wa mawazo ipasavyo. Baadae!
 
habari za ndani kabisa ni kwamba chenge amemchagua wakili mmoja maarufu wa moshi ili amtetee wakati suala lake litakapofika katika mahakama za tanzania.

siwezi kumtaja kwa sasa kwa sababu za maadili ya kazi ila mambo yatakapoiva mtajulishwa.
Stay turned!!
 
Kwa wale wanaobeza kwamba Muungwana hana uwezo wa ku-issue search warrant wamenoa kwa ngazi ya waziri unadhani ni nani anaweza kutoa amri hiyo ikiwa Rais ndiye aliye muweka madarakani kwanini asitoa amri ya kum-search. kwa taarifa yako kama una mtuhumiwa wako kama akikimbia na kwa bahati ukamuona unaweza kumkwida "tanganyika jeki" hadi polisi kitu ambacho wengi huogopa wakidhani ni makosa kufanya kazi ya polisi sembuse Rais.
 
Huyu jamaa, Chifu wa wasukuma wa Ntuzu Bariadi ana Nyodo na si shangai kama kweli aliwaambia wazungu namna hiyo.
"Hivi unajua Chenge wakati akikusalimia anakupa ncha ya vidole vyake na kuusukuma mkono wako - kwamba Jaga no buhabi bwako - yaani nenda na umaskini wako, na akikponda zaidi anakupa mkono wa kushoto akijifanya mkono wa kulia upo bussy kuonea na simu." anasema Muungwana mmoja ambaye anadai kumfahamu Bwana Mkubwa huyu.

Lakini yote ni yote tisa, kumi ni kwamba hawa jamaa, hivyo vijicent afadhali basi wangekuwa wana invest kwenye miradi inayotoa ajira lukuki na kutoa huduma kwa wananchi angalau dhambi ya ufisadi ingepungua. lakini sasa naona wanafurahia kuvitazama tu.
Lakini fisadi ni fisadi tu, Muungwana Mkubwa anapaswa kutupasha juhudi hizi anazofanya katika kuikomboa nchi hii matopeni.
 
Mkuu,

Maneno yako hapo juu sio sahihi kabisa. Hapa kosa ni la BAE na kweli wanachunguzwa na UK kwasababu ni kampuni iliyosajiliwa UK. Ila wanaochunguzwa ni raia wa dunia nzima, ndio maana Chenge yumo, watu wa SA wamo, Saudi wamo.

Kusema UK hawana jurisdiction na Chenge ni kukosea, ingelikuwa hivyo asingelikuwa searched, wala asingejiuzulu maana hata hivyo visenti vyake visingelijulikana, leo
hii asingelikuwa Churchil Hotel chini ya ulinzi.

Mnaosema kaja kwenye mambo ya kifamilia basi nendeni pale mkamwone na muone kama mtaruhusiwa kumwona.

Hili la Chenge fundisho kubwa, hata kama JK na serikali yake watazembea kushughulikia mafisadi lakini kuna vyombo vingine vya dunia vinaweza kuwaumbua.

Jambazi ni jambazi tu, eti wakoloni, leo wakoloni wanapekua mpaka chupi za mkewe, aibu gani hii jamani.

Hii nyeti nilipewa kuwa jamaa alivyofuatwa kupekuliwa akasema yeye ni mtu na heshima zake hawezi kupekuliwa na wakoloni lol..little that he knew....!!
 
Mkuu Kuhani

Labda kutokana na logic zako, Chenge yuko Tanzania au yuko Wapi?, Nafikiri unatakiwa urudi nyuma usome vizuri, duku duku lao limejibiwa na wengi sana humu humu. Kama wewe una data zaidi tuwekee basi usiendelee kutumia nguvu.
 
eeh Mungu wasamehe wote waliompokea kwa mbwembwe maana hawajui watendalo. mwenyewe alikuwa anawacheka moyoni. hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo
 
Tanzania sasa hivi tunahitaji mtu mwenye guts ambaye anaweza kuamua kufanya jambo hata kama wanaoumia ni watu wake wa karibu sana au ndugu kwa sababu viongozi wote wameoza. Kikwete kama ameamua kuwa hivyo wananchi tuko nyuma yake kwa kuwa tunaoumia ni sisi.
 
Kuna mambo ya msingi sana ambayo Kuhani Mkuu ameyahoji ambayo kuna haja ya kuyajibu. Kwa mfano, mosi, Chenge yupo London kutoa ushahidi au kawa arrested? Pili, kulikuwa na haja kweli JK kutoa search warrant yeye mwenye personally, hakuna vyombo vingine vya kufanya hili? Tatu, ok, kama JK alitoa hiyo search warrant, ilikuwa ni lazima kweli aitoe kisirisiri, si Chenge alikuwa waziri wake, aliyemteua yeye mwenyewe bila shinikizo tena kinyume kabisa na maoni ya wananchi walio wengi, au JK alikuwa na anamuogopa Chenge? Sasa kwa nini amuogope? Hapa ndipo nami nakubaliana na Kuhani Mkuu kuwa bado kuna maswali mengi zaidi kuliko majibu.

Simplicity is the enemy of truth!
 
Hapo sio suala la jurisdiction na wala msichanganye mambo hapa,maana nishaanza kuona mabush lawyers kibao,msichanganye extradition na mutual assistance in criminal matters,assistance nyingine huwa zipo hata bila kuwa na treaty ni kiasi cha nchi husika kuomba tu kwa nchi inayohusika kumchunguza mtu fulani au aende kutoa ushahidi.Extradition hutokea tu pale ambapo mtu ameshatenda kosa na kakimbia toka nchi moja kwenda nyingine na anatakiwa huko.Hebu angalia hapa
"International Co-operation

International fraud prevention
To combat fraud, criminal justice authorities around the world share information and use their national powers to help each other.

Approximately 65% of our cases have an international dimension. National borders rarely prove to be barriers to determined fraudsters. Money is channelled through overseas banks and offshore companies, victims can reside anywhere in the world and suspects and evidence can hide behind the laws of different jurisdictions. The unscrupulous try to exploit the size and reputation of the UK financial markets to disguise their criminal activities and launder the proceeds of their crimes.

We liase with authorities in many national jurisdictions and also with supranational bodies such as OLAF, the anti-fraud office of the European Union. http://europa.eu.int/olaf.

Mutual Legal Assistance
At the SFO, we have a unit devoted to handling incoming international requests for mutual legal assistance in cases of serious or complex fraud.

Working relations with our counterparts in other countries are often formalised under a Mutual Legal Assistance Treaty. This means that authorities in different countries can call on each other's resources and powers to conduct investigations in their own jurisdictions.

We may assist foreign authorities using our investigative powers under Section 2 of the Criminal Justice Act 1987. To receive this kind of help, an overseas authority must first make the request for assistance to the UK Central Authority at the Home Office. If they refer the case to us we will examine it in detail to judge whether we can assist".source:http://www.sfo.gov.uk/international/international.asp

Kuhusu jk kusign warant hilo linawezekana kwani yeye ndiye mkuu wa Intelligence Unit ya Tanzania,ukiacha mkuu wa usalama,yeye ndio top wa yote hivyo anayo mamlaka ya kuwaruhusu SFO kufanya lolote chini ya sheria ya kinga na madaraka ya Rais na pia inayoanzisha Tanzania Intelligence Services.
 
Haya pateni na hii:
Mutual legal assistance and overseas liaison
The SFO has continued to encourage and develop better relations with overseas colleagues both by undertaking training visits abroad and in hosting visits to the UK.
The SFO has continued to develop mutual legal assistance work undertaken on behalf of foreign prosecutors. In these cases it is now increasingly common for us to work in a genuinely investigative role rather than merely providing documentary evidence such as bank details. As a result of our growing international reputation our international colleagues now approach us at an earlier stage to seek advice and assistance on the most appropriate ways of gathering the evidence they seek. Whilst this approach places additional strains on limited resources, it also allows us to develop closer and more effective relationships which in turn benefit our own enquiries overseas.

This work complements the regular contact the SFO has with OLAF (Office Européen de Lutte Anti-Fraude) in respect of frauds on the EU, and with Eurojust in support of investigations carried out by our European counterparts. The increasingly international nature of fraud means that effective liaison with overseas colleagues is essential. The work of Eurojust, to facilitate greater co-operation and to foster joint working, represents a major advance in dealing with such cases.

In addition, the SFO has continued to encourage and develop better relations with overseas colleagues both by undertaking training visits abroad and in hosting visits to the UK. This year we have been involved in providing training to the Public Prosecution Office of Oman and the United Nations Asia and Far East Institute for the Prevention of Crime and the Treatment of Offenders. The Director has also visited Slovakia, at the invitation of the British Ambassador, to meet with senior Slovakian officials and to seek to develop effective working relations in advance of Slovakian accession to the EU. We have also hosted overseas colleagues from the following countries/institutions:

Guatemala, Home Office;
Kenya, Director of Public Prosecutions;
Kenya, Ministry of Finance;
Mauritius, Financial Services Commission;
Nigeria, Anti-corruption Bureau;
Poland, Financial Investigation Unit;
Poland, Securities and Exchange Authority;
Serbia, Chief Prosecutor;
Slovakia, various authorities (through the British Association for Central and Eastern Europe);
South Korea, Independent Commission against Corruption;
Sweden, Economic Crimes Bureau;
Tanzania, Prevention of Corruption Bureau;
Uganda, Commercial Court;
United Arab Emirates, Central Bank;
as well as multi-national group visits from organisations in Latin and Central America, Central Asia and South Caucuses and from the International Criminal Court in the Hague.

The challenges ahead
Overseas corruption
The Anti-Terrosim Crime and Security Act 2001 makes the bribery and corruption of overseas officials by UK nationals or companies a criminal offence.

It is important to ensure that any allegations of overseas corruption are reported and investigated, and prosecuted where the evidence justifies it. We liaise with the Metropolitan Police and City of London Police, as well as the Crown Prosecution Service, since such cases will often come within our criteria for acceptance, involving as they do complex commercial transactions and the need to obtain evidence overseas. They require the multi-disciplinary approach which is central to our way of working. Again, this is an area in which we expect to work closely with the City of London Police
Je,bado mnabisha kwamba SFO hawana jurisdiction ya kumsearch mtu Tanzania?je hao PCCB waliendaje huko UK au wanashirikiana na UK kwa mkataba upi?kumbukeni kuna sheria kama Anti-terrorism Act,Money Laundering Act,National securities Act,Intelligence Act,Mutual Assistance in criminal matters Act, Enforcement of foreign judgement Act na extradition Act zote hizi zinaanzisha avenue tofauti juu ya kushugulikia jinai za kimataifa,sio kila kitu lazima iwe extradition.Mpo hapo wakuu?tuendelee na mjadala na wenye data zaidi juu ya uwepo wake hapa UK tupeni.
 
Mkuu wewe endelea kushikilia this kind of mentality, za genuine na rationality, na kubadili majina lakini kwa taarifa yako ni kwamba mafisadi hawana genuine wala rationality, wao ndio kwanza wanatuibia taifa kiroho mbaya, bila logic wala sheria:-

1. Ndio kwanza Dowans imehamishiwa kwa Manji, lakini kwa wale tulio macho na taifa letu bila ya kujali genuine wala rationality tayari tunawasiliana na wabunge ili Manji aubebe mzigo wa ufisadi ule ule wa Richimond na wabunge karibuni utawasikia wakitaka aende jela.

2. Ndio kwanza imefahamika kuwa Chnege, anazo dola millioni 13 hapa bongo, sasa mkuu hebu tumabie hizi genuine zako na rationality jinsi zinvyoweza kuwa applied hapa kwenye waziri kuwa na hela zote hizi tena kwenye benki zetu za local?

3. Sasa Rostam na Manji, wameinunua mpaka Ze Comedy ili kuipunguza makali, lakini tayari linatengenezwa kundi jipya la Comedy na wenye uchungu na nchi linakuja Ze Comedy watachekesha na mafisadi watapigwa tu kiroho mbaya bil a genuine wala rationality, maana wao wanapotufisadi taifa huwa hawatumii hizi genuine zako wala rationality,

Ndio maana tunasema kuwa kwenye kumkoma nyani huwezi kutumia genuine wala rationality, maana utaishia kumuonea huruma, wanaotuibia taifa hawatumii genuine wala rationality, ila wanatumia ufisadi tu, lugha wanayoielewa ni moja tu nayo ni ya kumkoma nyani keep your genuine na rationality, sisi ni kumkoma nyani tu tena kiroho mbaya!

Ndio maana tunataka kuweka ule mkanda wa kutoka bungeni hapa ili uone jinsi wabunge walivyomkoma nyani siku ile bila kujali genuine wala rationality, au self glorification, lakini walimkoma nyani mpaka Lowassa, Karamagi, na Msabaha wakaachia ngazi, it about time sasa ukaelewa kuwa uko kwenye the wrong side of the glass bro na majina yako mapya kila unapojaribu kupingana na forum, ni lini utakuwa kama sisi wenye jina moja tu mkuu!

If anything, the lack of slightest relevance of what you've now posted above in relation to your original claims about Chenge is proof positive that reason and rationality aren't among your strongest mental attributes.

Kwa kifupi sioni ni namna gani hayo yote uliyoanika hapo juu yanahusiana vipi na hoja yako ya awali kuhusu Chenge kusachiwa na makachero wa UK kutokana na warrant unayodai kusainiwa na JK, pamoja na habari za "kusisimua" kuhusu Chenge kwenda UK etc. ?
 
Working relations with our counterparts in other countries are often formalised under a Mutual Legal Assistance Treaty. This means that authorities in different countries can call on each other's resources and powers to conduct investigations in their own jurisdictions.

kuna wakati waziri mmoja wa Jk alisema Chenge anachunguzwa na serikali hii hii ya Kikwete, ila hakutamka ni chombo gani kinamchunguza(watu hapa JF walikuja juu wakadai waziri anayeyusha). sasa nikiconnect dots kwa mujibu wa paragraph hiyo niliyoquote, naweza kuanza kutambua kuna kitu Kikwete anakifanya hapa. kwa sababu quote imeelezea wazi kwamba mamlaka mbalimbali duniani zinashirikiana resources ili kufanya jurisdiction zao, kwa hiyo huenda PCCB inashirikiana na hawa SFO.
 
Back
Top Bottom