The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Mkuu heshima mbele sana,

Anyways kwa hapa JF sitarudia tena hiyo imetoka it is over, nimnekua under big pressure kwa muda sasa kuwa nitoke, kutoka kwa wenye biashara ya habari bongo, hasa mkulu wa ippmedia, ambaye nina-deal naye sana on daily bases, kwa hiyo hapa I am out, sitarudi tena.

Mengi siwezi kusema hapa maana najua PM yangu iko under 24 hours watch, ninajua wewe ni nani nipigie kwenye 888-888-8888, au 111-111-1111 nitakupa all the stuff, na pia next week nitakwua na dataz kwenye Raia mwema, halafu ngoja nikupe siri mabya unajua hizi arcticle za media bongo unazoleta hapa JF 70% ni mimi ninayezichora kule bongo?

Au niwekee namba nitaku-beep, later,

Respect!

To Wote and particularly Mods,

Hapa kwenye nukuu naona BAK (kama nakosea naomba kurekebishwa) katoa content ya PM kutoka kwa FMES.

Nadhani hii si kitu kizuri na ni aina fulani ya utoto..Hii si tu ni ku-violate mutual consent na privacy kwa ujumla, bali BAK anadhihirisha yaliyoko moyoni mwake na yeye ni mtu wa namna gani (zero credibility).

Nafikiri pia hii ni angalisho kwa members wote kuwa macho na baadhi ya watu tunaokutana hapa jamvini na kuanza kutumiana PM. Kuna kila dalili kuwa kuna watu hawana 'vifua' na sijui ndo ujinga, upumbavu au vyote kwa pamoja.


Napendekeza kitendo hiki cha BAK kiainishwe na kukemewa mpaka tujiridhishe kwamba adhabu muafaka inakuwa issued kwa vitendo kama hivi visijirudie.

Namwaga upupu..
 
Mtindiowaubongo. Bubu Aliyeamua Kusema ametoa baada ya yeye kushutumiwa kupeleka PM ya kujipendekeza. Ametoa kukanusha madai dhaidi yake ya huyo aliyemtumia PM. Haujamtendea haki hapa.

Hayo ya kuwatuhumu wenzako kuwa wajinga na wapumbavu ndicho kinachobidi kukemewa na si Bubu Aliye amua Kusema.

Amandla.........
 
Mtindiowaubongo. Bubu Aliyeamua Kusema ametoa baada ya yeye kushutumiwa kupeleka PM ya kujipendekeza. Ametoa kukanusha madai dhaidi yake ya huyo aliyemtumia PM. Haujamtendea haki hapa.


Hakuna sababu za msingi zinazojustify kitendo alichofanya..nazidi kupendekeza kuwa apewe adhabu kali kwa utovu wake wa nidhamu..
 


Hayo ya kuwatuhumu wenzako kuwa wajinga na wapumbavu ndicho kinachobidi kukemewa na si Bubu Aliye amua Kusema.

Amandla.........

Mara nyingi huwa sipendi ku-discuss non-issues, lakini hii ni special case.

Tazama kwa makini njilichoandika hapa chini..

Kuna kila dalili kuwa kuna watu hawana 'vifua' na sijui ndo ujinga, upumbavu au vyote kwa pamoja.

Baada ya hapa, I demand an apology..
 
Mtindiowaubongo.

Bado haumtendei haki Bubu Aliyeamua Kusema. Ungekuwa kweli unasimamia haki basi hii sense yako ya outrage tungeiona mapema wakati mashambulizi yameelekezwa kwake! Hapa unachotaka kufanya ni kumwaga upup tu!

Neno sijui halibadilishi muelekeo wa hoja yako kuwa uliowalenga ni wajinga na wapumbavu. Unawa-underestimate wanaosoma na wanachama wa jamvii hili.

Hata hivyo, I apologise kama ulivyo-demand.

Amandlaa........
 
Nikakuuliza mimi ni nani kama kweli unanijua ukaingia mitini moja kwa moja, leo unadai mimi mtu wa pwani...ha ha ha ha. Acha hizo wewe!!! Ulikolalia mimi ndiko nilikoamkia!!!! Mkulu wa IPPMEDIA bado anakupa pressure uondoke JF!!!!? Kwa kujikweza tu!!! Duh!!!!

LOL!!!! hutarudi tena JF eh !!!!? LOL...ulikuwa unasema kweli au kamba zako tu zisikuwa na kichwa wala miguu. Haya nenda 'Mkulu' huyo 'Mkulu' wa IPPMEDIA hataki kukuona hapa usije ukamwaga unga bure ... LOL!!! I too can rest my case. Have a great weekend It is over!!!!

- Mkuu hoja yako ya msingi kuhusu dataz umekwama, dataz za Mramba kushikwa nilizitoa kwenye huu mjadala a year ago,- Ya personal umeshindwa kwa sababu wewe mwenyewe kwa maneno yako unakubali kuwa unaheshimu kazi yangu hapa.

- Ya media na mimi hayo wala sina sababu ya kuficha na wala sijawahi kuficha what I do besides kuandika hapa bure, I have said that before na ninarudia tena kwamba ni JF peke yake ninapopaheshimu ndio ninatoa dataz bure,

- Ya kuwepo na kutokuwepo hapa hayakuhusu na wewe kuwepo hapa pia hayanihusu, uliniuliza maswali nikakujibu, mimi kukupigia wewe hapana si kwa hiyo mkuu sioni hoja hapo umekwama, matatizo yenu ya kutaka kunichafua mnahangaika bure dataz ziko hapo wazi tena ziko clear.

Ahsante Mkuu, lakini siwezi kukusaidia maana dataz zangu ziko wazi naomba nziirudie tena kukuwekea hapa chini.
 
Mkuu Bubu na wenzako, kilio chenu ni kwamba ninatoa dataz za uongo, dataz hizi hapa nilizozitoa one year ago, ninarudia hivi kama mnazo dataz za kuonyesha uongo wangu hapa kwenye hizi dataz mimi niko tayari kukubali uongo wangu, mkuu wangu Mtindio usiwe na wasi wasi bro, ukweli tu ndio unaosimama hapa sio uongo, na ukweli wa dataz zangu huu chini :-

"According to more dataz, ni kwamba pekua pekua ya wazungu ndani ya nyumba ya Chenge, iliibua shillingi billioni moja cash za kibongo.........!

Na more dataz ni kwamba the next in line ni the man Mramba, inasemekana aliyoyafanya ya ufisadi wa mapesa yetu walipa kodi hayana mfano, ikiwa ni pamoja na kuwasamehe kodi makampuni mengi ya kigeni hapa bongo, ambayo yamekuwa yakimpa mgawo, na huko Radar yumo sana na wengine wengi,

Halafu pia kuna the X-factor wa hizi kesi zote zinazowahusu mafisadi, anaitwa Mary Kejo ninataka kuamini kuwa anayajua yanayokaribia kumkuta hivi karibuni.........! Halafu pia tunaendelea kupata very incouraging dataz kuhusiana na viongozi wakuu kuwa nasi hapa JF, sasa inakubalika among viongozi wote wakuu kuwa JF ni mahali pa must see kila siku, na ku-print ishus na kuwa nazo mikobani, hivi karibuni mkulu Kinana, akiwa safarini Dubai aliwatolea wakulu wengine kwenye ndege copy za ishu za miafaka hapa JF na kuwashangaa sana aliowatolea kuwa iweje kuwa haiwajui hiii forum ya JF?

Na more dataz ni kwamba Mkulu Lukaza ambaye anajulikana sana hapa mjini kwa jina maarufu la "Johnson Johnson", unakumbuka yale maneno ya EPA na BOT, ni kwamba huyu Mkulu sasa tayari miguu juuu maana serikali tayari imeshika karibu 80% ya mali zake zote,"
[/QUOTE]
 
Hawa ndio watanzania!miaka 47 ya uhuru kwi kwi!kazi kweli kweli
 
Mtindiowaubongo.

Bado haumtendei haki Bubu Aliyeamua Kusema. Ungekuwa kweli unasimamia haki basi hii sense yako ya outrage tungeiona mapema wakati mashambulizi yameelekezwa kwake! Hapa unachotaka kufanya ni kumwaga upup tu!

Neno sijui halibadilishi muelekeo wa hoja yako kuwa uliowalenga ni wajinga na wapumbavu. Unawa-underestimate wanaosoma na wanachama wa jamvii hili.

Hata hivyo, I apologise kama ulivyo-demand.

Amandlaa........

Ndg FM, I don't underestimate kwamba unasukumwa na ubishi ktk hili..

This will be the last time I attend to your non-issues.. Hoja ya msingi ilikuwa BAK ametoka nje ya sheria tulizokubaliana, tena inayohusu privacy, hii ni serious issue..

Inashangaza unamtetea kwa hili. Habari ya kukemea sijui thread nzima ..kumbuka nina haqq ya kuchagua ninachotaka kuchangia na wala sijaajiriwa kama hakimu au critic hapa JF. Naomba kuwa mwelewa ktk hili.
 
Mbona aliyepost PM kabla ya BAK husuggest adhabu kwake'? au ni BAK pekee asiye na haki ya kupost PM na kustahili adhabu kali? just curious...
 
Haya ni maneno mengine niliyasema last two mothns kulingana na kinachojiri hapa:-

Mkuu MWK,

Heshima tena mbele mkuu, ninashukuru sana kwa huu ujumbe na pia nitoe shukrani kwa Forum kwa ujumla na wajumbe wake wote, na hasa Mkulu Invisible kwa kazi kubwa ya kuiendesha hii forum, sio kazi ndogo ndio maana nimeombwa sana kufungua forum, na kuna wakati nimeombwa ni-promise au kusaini mkataba kwamba wakinifungulia forum nitaji-commit huko 100%, Jawabu langu limekua hapana kwa sababu this is my home, hapa ndipo jina langu lilipozaliwa na kufikia lilipo sasa, leo ninaweza kugonga mlango wowote wa siasa bongo nikasema tu mimi ni FMES unafunguliwa sasa siwezi kupakana paliponifikisha hapo, na sasa hata nimefikia hatua ya ku-make money kwa kutumia hili jina, lakini the most important ni heshima nzito kutoka kwa jamii, kuanzia humu ndani mpaka nje ya hapa forum.

Kwa sisi Wa-Kristo, Mungu anasema tukiweza tuishi kwa amani na binadam wote, sasa kwangu the most important word hapa ni "tukiweza", maana yake ni kwamba hata Mungu anajua kua haiwezekani kuishi kwa amani na binadam wote duniani, licha ya hapa forum peke yake. Siasa ninajua kua ni mchezo mchafu sana, I was born and raised in politics, kwa sababu nikiwa mdogo sana tayari nilikuwa ninaenda Ukonga jela kumuona mjomba wangu Anangisye, aliyekua kule kwa sababu ya siasa, kwa hiyo sikuichagua siasa ila ilikuja yenyewe, since then ninaishi maisha yangu, lakini percent kubwa ni siasa and I love it.

Ninaelewa kuwa, hapa ndani kuna siasa na biashara pia, kwa hiyo maamuzi mengi lazima yaheshimu hayo mawili ingawa la biashara lazima litangulie kwanza kwa sababu somebody has to pay for us kuwepo hapa, na ni lazima niwe mkweli of how much I respect bwana mdogo Max, kwamba at his age anaweza kuwa na busara ya ku-maintain hii forum inayoingiwa na millions of people tena wenye akili mbali mbali.

Malumbano ya siasa ni kitu cha kawaida katika siasa na kwa wanasiasa, kwa sababu wanasiasa wa kweli at the end of the day tunajiuliza kuwa kwenye haya malumbano nime-accomplish what? That is it mengine yote ni part ya kua-accomplish the goal. Tanzania sasa ni nchi ya kibepari sio ya kijamaa tena, sasa kwa sisi wananchi ni wakati wa kujifunza namna ya kuzitumia opportunities zozote zinazojitokeza mbele yetu, na hii forum ni mojawapo kwamba kuwepo kwangu hapa miaka yote hii nimefanikiwa nini betweeen malengo mawili niliyosema mwanzoni, yaani siasa na biashara ndani yake

Kwa hiyo ndugu yangu Mwafrika Wa Kike, shukrani kwa heshima hii, na naomba niseme kwamba as far as mimi binafsi, ukweli ni kwamba what you see here is what you get ukikutana na mimi personal, sina sura mbili wala unafiki, straight to the point, na kama ninavyosema mara nyingi sana kwamba ninachojua ninakijua, na ukishafika level niliyonayo ya u-FMES, inafikia mahali info zinakuja zenyewe bila kutafuta sana, kwa mfano majuzi kuna mtu amenitumia message, akisema kua anajua Balali alipo, na akanipa details nifuatilie, haya kwangu sasa yamekua ni ya kawaida, sasa sijigambi lakini ni ukweli ambao siwezi kuukwepa, info ninazoweza kuzitoa ninazitoa na nisizoweza kuzitoa sizitoi,
 
Mbona aliyepost PM kabla ya BAK husuggest adhabu kwake'? au ni BAK pekee asiye na haki ya kupost PM na kustahili adhabu kali? just curious...

Inashangaza unamtetea kwa hili. Habari ya kukemea sijui thread nzima ..kumbuka nina haqq ya kuchagua ninachotaka kuchangia na wala sijaajiriwa kama hakimu au critic hapa JF. Naomba kuwa mwelewa ktk hili.
 
Mkuu Mtindio,

Hayo maneno ni mimi niliyemundikia kumjibu baada ya kuntumia PM, kwa hiyo cha muhimu ni kama anaweza kuthibitisha uongo wangu on it, na pia uongo wa dataz zangu kama alivyodai kwenye hoja yake ya msingi. Otherwise mkuu let it go haina sababu cha msingi ni ukweli na ukweli, Bwa! ha! ah! ah!.

Usijeukawafanya wakafikiri wana hoja, maana hawana ukweli uko wazi hapo waweke uongo ulipo. Yote ni ya ukweli 100% kwa hiyo mkuu rest assured kwua haikuna kilichoharikibika kama wanavyotaka kusema, qoutes zangu nimezitoa kwenye topics kule kwenye complaints kwa hiyo wasikusumbue ukweli hauwezi kubadilishwa ukawa uongo, yote niliyasema kwenye PM na dataz ni mimi FMES, mwenye ukweli zaidi wa kuonyesha uongo wa maneno yangu ninamkaribisha, I stand behind my words kwa 100%.

FMES
 
Justifications za nini sasa?ok ok DATAZ zote ni za ukweli hakuna hata chembe ya uongo!Maana ni kweli Hayawi Hayawi yamekuwa CHENGE YU MOTONI!
 
Inashangaza unamtetea kwa hili. Habari ya kukemea sijui thread nzima ..kumbuka nina haqq ya kuchagua ninachotaka kuchangia na wala sijaajiriwa kama hakimu au critic hapa JF. Naomba kuwa mwelewa ktk hili.

Sijamtetea, na sitapenda hata siku moja PM yangu iwekwe hapa jamvini. Na sitathubutu kuweka hapa PM niliyotumiwa.

Lakini kwa BAK kuweka PM kama ilivyofanywa na aliyetangulia, hakuna cha ajabu, sisi ni binadamu hatuna moyo wa chuma kuistahamili tuhuma zisohusu. the latter anakubali kuanza.

Ninachouliza whats so special with BAK kustahili adhabu kali pekee, je hii ndio mara ya kwanza kwa PM kuwekwa hapa jamvini? useme anapewa onyo na kuwa itakuwa fundisho kwa wengine.

Labda niiweke hivi, je unaogopa kussugest adhabu kwa other part? Geeee, mod mimi nisijeambiwa nataka fungia watu pheeeeeeeeeeeeeeew
 
Back
Top Bottom