William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- By the way umepata dataz kuwa waziri wa OIC ndiye aliyem-recordia Mengi tepu ya waziri aliyeshauri aonewe na kodi?
- Wajiuzulu kwa sababu wewe uliyewachagua huwataki? Mkuu sikujua kua una nguvu kiasi hiki hongera sana bro!
- By the way umepata dataz kuwa waziri wa OIC ndiye aliyem-recordia Mengi tepu ya waziri aliyeshauri aonewe na kodi?
- By the way umepata dataz kuwa waziri wa OIC ndiye aliyem-recordia Mengi tepu ya waziri aliyeshauri aonewe na kodi?
Ha ha ha Wakuu hao wa Taifa kama kweli huwa wanakusikia unachowaambia ni bora uwaambie kazi imewashinda wajiuzulu kazi
1. Duh! unajua kweli kupinduapindua maneno ili kukidhi kile unachokitaka. Nimeandika "wajiuzulu ili tufanye uchaguzi mwingine" lakini umeamua kubadilisha...ili ionekane kama mimi nina nguvu saaaaaana ya chochote ninachoktaka lazima kiwe!!!!
Ningekuwa na nguvu kiasi hicho ya nini tena kukwambia wewe mzee wa 'dataz' ambaye unategema "ugeni mkubwa sana wa Viongozi wa Taifa" ufikishe ujumbe!!!!? Si ningeyamaliza mwenyewe tu!!!!
By the way wape salaam hao wataokuwemo kwenye ugeni huo mkubwa. Vipi wamekuja kuchukua 'Dataz' zaidi wakazifanyie kazi? just thinking aloud
Hayo maneno hayana maana yoyote, viongozi wezi wamefikishwa kwenye sheria na wengine wako njiani, hao ndio wanahusika na maneno yako, lakini hayawahusu viongozi wote na hasa walio wasafii, ingawa maneno yako ni mazito sana na I am down pia!
Hakuna Waziri wa OIC katika baraza la Mawaziri, wewe kama unajua ni waziri wa wizara gani aliyerekodi maongezi na kuyafikisha kwa Mengi basi ni bora umwage dataz tu.
Hayo maneno hayana maana yoyote, viongozi wezi wamefikishwa kwenye sheria na wengine wako njiani, hao ndio wanahusika na maneno yako, lakini hayawahusu viongozi wote na hasa walio wasafii, ingawa maneno yako ni mazito sana na I am down pia!
Tunasubiri kusikia kama katika lile daftari la mali za viongozi fisadi Daniel Yona aliorodhesha kama ana mali zinazofikia billioni 3, kama hakufanya hivyo basi lile daftari ni usanii mtupu.
- Yote hayo juu ni maneno yako mwenyewe sijaongeza wala kupunguza.
Ngumbaru ndiye anayeweza kusema kwamba hukupindua maneno ya yale niliyoyaandika mimi ili kukidhi haja yako, lakini mtu ambaye ameenda shule na ana uwezo wa kuchanganua mambo anajua ukweli umelalia wapi.
- Hapana wapo mjini tayari wengine wanakuja weekend, otherwise ni darasa tu so far!
- Mimi sio kiongozi sina dataz wao ndio wanakwua nazo, anyways saa ya kulala mkuu, heshima mbele sana usiku mwema mkuu!
Ni kweli, hata hivyo ni asubuhi mno kudhani kwamba kuna wasafi wa kujaa walau kibaba kimoja.
Kwani aliposema waziri wa OIC wewe hujaelewa nini?? gubu hilo, kha!!
Kwa mara nyingine tena hapa ni JF where we dare to talk openly sasa ni kipi cha kuficha!? au tumebadilisha JF's motto tunaongea chini ya uvungu tena kwa kunong'ona!!!?
Sasa hiyo si ipo obvious kabisa ndugu yangu!? au unataka ligi tu?
Mie sina mamlaka hayo tena ni JF's public enemy number one lol!! Issue sio kubadili motto, ipo wazi ni nani waziri wa OIC....
Mbona story ya "waziri kijana" hukubeba bango kuambiwa wazi ni nani, au kwasababu hii kaleta FMES??
Woooow...hivi upo sawa ndugu yangu!?? ndio umeandika nini sasa hapo? Kwahiyo unasemaje, tubadili motto wa JF au ubaki ule ule? Naomba usome ulichoandika, fikiria, halafu utaona jinsi ulivyojichanganya...LOL😀, kaazi kweli.
Usi-panic braza, eazy...90% ya habari hapa ni uzushi isipokuwa zile za copy and paste (wewe ndio King Copy bin Paste wa JF)!! Zaidi ya hapo unataka kumwonea tu FMES...halafu inaonekana "mmepania" kichizi kummaliza JF style..🙁