This is great, Bubu na wenzako someni dataz nilizozitoa siku zan nyuma, halafu mnaimbie uongo wake na mlete za kwenu za kweli :-
Vimbwenelehi ndio vinini hivyo FMES?? lakini naamini kabisa (regardless ya maana yake), Kimbwenelehi cha kwanza atakuwa KU-hA_nI a.k.a Mr Investigator. Maana yeye ndio mparamia ukuta nambari wani, LOL..
leteni dataz kama FMES, sio kujishaua tu hapa na vimbelembele vyenu dizaini ya Mwajuma kibangu...😀
- Huwezi ku-question dataz wakati wewe mwenyewe huna dataz, it is just dead end! Mkuu Yrsmne, niachie form here I got it niachie mwenyewe I ill take care of this, Bubu bring it on!.
Sauti ya umeme, FMES!
Mazee ES sasa worup worup ndo nini? Au ni variation ya what up what up?
1.
- Mkuu najua kwamba nimekuudhi sana kutokana na kumpiga mawe mtu wa pwani mwenzako, lakini I loove this game, ninaruida hivi kama huna dataz huwezi ku-question dataz, unless una dataz zinazozidi dataz, kwenye hili sina la kukusaidia, anytime ukiona nimeleta dataz za uongo lete za ukweli, otherwise unaweza kuendelea kulia lia hapa siwezi ku-help, na nitaendelea kuleta dataz hapa kama kawaida, maana nyinyi watu .5% hamuwezi kuwaamulia wananchi 99.95% wasipate dataz,
- Acheni ubinafsi na udini wenu hapa, pelekeni huko kwenu huu ni uwanja wa taifa wananchi wanakula elimu ya bure ya taifa lao, na dataz muhimu za taifa lao, mmegeuka vimbwenelehi kulia lia na ukuta, mimi ni moto wa kuotea mbali nitawaunguza!
Humuunguzi yeyote hapa utajiunguza mwenyewe na huo moto wako wa kibatari, aliyekwambia mimi mtu wa pwani nani!!! LOL! kujifanya unamjua kila mtu hapa ukumbini kumbe humjui yeyote. Kama hujui kitu uliza!!! Mimi na pwani wapi na wapi!!!! Duh!!! 😉
2
- Mambo yote yako ontrack, ninaendelea kama kawaida, maana kama nilivyokuambia 80% ya magazeti unayopaste paste hapa JF yana habari zangu, sasa uamuzi ni wako kula Raw dataz hapa JF, au kula purified dataz kwenye magazeti, lakini I am all over na ninaendelea vizuri sana tena sana. In fact kuna TV mpya ya mshikaji wangu mmoja huenda soon ikajitolea kutoa some majadaliano ya hapa JF, hii nakupa hint tu maana sio level yako ni ya juu mno kwako.
Thanxs Guy!
1.
- Mkuu najua kwamba nimekuudhi sana kutokana na kumpiga mawe mtu wa pwani mwenzako, lakini I loove this game, ninaruida hivi kama huna dataz huwezi ku-question dataz, unless una dataz zinazozidi dataz, kwenye hili sina la kukusaidia, anytime ukiona nimeleta dataz za uongo lete za ukweli, otherwise unaweza kuendelea kulia lia hapa siwezi ku-help, na nitaendelea kuleta dataz hapa kama kawaida, maana nyinyi watu .5% hamuwezi kuwaamulia wananchi 99.95% wasipate dataz,
- Acheni ubinafsi na udini wenu hapa, pelekeni huko kwenu huu ni uwanja wa taifa wananchi wanakula elimu ya bure ya taifa lao, na dataz muhimu za taifa lao, mmegeuka vimbwenelehi kulia lia na ukuta, mimi ni moto wa kuotea mbali nitawaunguza!
2
- Mambo yote yako ontrack, ninaendelea kama kawaida, maana kama nilivyokuambia 80% ya magazeti unayopaste paste hapa JF yana habari zangu, sasa uamuzi ni wako kula Raw dataz hapa JF, au kula purified dataz kwenye magazeti, lakini I am all over na ninaendelea vizuri sana tena sana. In fact kuna TV mpya ya mshikaji wangu mmoja huenda soon ikajitolea kutoa some majadaliano ya hapa JF, hii nakupa hint tu maana sio level yako ni ya juu mno kwako.
Thanxs Guy!
LOL! Kwa hiyo 80% yanayoandikwa na magazeti mbali mbali ya Tanzania kama vile Mwananchi, Majira, THIS DAY, THE Citizen, Tanzania Daima, Raia Mwema n.k, yana habari zako!!! na 20% ndiyo wanatafuta wenyewe!!!! Ha ha ha uwongo mwingine bwana!!!! Sasa kwa nini usianzishe gazeti lako binafsi badala ya kuwatajirisha wengine!? Maana magazeti sasa hivi ni biashara nzuri sana Tanzania. Hizo kamba zako za 80% yanayoandikwa magazetini ni habari zako kawafunge wengine lakini hapa JF kamwe hatukubali uwongo kama huo.
TV ya mshikaji wako!!! anakushikia nini!!!? Lini utakuwa na TV yako badala ya kusubiri kubebwa bebwa na washikaji!!!! Mtumai cha nduguye hufa kifo cha mende, miguu juu!! acha kutegemea vitu vya 'washikaji' tafuta vyako mwenyewe ulivyovitolea jasho!! Ha ha ha hivi unafikiri una level yoyote wewe!!! Watu wengine kwa kujikweza bwana!!! Subiri watu wakupigie debe siyo ujipigie debe mwenyewe huna lolote wewe acha kujikweza wewe na kutaka kujionyesha mtu wa daraja la juu sana kuliko unavyostahili.
"According to more dataz, ni kwamba pekua pekua ya wazungu ndani ya nyumba ya Chenge, iliibua shillingi billioni moja cash za kibongo.........!
Na more dataz ni kwamba the next in line ni the man Mramba, inasemekana aliyoyafanya ya ufisadi wa mapesa yetu walipa kodi hayana mfano, ikiwa ni pamoja na kuwasamehe kodi makampuni mengi ya kigeni hapa bongo, ambayo yamekuwa yakimpa mgawo, na huko Radar yumo sana na wengine wengi,
Halafu pia kuna the X-factor wa hizi kesi zote zinazowahusu mafisadi, anaitwa Mary Kejo ninataka kuamini kuwa anayajua yanayokaribia kumkuta hivi karibuni.........! Halafu pia tunaendelea kupata very incouraging dataz kuhusiana na viongozi wakuu kuwa nasi hapa JF, sasa inakubalika among viongozi wote wakuu kuwa JF ni mahali pa must see kila siku, na ku-print ishus na kuwa nazo mikobani, hivi karibuni mkulu Kinana, akiwa safarini Dubai aliwatolea wakulu wengine kwenye ndege copy za ishu za miafaka hapa JF na kuwashangaa sana aliowatolea kuwa iweje kuwa haiwajui hiii forum ya JF?
Na more dataz ni kwamba Mkulu Lukaza ambaye anajulikana sana hapa mjini kwa jina maarufu la "Johnson Johnson", unakumbuka yale maneno ya EPA na BOT, ni kwamba huyu Mkulu sasa tayari miguu juuu maana serikali tayari imeshika karibu 80% ya mali zake zote,"
- 80%, ya dataz mana ndizo tunazoziongelea hapa na wewe sio habari zote maana kilio chako sio kuhusu habari zote, wewe unalilia dataz, umaarufu unaoutaka hupatikana kwa kukata ishus za taifa sio kelele za mlango kama zako, ninarudia hivi ukitaka kushindana na dataz zangu na wewe lete dataz, kama huna authority huna ya kuita dataz za uongo maana sasa wewe unakua muongo kuliko kwa kua huna dataz ila maneno ya mtaani hapa JF hayana nafasi! Kupaste magazeti na kuweka hapa JF, hata mtoto wangu mdogo sana wa kike mwenye miaka 8 anaweza, lakini hana dataz.
Eti natafuta umaarufu JF!!! LOL! utatafutaje umaarufu kwenye ukumbi ambao wanachama wote wanatumia majina fake!!! Umaarufu wa jina fake halafu ili iweje nikishapata umaarufu huo!!!? Acha ujuha wewe mtu anatafuta umaarufu kwa kutumia jina lake la kweli siyo jina bandia!!!!
- Mimi sipigi miziki for a living, na wala similiki TV lakini nina mali zangu ninazomiliki, huwezi kuwa baharia ukawa unatumai cha nduguyo hakuna hoja hapo ila majungu na uongo wenyewe haswa unaoukataa, yes hii forum ni ya mshikaji sasa what is wrong with that una maana wote tuliopo hapa tunategemea cha ndugu? Mbona maneno yako ni low sana mkuu maana hata point huna, wote tumiliki TV nani ataangalia ya mwingine? Wote tumiliki Fourms nani atakwua machagiaji? Usiyoyaweza kubali maana Mungu ametuumba watu wote na talent sasa taufta yako na uitumie,
- Kujikweza ni pale unapojaribu kununua ugomvi ambao sio wako ili kujikweza na wale unaowapigania ambao wao wenyewe wameshindwa, na hasa unapojaribu kupigania mfupa uliomshinda fisi, daraja la juu hapana lakini mshikaji wangu anafungua TV January na tayari nimetayarisha mipango na mshikaji na Max ili JF kama itawezekana itakwua inaruka hewani sometimes, kwa hiyo nintaunganisha mshikaji kwa mshikaji kwa washikaji hapa JF, ukienda kuel wkenye ile web ya www.theusagotham ni ya mshikaji pia ambaye tunashirkiana kusafirisha matrekta na malori, kwenda popote duniani samahani kama huna washikaji, mimi ninao tena wengi sana na hasa humu JF, maana kwangu mimi opportunity zipo popote pale, ndio maana ya capitalism.
Wananchi wamechoshwa sana na kelele zenu za mlango sasa, mimi siendi kokote mkuu huu uwanja ni mkubwa sana wakuu unatutosha wote, sasa jifunzeni kuishi kwa kubanana haondoki mtu hapa! Sasa turudi kwenye ishus maana kama ni dataz mpaka mtakapokuwa na zenye ukweli zaidi ya zangu, huo undugu wenu na udini wenu hauinitishi kabisa, tukate ishus maana haya malumbano ya binafsi hamuwezi kushinda naything ila mnaudhi wananchi hapa, siyapendi lakini lazima nijibu ila huwa sichokozi mtu hata siku moja!.
Bubu mfupa uliomshinda fisi wewe huuwezi!
Mkuu heshima mbele sana,
Anyways kwa hapa JF sitarudia tena hiyo imetoka it is over, nimnekua under big pressure kwa muda sasa kuwa nitoke, kutoka kwa wenye biashara ya habari bongo, hasa mkulu wa ippmedia, ambaye nina-deal naye sana on daily bases, kwa hiyo hapa I am out, sitarudi tena.
Mengi siwezi kusema hapa maana najua PM yangu iko under 24 hours watch, ninajua wewe ni nani nipigie kwenye 888-888-8888, au 111-111-1111 nitakupa all the stuff, na pia next week nitakwua na dataz kwenye Raia mwema, halafu ngoja nikupe siri mabya unajua hizi arcticle za media bongo unazoleta hapa JF 70% ni mimi ninayezichora kule bongo?
Au niwekee namba nitaku-beep, later,
Respect!
Nikakuuliza mimi ni nani kama kweli unanijua ukaingia mitini moja kwa moja, leo unadai mimi mtu wa pwani...ha ha ha ha. Acha hizo wewe!!! Ulikolalia mimi ndiko nilikoamkia!!!! Mkulu wa IPPMEDIA bado anakupa pressure uondoke JF!!!!? Kwa kujikweza tu!!! Duh!!!!
LOL!!!! hutarudi tena JF eh 🙂!!!!? LOL...ulikuwa unasema kweli au kamba zako tu zisikuwa na kichwa wala miguu. Haya nenda 'Mkulu' huyo 'Mkulu' wa IPPMEDIA hataki kukuona hapa usije ukamwaga unga bure 😉... LOL!!! 😉 I too can rest my case. Have a great weekend 🙂 It is over!!!!