Jamani, wakati tunaambiwa Chenge amekuja London kwa ajili "Mambo yake" na SFO, Lowassa ana nini London? ama ndio amekuja kumsajilia mshikaji wake (Chenge)? au ndio katika kupumua? Au .......... please help, niko tayari kumpa raha na kumtembeza japo wanasema "RAHA JIPE MWENYEWE" kama kweli amekuja kupumzika au kupumzishwa

Tina Ulikuwa Wapi Mdogo Wangu ?
Lowasa Amekuja Kwa Ajili Ya Kukubaliana Na Kampuni Moja Ambayo Ina Tawi Malaysia Katika Kampeni Yao Ya Kupata Mradi Wa Kutengeneza Vitambulisho Vya Taifa , Katika Kampuni Hiyo Anafanya Kazi Ndugu Mmoja Wake Anayeitwa .... Mollel .
Tina,
Ukisoma jumbe za FMES kuna thread tayari alitupatia data kwamba Lowassa naye kaja kuhojiwa kwenye suala la rada ingawaje yeye hayuko chini ya ulinzi kama Chenge.
Kuna uwezekano na yeye alipewa visenti, yule Mhindi ameanza kuongea na kuwataja waliokula nao, huenda Lowassa ni mmoja wapo.
Jamani, wakati tunaambiwa Chenge amekuja London kwa ajili "Mambo yake" na SFO, Lowassa ana nini London? ama ndio amekuja kumsajilia mshikaji wake (Chenge)? au ndio katika kupumua? Au .......... please help, niko tayari kumpa raha na kumtembeza japo wanasema "RAHA JIPE MWENYEWE" kama kweli amekuja kupumzika au kupumzishwa
TINA MWANANGU BE CEREFUL NA HIV HAO WATU WENGI WAO, WAMESHA UAWA NDIYO MAANA UNAONA VURUGU ZOTE HIZO.Jamani, wakati tunaambiwa Chenge amekuja London kwa ajili "Mambo yake" na SFO, Lowassa ana nini London? ama ndio amekuja kumsajilia mshikaji wake (Chenge)? au ndio katika kupumua? Au .......... please help, niko tayari kumpa raha na kumtembeza japo wanasema "RAHA JIPE MWENYEWE" kama kweli amekuja kupumzika au kupumzishwa
Somaiya Yule Chakaramu Wa Kenya ?