The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Mkono anajulikana kuwa na yeye yuko kwenye list of shame, hivyo hawezi kukubali mojamoja kwa moja kumtetea kwani hasira za wananchi na yeye zitamuangukia, hata kama asingepewa warning na mkuu wa kaya bado angekataa na kupitia mlango wa nyuma.

Huyu lawyer mmarekani hajui anachosema anapotishia kusema mambo ambayo yatayumbisha nchi hajui kuwa watanzania wanawajua mafisadi wote, atasema nini cha kutisha ambacho watanzania hawajui, kuwa fisadi mkuu ni Mkapa, au kuwa mkuu wa kaya anusika kwenye deep green finance, hakuna chochote cha maana anawatisha watawala wasimshitaki chenge.
 
Nina hamu kweli mwenzenu kila mara niko hapa JF kusubiria LIVE atakayo turushia Mkuu Field Marshall wakati Mzee Vijisenti atakapokuwa ameupdate news kufuatia kibano cha aliowaita wakoloni.
 
Mbogela,

E bwana kacheze bahati nasibu, utashinda. Guess yako iko on point ile mbaya.

Siku ile Chenge alipotangazwa ana lawyer Mmarekani, aliyetishia kuibua masoo kwenye kesi ya Chenge, nikajiuliza, huyu lawyer amesajiliwa ku practice Bongo? Na kama amesajiliwa, Chenge atakujaje na lawyer wa kigeni mahakamani, lawyer anaeongea na mi accent ambayo majaji wanaweza wasimuelewe. .............................. Kwa hiyo Mkono ni partner wa lawyer wa Chenge Tanzania. Na huyu lawyer anasua sua kuja Bongo. Anahitaji sana ushauri huyu lawyer wa kigeni. Inawezekana kabisa Mkono anatoa ushauri. Ni partner.

TKS so much...Hii imesimama kimamilifu!!
 
TKS so much...Hii imesimama kimamilifu!!
Point of education!
Kuhani mkuu thanks for your points ili kuondoa mashaka ni kwamba mwanasheria sio lazima awe amesajiliwa bongo,sheria yetu ya mawakili(ADVOCATES ACT) ina ruhusu mtu yeyote anayetoka katika nchi za jumuiya ya madola na zinazotumia mfumo wa kiingereza yaani common law kuja kupractice hapa nyumbani,iwapo ana mteja wake hapa vivyo hivyo mwanasheria wa bongo kwenda UK au Nigeria,kinachotakiwa tu anapokuja anatakiwa kujaza fomu maalumu ya kuomba kibali kwa chief justice huku akiambatanisha na practising certificate yake ambayo iko valid,akieleza na ksei anayoshughulika.CJ atampa kibali na tutakutana naye mahakamani kama kawa,utaratibu huu ndio unaotumika pia kwa wanasheria wa tanzania bara waendapo kupractice zanzibar,lazima uombe ruhusu ya CJ japo ni nchi moja.Cha kufanya hapa ni kumsubiria huyu jamaa kama itatokea aje amwage cheche zake.
Nawasilisha
 
Mbogela,

E bwana kacheze bahati nasibu, utashinda. Guess yako iko on point ile mbaya.

Siku ile Chenge alipotangazwa ana lawyer Mmarekani, aliyetishia kuibua masoo kwenye kesi ya Chenge, nikajiuliza, huyu lawyer amesajiliwa ku practice Bongo? Na kama amesajiliwa, Chenge atakujaje na lawyer wa kigeni mahakamani, lawyer anaeongea na mi accent ambayo majaji wanaweza wasimuelewe. I mean, Chenge is no dummy, itakuwaje awe na lawyer mzungu? Strategically inaweza kuwa sio move nzuri sababu majaji wanaweza kuona huyu mgeni anakuja hapa kutufundisha sheria zetu. Ana mpango gani hapa Chenge? (kwenye chess/draft lazima ufikirie adui anafikiria nini, halafu umpe benefit of assumption kwamba he is the most skilled strategist).

Hadithi nzuri sana kwa kweli.
Kwahiyo hizi ni 'dataz' kwavile wewe umesema? Mi logic yangu ya kitoto inasema mpaka uweke picha umeshikilia simu, au uweke picha ya jamaa hapa. Au weka phone bill (hata ya kufoji poa tu).
 
MIMI NINADHANI MPOKEA NA MTOA RUSHWA WOTE WATUHUMIWA. BADO KUNA HAKI YA KUMUUNGNISHA CHENGE

MIMI PIA NADHANI YULE ALIYEIBA NA ALIYEFICHA MALI ZA WIZI WOTE NI WAARIFU MPAKA PALE ALIYEFICHA ADHIBITISHE KUWA HAKUWA NA KNOWLEDGE YA KUWA ZILE MALI NI ZA WIZI. HIVYO CHENGE HATOKI

HALAFU NADHANI KAMA PROCEDURE ZA KUTOA WARRANT ZIMEKIUKWA, HAYO TUTAYAONEA MAHAKAMANI ILA NI DEFENCE AMBAYO KAMA UTAITUMIA HUKU UKIJUA KWELI NI MUHARIFU HAIWEZI KUKUTOA HATIANI. i.e police anaweza kuja kwako bila warrant na kukuarrest, ingawa utasema kuwa hukuarrestiwa kukanuni, ila chochote utakachokamatwa nacho kinakuwa admitted.

PIA, NINAELEWA KUWA SHAHIDI ANAWEZA KUWA MTUHUMIWA PIA PALE USHAHIDI UTAKAPOPATIKANA.

ALAFU SHERIA ZETU ZINATUMIKA MUTATIS MUTANDIS NA SHERIA ZA UK. INGAWA SHERIA NILIZOZITOA NI ZA HAPA. BADO UTAKUTA ZINASHABIKIANA.

SWALA LA KWA NINI APELEKWE KULE, NI SWALA LA PRIVATE INTERNATIONAL LAW i.e conflict of law. so long kosa limetokea uk, na muarifu mwingine yuko UK basi wataamua either awe prosecuted kule au huku so long wamemwona tayari ana kosa. ikionekana sheria za kule hazifai watamleta huku, ikionekana zinafaa watamprosecute kule, au watatukia harmonization of laws.
 
Kutokana na kidogo ninachojua kuhusu huyu lawyer wa Chenge wa Clev, OH kuna mbongo kwenye firm yake/yao...na wana ofisi Tanzania pale Sukari House..kuna thread humu ndani ina address na phone numbers.
 
Field Marshal,

Kama kweli muungwana ana ujasiri wa kufanya hivyo huenda ikawa hatua muhimu sana kuelekea kutokomeza mafisadi na hasa wale waliodai kuwa wa-tz wako tayari kula nyasi ili mradi ndege inunuliwe utadhani walikuja kutuuliza..
 
Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpe (Andrew Chenge, 2008),Airport, JKNIA Dar es Sallam, Tanzania.

Kwa sababu Chenge alikuwa na madaraka Makubwa tena ya kutuwakilisha ktk Mambo ya kisheria, na kwa sababu ameweza badala ya kuwakilisha Tanzania amejiwakilisha yeye binafsi, Usemi wake inatakiwa ufanyiwe kazi mara moja.

Tanzania kama nchi inatakiwa tumpatie Chenge haki yake.

Ni tafurahia kama kweli JK anafanya kazi na anachukia MAFISADI kama kazi itaanzia pale Chenge atakapo kanyaga pale pale alipotamkia maneno yake.

Chenge anahitaji haki yake.
 
Hadithi nzuri sana kwa kweli.
Kwahiyo hizi ni 'dataz' kwavile wewe umesema? Mi logic yangu ya kitoto inasema mpaka uweke picha umeshikilia simu, au uweke picha ya jamaa hapa. Au weka phone bill (hata ya kufoji poa tu).

Mkuu;

Namba: (216) 371-7600
Jina: J. Lewis Madorsky,

Mzigo waku dis-prove umehamia kwako.

Nzokanhyilu, siwezi ku risk credibilty yangu JF kwa kutunga hadithi. Ili iweje? Nimesema ukweli. Lakini kwa sababu wewe ndio una shuku nilicho share, nimeshahamisha the burden of disproof kuja kwako. Mtwangie jamaa at that contact, sema nae mwanangu.

(you need guts though, jamaa lina mi confidence na litakuwekea kibesi, linadai ndio peke yake Mmarekani anaruhusiwa ku practice in the Commonwealth. Japo nam doubt kwa sababu mchizi hata website hana.)

Anyway, good job on vetting, albeit you could have done a better one by using authentic logic.

Hata mimi nawaambia Waandishi wa habari kila siku kwamba usiseme "confirmed sources told TanzaniaDaima that and this, au MwanaHalisi has revealed..." halafu ukadhania nitakuamini kwa sababu umesema. Kazi yangu kutwa kubishana na ma Editor kwenye ma email ya maoni ya wasomaji, (na siongelei magazeti ya Bongo peke yake). Lakini nawauliza kwa sense kuliko hiyo ya kudai picha. Kwa hiyo, inapokuja kwenye vetting ya "dataz," huko unakoelekea ndiko nilikoanzia, na stage uliyofikia sasa hivi mimi nili i bypass, it wasn't necessary!

Sababu nilimpigia simu lawyer wa Chenge, nilikuwa na maswali niliyotaka kuelewa mimi mwenyewe kama huyu Mmarekani kasajiliwa Bongo. Nilipopata jibu nikaridhika mwenyewe. Nika share na Pundit, yeye akanambia ni share hizo 'dataz' hapa, nikamwambia inaweza kuwa counter productive kwa sababu yule Lawyer akiwa inundated na misimu ataacha kutoa "dataz" siku nyingine. Lakini mwana JF Mbogela alivyo opine kuhusu uwezekano wa link ya Mkono na lawyer wa Chenge nikaona jamaa yuko prescient ile mbaya, na nikakubaliana nae kwa kumpa sababu za experience yangu. Kwa nini utunge hadithi kumwonyesha mtu kwamba unakubaliana nae? It is an oxymoron.

Kwa hiyo,
1) sikuwa nataka brownie points, ningeweza kufungua thread baada ya kuongea na lawyer wa Chenge
2) Unlike MwanaHALISI, TanzaniaDAIMA, na THISDAY nina corroboration ya mtu niliye share nae stori - Pundit
3)Nilimtetea sana Mkono kwenye dili la BOT (naamini aliye pewa contract kubwa kupita kiasi hawezi kukataa, kosa ni la walio mpa contract). Kwa hiyo siko biased against or in favor of Mkono, siwezi kumtungia hadithi. Hapa naongelea uhusiano wake na Chenge tu.
4) Namba ya lawyer wa Chenge ilikuwa mitandaoni, kigumu nini kumpigia simu kulonga nae?

Wengine tunaongea na ma prosecutor na ma lawyer kenye kesi za speeding ticket all the time (kwa wasio USA, uki vunja sheria barabarani una kesi ya kujibu -ticket). Tunapigiwa simu na ma lawyers wa Debt Collectors all the time (wanao daiwa mikopo wanaweza kushitakiwa na wakusanya madeni). Haikuwa kitu hatari saaana au kigumu saaana kwa mimi kumpigia simu huyu lawyer, just out of curiosity, kumtekenya nimsikie ana nyimbo gani.

Ahsante mtu wangu.
 
Kuhani,

Usiwe na wasiwasi. Kufanya ulichofanya sioni kwamba ni vigumu. Najua mambo yanavyokwenda. Infact ulichofanya (kama umefanya LOL) ni very smart proding. Na kama ulivyosema, kama kweli umefanya, utakuwa umem-alert ili Nzoka akipiga awe kajiweka sawa.
Kuhusu logic niliyokwambia uweke hapa, am just being silly. Nadhani kitu cha kuprove ni tunataka tape un-edited blah blah, you know the gist.

Lakini pia, mimi siamini hovyo hovyo, siwezi nikaja kichwa kichwa niseme hongera on what you just said here. Pia, jinsi navyoona watu wanashangilia hapa, kama kweli watu wanaweza kuamini dataz bila proof, basi ndio maana ni rahisi sana kuwadanganya watanzania wakati wa kura, I mean what hope to they have?

So shukuru tu watu wanauliza maswali. Maana naona FMEmergency System amekua kama mbogo kuulizwa maswali. Jamani wengine sisi ni wagumu kuelewa na wepesi kusahau. Have mercy!

Ila nimependa the fact mzungu kashindwa kusema 'Nimrod'........akasema 'Nima Rad' Makono...nice touch on your story!!
 
Samahani nilikosea kwenye Address ya Tanzania sio Sukari House ni NIC Investment House.....Alafu number yao ya simu ya Tanzania ina code ya zamani sana

Ila kwenye hiyo firm kuna Mtanzania anaitwa Evarist Mbuya.

Firm: J. Lewis Madorsky Co. L.P.A.

Address: 3934 Washington Blvd
Cleveland, OH 44118-3135
Map & Directions

Fax: (216) 371-7601

J Lewis Madorsky
Firm: J. Lewis Madorsky Co. L.P.A.
Address: 3934 Washington Blvd
Cleveland, OH 44118-3135
Map & Directions
Fax: (216) 371-7601

J. Lewis Madorsky Co. L.P.A.
26 Byron Court, 26 Mecklenburgh Square, London, England

J. Lewis Madorsky Co. L.P.A.
Almeida Park, Bandra, Mumbai 400 050, India
(216)371-7600
J. Lewis Madorsky Co. L.P.A.

Nic Investment House, 14th Floor, PO Box 181, Dar Es Salaam, Tanzania
255-51-44889

Source
 
...Ila nimependa the fact mzungu kashindwa kusema 'Nimrod'........akasema 'Nima Rad' Makono...nice touch on your story!!

Una assume kwamba alishindwa. Inawezekana alisahau. Argument yako ina matundu. Cheza kete nyingine mtu wangu, hiyo haija punch holes in my posting.

As always, good job on vetting.
 
Kuhani Mkuu sasa ametake over at least kwasasa..Ila tuendelee maana ndiyo JF hapa!
Vichwa hatari!
Wakuu wanaita ze datazz
 
Back
Top Bottom