The Radar Scandal: Investigation & Progress

We aaaight! we aaaight! we aaaight!

Just get up in dere man, snatch that "dataz" knapsack, and ease out. Uwanja wa Fisi style. You know it. You be doin it the way it should be does.

Then pass that "dataz" down here same way you pass the buddha. Somebody trana steal our money. It aint funny man, we up on they necks and they kids!

Tell u what tho. We gon double check what's in that "dataz" knapsack fore be buy it!

Got to. Got to. You know how we do it!

We ready when you ready man. Be cool now, and remember to dust them fingerprints.

Kuhani Mkuu unasema ? Maana nimesoma na kurudia rudia lakini sijaelewa hadi sasa .Hebu niweke sawa kwa kiswahili tafadhali .
 
HumourLaughingKitten.jpg
 
Wakati mnaendelea kumwaga hizo mnazoziita dataz, naomba kuripoti kuwa nimezungumza na chenge jioni hii na kumuuliza kuhusu kukamatwa kwake na kuhojiwa. Alichonijibu: "mimi sizungumzii upuuzi huo. Nipo hapa ninafanya shughli zangu binafsi"
 
"Wewe ulitegemea akujibu nini??
Kwamba eee nipo hapa chini ya ulizi nahijiwa??
Maafisadi wa Tanzania hata wakihukumiwa bado watasema numeonewa.
 
Mkuu Mpita Njia alitegemea mtu amwanbie aise nimekamatwa hapa nahojiwa. Hata angelikuwa nani asingesema hivyo. Si unaona vita iliyoko hapa? Kuna watu wanajua vizuri kinachoendelea lakini hawakutaka watanzania wajue. Ndiyo maana baadhi ya watu wanatoa hoja ukisoma ukarudia ukarudia unashindwa kuelewa kama either ni kiswahili au kiingereza au kihindi.

Anyway cha msingi huwa yanafanyika usiku yanajulikana mchana kweupe, kwani kuna aliyejua kuwa rada itarudi, wengine hata hizo pesa walisha maliza kabisa lakini watawekwa kiti moto tu.

Unajua hili linafunzo ndani yake. tusubiri na tuone yanayojiri
 
Kuhani Mkuu unasema ? Maana nimesoma na kurudia rudia lakini sijaelewa hadi sasa .Hebu niweke sawa kwa kiswahili tafadhali .

Ha haaa haaaaaaaa! Lunyungu, nina tundiko refu hapa kwako.

Lazima uko viwanja vya Europe au Bongo maana hicho ni Kimarekani rahisi sana, cha mitaani lakini, na hakina umuhimu wa kukielewa. Lakini maadam umeuliza, ngoja nijaribu kukuelezea. Sijui lipi hukulikamata lakini machache nitakayo kuelezea yatakupa picha nzima.

Anyway, nilikuwa namwambia FMES kwamba sisi tuko wazima (we are allright) na nikamu encourage aendelee kutuletea hizo data kwa namna yoyote ile ambayo huwa anaitumia, kwa maana yeye ni mzoefu (you have been doing it the way it should be done). Kwa sababu Bongo hawawezi kutupa data kwa njia formal, basi kama ni kuzinyakua sehemu akazinyakue tu, halafu anyopoke taratibu. Kama Ambavyo wakina Mama wanalizwa mikoba Uwanja wa Fisi (Manzese that is). (Snatch that 'dataz' knapsack Uwanja wa Fisi style and ease out.) Again, kwa sababu Bongo hatuna vitu kama Freedom of Information Laws zinazoshurutisha Serikali kutoa information. Na Media Bongo hakuna. Ndo nikasema do it the way it should be done.

Na nikasema hawa watu (kina Chenge/Billal .. nk) wanajaribu kutuibia mali zetu. Sio jambo la mzaha, tutawakalia kooni wao na watoto zao. (somebody is trying to steal our money, it is not funny, we are going to be on their necks and their kids).

Lakini nikasema akisha zileta ni lazima tufungue huo mkebe wa "dataz" tujue kilichomo ndani kabla hatujanunua hizo habari (kuziamini). (I will tell u what though. We are going to double check what's in that "dataz" knapsack before be buy it). Kama ambavyo ukitaka kuuziwa kitu used mtaani, labda mkufu wa dhahabu, unauchunguza mara mbili mbili kabla ya kuondoka, kwa sababu hauko dukani ambapo unaweza kurudi kesho kusema ooooh mmeniuzia mkufu feki. Hivyo hivyo, hizi 'dataz' sio formal kwa hiyo yabidi tuzi scrutinize.

Nikamwambia kwamba ni lazima tufanye hivyo - kuziswalishwa 'dataz' kwa sababu yabidi ajue huo ndio utamaduni wetu. (We have got to do that. You know how we do it). FMES hapendi au hajui nia yetu wengine ya kuswalisha 'dataz' zake. Na ukimswalisha anakwambia na wewe lete ya kwako, vinginevyo huniwezi, na vitu kama hivyo. Na bahati mbaya, wengi wa wanaomsapoti FMES wanahofia kwamba wakimghafirisha ataacha kuzileta hizo 'dataz' kwa hiyo nao wanakushambulia kwa ukali. Lakini hata mimi sitaki hizo 'dataz' ziache kuletwa. Nasema tu, zikija zimesema Chenge kakamatwa UK, sio vibaya ukisema inakuwaje wakati Waingereza wamesema yeye sio target. Yeye anayaita hayo maswali logic. Sijui ana maana gani. Now I'm used to been called many many names quite far from logical. So I don't know whether to argue against that label or be proud of it. That beats me there!

Mwisho nikamwambia kwamba tunamsubiri, na nikamwambia awe cool (kwa sababu namjua asipo kubaliana na wewe anawaka na matusi). Halafu nikamtahadharisha kwamba asiache vigezo vitavyo mfanya anaswe huko anako zipata (dusting fingerprint kwa wahalifu ni kufuta alama za vidole pale ulipo ziacha (kwa polisi ina maana kinyume na hiyo ambayo ni process ya kuchochea hizo fingerprint ili zionekane vizuri). Si unajua kuna Wafanyakazi walishutumiwa wanaiba siri. Kwa hiyo nika msihi awe careful.

Alivyo anza na "word up word up word up" ndio namimi nikamuunga mkono na hiyo venarcular ya lugha za uchochoroni. Unajue tulipoenda nje sio wote tuliishi kwenye mabweni ya shule na ustaarabuni. Wengine tuliishi Viwanja vya Fisi vya huko!

Baadae mtu wangu.
 
Private Message: Chenge
Yesterday, 09:19 AM

Chenge

Heshima mbele!!!

Mkuu salute kwenye hii nyeti ya chenge maana kuna mtu nilikuwa naongea naye ndani ya........ amenieleza issue nzima kuanzia kwenye upekuzi na jinsi alivyogoma, na bwana mkubwa alivyosema yeye hazuii chochote.

Nyeti nyingine niliyopata .................... kuliko maslahi ya Taifa.

Once again salute kwenye hili....

Mkuu Kuhani,

Naomba uangalie hii message kutoka kwa wanaume wa shoka, ambao baada tu ya kupewa lead ya dataz, wao wameenda kupekua na kupata majibu, badala ya kubaki kulia lia hapa na logic za kuwaogopa kina Aziz na Chenge,

Ninapotoa dataz, huwa ninawa-target watu kama huyu hapa juu, hebu soma vizuri ujumbe wake huu mzito, wakati wewe unalia lia tu hapa kwamba utafutiwe kila kitu,

just a crying baby! Wakuu wengine wote heshima mbele, wallahi I love JF more!

Peace Out, Kesho!
 
Chenge yuko nchini Uingereza kujibu maswali machache kuhusiana na vijisent vyake. Wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana kabisa vijisent hivyo havina uhusiano na radar ila vinatokana na mikataba mingine iliyosimamiwa na Chenge kama ule wa ndege ya rais au madudu mengine yaliyofanyika wakati wa Mkapa. Hali ikitokea hivyo, jamaa wa SFO watamwachia huru Chenge, je sisi wabongo tumfanyeje?
 
Mwalimu Kichuguu,

Tutampokea kwa shangwe kama mfalme pale JKNIA. DDC Kibisa na hata mrithi wa Mwinamila watatafutwa kumpokea "mwenye nchi"!
 
Chenge yuko nchini Uingereza kujibu maswali machache kuhusiana na vijisent vyake. Wasiwasi wangu ni kuwa inawezekana kabisa vijisent hivyo havina uhusiano na radar ila vinatokana na mikataba mingine iliyosimamiwa na Chenge kama ule wa ndege ya rais au madudu mengine yaliyofanyika wakati wa Mkapa. Hali ikitokea hivyo, jamaa wa SFO watamwachia huru Chenge, je sisi wabongo tumfanyeje?

Halafu ninahisi kama vile tunatawaliwa maana huyu Baba kamwita Kaka Chenge baada ya kuona anaiba hela za Baba ndani (kabatini) Lakini Kaka Mkubwa (JK) aliyepewa mamlaka ameshindwa kumwadhibu. Nina imani kubwa na Field Marshal kwa ujumbe wake, maana niliongea na figure moja toka ofisi kuu ikanielezea yafananayo na hayo yaliyomkuta Chenge. Ila alishangaa kama Chenge kala hadi pingu. Kwa hatua hiyo nawapongeza sana SFO kwa kumshikisha adabu Chenge kwa angalau kumvalisha pingu.
 
Nashangaaa kuona eti Mhe. Mkono amekataa kutoa msaada kwani Mkono yumo katika ile orodha "List of Shame" kwa hiyo hatuwezi kumpongeza kwa hili, ninachohisi hapa atakuwa amekataa kushiriki moja kwa moja kuwarepresent kwa sababu anajua na yeye ni mtuhumiwa lakini hawezi kukosa kuwemo katika kundi la watoa ushauri, councel.
 
Mkuu Mbogela,

Heshima mbele, according to the dataz Mkono alichosema ni kwamba, kwanza ameonywa na mkulu mapema kuhusiana na kujaribu kutetea mafisadi, ambao yeye pia ni mmoja wapo,

halafu pili alimwambia hasa Chenge kwamba wazungu sio wajinga waje kutoka majuu mpaka bongo kumpekua mtu bila kujua wanachokifanya, ni lazima wana kila kitu hao, huwezi kuwashinda kwenye sheria!

.......stay tuned........!
 
Nashangaaa kuona eti Mhe. Mkono amekataa kutoa msaada kwani Mkono yumo katika ile orodha "List of Shame" kwa hiyo hatuwezi kumpongeza kwa hili, ninachohisi hapa atakuwa amekataa kushiriki moja kwa moja kuwarepresent kwa sababu anajua na yeye ni mtuhumiwa lakini hawezi kukosa kuwemo katika kundi la watoa ushauri, councel.

Mbogela,

E bwana kacheze bahati nasibu, utashinda. Guess yako iko on point ile mbaya.

Siku ile Chenge alipotangazwa ana lawyer Mmarekani, aliyetishia kuibua masoo kwenye kesi ya Chenge, nikajiuliza, huyu lawyer amesajiliwa ku practice Bongo? Na kama amesajiliwa, Chenge atakujaje na lawyer wa kigeni mahakamani, lawyer anaeongea na mi accent ambayo majaji wanaweza wasimuelewe. I mean, Chenge is no dummy, itakuwaje awe na lawyer mzungu? Strategically inaweza kuwa sio move nzuri sababu majaji wanaweza kuona huyu mgeni anakuja hapa kutufundisha sheria zetu. Ana mpango gani hapa Chenge? (kwenye chess/draft lazima ufikirie adui anafikiria nini, halafu umpe benefit of assumption kwamba he is the most skilled strategist).

Mimi nikatafuta info za huyu lawyer mitandaoni nikapata namba ya simu. Kwa sababu hakuna mwandishi yeyote aliye uliza kama huyu Mmarekani amesajiliwa ku-practice Bongo, nikaona, u know what, we are not going to wait for a Press that does not exist.

Nikampigia lawyer wa Chenge Ohio. Nikaona nikimwambia mimi mwandishi wa habari jamaa naye ataleta u lawyer. Nikaamua kumtengeneza (if u know what I mean). Nikamwambia, nimekusikia jina lako kwenye Media hivi majuzi, nahitaji huduma yako. Kaniuliza we nani, nikampa mi ID ya kutengeneza. Shida yako, nikamwambia Baba yangu kakamatwa na Kesi ya Rushwa. Wapi, ye nani, nikamwambia alikuwa meneja Mkuu wa Kampuni ya Taifa ya Sigara, sasa hivi yuko dhamana. Mzungu hajui chochote kuhusu wakuu wa makampuni ya Bongo chochote ninachomwambia cha mbele. Alipo maliza maswali yake, nikaanza yakwangu. Nikamwambia, unaweza kumpresent babangu akasema, tutaangalia, mwambie anipigie simu. Unaweza ku-practice Bongo, umesajiliwa, akasema ndio, mimi ni Mmarekani peke yake ninaye weza ku-practice in the commonwealth. Sijui ana maana gani, manake kama ni nchi za commonwealth zote, basi nadhani hawezi kuwa peke yake.

Sasa cheki basi. Nikamuuliza, sasa utakuja Tanzania kumrepresent Babangu, akasema, well, tutaangalia kwa sababu nina ma partner Bongo. Na kama kawaida ya Wazungu wanapenda sana kuongea vitu ambavyo hawajaulizwa. Basi akaanza kutoa mi "dataz" (no pun). Akaendelea, "hivi ninavyoongea nimetoka kuwasiliana na "Nima Radi Makono" ameondoka sasa hivi kurudi Tanzania." (Na kweli wakati ule Mkono alikuwa USA, alitokea kwenye media reports siku chache earlier akikanusha madili yake ya BOT kwa njia ya simu kutoka USA.) Sikutaka kumbana sana kuhusu Mkono kwa sababu nilitaka kujifanya sijui kitu, wala simjui "Nima Radi Makono."

Akanirudisha kwenye kesi ya Babangu wa "Kampuni ya Taifa ya Sigara," nikamtengeneza tena. Halafu tukaagana, nikamwacha anasubiri simu.

Kwa hiyo Mkono ni partner wa lawyer wa Chenge Tanzania. Na huyu lawyer anasua sua kuja Bongo. Anahitaji sana ushauri huyu lawyer wa kigeni. Inawezekana kabisa Mkono anatoa ushauri. Ni partner.
 
Duh! Mkuu Kuhani,

Dataz nzito hizi, sasa hizi zako ndio what we call dataz mkuu, karibu kwenye ulimwengu wa dataz!!!

JF idumu!
 
I love JF na kwa kweli hii ni habari nzito .Mkono hawezi kukwepa na JK ajue we are serious hapa .Asante sana .
 
Mkuu,

hapo nimekubali hizo ndo datas maana hata waandishi wasingekumbuka kufanya ulichofanya, Ahsante sana mkuu sasa tunaweza kuconect dots na kujua mkono anaingiaje kwenye kutetea mafisadi.
 
Mbogela,

E bwana kacheze bahati nasibu, utashinda. Guess yako iko on point ile mbaya.

Siku ile Chenge alipotangazwa ana lawyer Mmarekani, aliyetishia kuibua masoo kwenye kesi ya Chenge, nikajiuliza, huyu lawyer amesajiliwa ku practice Bongo? Na kama amesajiliwa, Chenge atakujaje na lawyer wa kigeni mahakamani, lawyer anaeongea na mi accent ambayo majaji wanaweza wasimuelewe. I mean, Chenge is no dummy, itakuwaje awe na lawyer mzungu? Strategically inaweza kuwa sio move nzuri sababu majaji wanaweza kuona huyu mgeni anakuja hapa kutufundisha sheria zetu. Ana mpango gani hapa Chenge? (kwenye chess/draft lazima ufikirie adui anafikiria nini, halafu umpe benefit of assumption kwamba he is the most skilled strategist).

Mimi nikatafuta info za huyu lawyer mitandaoni nikapata namba ya simu. Kwa sababu hakuna mwandishi yeyote aliye uliza kama huyu Mmarekani amesajiliwa ku-practice Bongo, nikaona, u know what, we are not going to wait for a Press that does not exist.

Nikampigia lawyer wa Chenge Ohio. Nikaona nikimwambia mimi mwandishi wa habari jamaa naye ataleta u lawyer. Nikaamua kumtengeneza (if u know what I mean). Nikamwambia, nimekusikia jina lako kwenye Media hivi majuzi, nahitaji huduma yako. Kaniuliza we nani, nikampa mi ID ya kutengeneza. Shida yako, nikamwambia Baba yangu kakamatwa na Kesi ya Rushwa. Wapi, ye nani, nikamwambia alikuwa meneja Mkuu wa Kampuni ya Taifa ya Sigara, sasa hivi yuko dhamana. Mzungu hajui chochote kuhusu wakuu wa makampuni ya Bongo chochote ninachomwambia cha mbele. Alipo maliza maswali yake, nikaanza yakwangu. Nikamwambia, unaweza kumpresent babangu akasema, tutaangalia, mwambie anipigie simu. Unaweza ku-practice Bongo, umesajiliwa, akasema ndio, mimi ni Mmarekani peke yake ninaye weza ku-practice in the commonwealth. Sijui ana maana gani, manake kama ni nchi za commonwealth zote, basi nadhani hawezi kuwa peke yake.

Sasa cheki basi. Nikamuuliza, sasa utakuja Tanzania kumrepresent Babangu, akasema, well, tutaangalia kwa sababu nina ma partner Bongo. Na kama kawaida ya Wazungu wanapenda sana kuongea vitu ambavyo hawajaulizwa. Basi akaanza kutoa mi "dataz" (no pun). Akaendelea, "hivi ninavyoongea nimetoka kuwasiliana na "Nima Radi Makono" ameondoka sasa hivi kurudi Tanzania." (Na kweli wakati ule Mkono alikuwa USA, alitokea kwenye media reports siku chache earlier akikanusha madili yake ya BOT kwa njia ya simu kutoka USA.) Sikutaka kumbana sana kuhusu Mkono kwa sababu nilitaka kujifanya sijui kitu, wala simjui "Nima Radi Makono."

Akanirudisha kwenye kesi ya Babangu wa "Kampuni ya Taifa ya Sigara," nikamtengeneza tena. Halafu tukaagana, nikamwacha anasubiri simu.

Kwa hiyo Mkono ni partner wa lawyer wa Chenge Tanzania. Na huyu lawyer anasua sua kuja Bongo. Anahitaji sana ushauri huyu lawyer wa kigeni. Inawezekana kabisa Mkono anatoa ushauri. Ni partner.

Mmhhhhhh!!! mkuu hapo umemkoma nyani Giladi. Yaani jamaa wanatufunga magoli, wanasema Nkono kakataa, kumbe ni yeye anamwakilisha Chenge kwa remote control.

Nafikiri wamefanya hivyo kwa lengo la PR, wanajua Nkono angekubali case moja kwa moja ingelikuwa balaa kwake.

Fisadi ni fisadi.
 
K Mkuu,ebu mwaga namba yake ya simu basi hapa ili na mimi nimpe kesi ya baba yangu aliyeshikwa akivua samaki kwa kutumia baruti.
 
Kuhani Mkuu,

Kukubali kuongelea suala sio sawa na kuwa wa kwanza kuliongelea. Chenge alipewa data ambazo hakuwa na ujanja isipokuwa kuzikubali.

Pia Chenge ni kama anataka kujiokoa toka kwa hawa Wazungu akiamini ya TZ ana uwezo wa kuyamaliza maana ana visenti. Hivyo visenti haviwezi kumwokoa huku UK. Anachofanya
ni kukubali kule ambako jini likujualo halikuli likakwisha. Alichosahau ni kwamba hata kama akina JK wanaweza kumsamehe lakini wananchi hatuwezi kumsamehe.

Chenge ni fisadi, ni katika watu wachache ambao wamepewa nafasi kubwa na nchi yetu
ikiwa ni pamoja na marupurupu kibao, lakini wao wakaamua kuwa walafi na kuiba zaidi ya pesa wanazozihitaji.

Unaweza kuendelea kumtetea huyu mkuu lakini ukweli unajulikana, katusaliti wote kwa faida zake binafsi. Sawa kila mtu ana makosa yake lakini kwenda kuficha visenti nje ya nchi ni kosa kubwa zaidi. Angalau angeamua kuinvest hapo TZ ningemwelewa lakini alichofanya yeye ni zaidi ya ulafi wa kawaida.

Mtanzania you got a very a strong point here!!! Anybody with no eyes to see this?
 
Back
Top Bottom