The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

ES

huna haja ya kuedit kitu wewe weka mkanda kama ulivyo


Mkuu GT,

Heshima mbele ndugu yangu, nia na madhumuni yangu kuanzia leo ni kuhakikisha kuwa kila Mtanzania ninayemfahamu na nisiyemfahamu, mwenye uwezo kuona DVD, anaipata hii DVD,

Kwa sababu I do not care what people say, ninasema hivi mwananchi yoyote aneyeweza kuiona one of this DVD, believe me hutakuwa the same tena, as far as your political look ya taifa letu, na ninaamini kuwa itakuhamasisha kufanya one thing, or anything ili kulisaidia taifa letu,

Uone jinsi Makamba, akijaribu kuwatisha wabunge wa CCM the night before ya siku ya Lowassa, mkutano ambao ulitakiwa kuchukua masaa, ukaishia kuwa only 20 minutes baada ya wabunge kumdindia kuwa hawawezi kutishiwa kama watoto wadogo na kuambiwa cha kusema ndani ya bunge, na wakimuahidi makamba kwamba kama haamini wanayomwambia asubiri kesho yake aone wakimkoma nyani giladi, which is exactly what they did,

Ninasema kwamba sitamuuzia mwananchi yoyote hiii DVD, ila nitajitahidi kila niwezalo ili kila mwananchi mwenye uwezo wa kuona DVD awe nayo, ziko nne sasa nitajaribu kuziweka in one as a master, halafu niweze kufyatua zingine kwa urahisi, ninapenda kuwahukuru watu wa IPPMEDIA kwa ku-make this thing possible.

Mpaka Kieleweke, Hatutakata Tamaa mpaka ukombozi kamili, again ninaomba nitoe heshima za kutoka ndani ya moyo wangu kwa wabunge Anna Komu, Mporogomyi, Seleli, Mwakyembe, Slaa, Olesendeka, Ndesamburo, na Mama Anne Malecela, wenu ni mfano wa kuigwa na Mungu atawalipieni.
 
Issue ya Chenge kwenda London haina uhusiano wowote na SFO. Narudia, Chenge yuko London kwa mambo binafsi na SFO walishamalizana naye.

Mkuu Moelex,

Hakuna mahali popote nchini ambako kumetangazwa habari za Chenge kuwepo London sasa hivi, dataz nilizozipata jana ni kwamba amekwenda huko kwa siri,

ama sivyo alitakiwa kuwepo New York kwenye msiba wa ndugu yake Mama Mackeja, lakini akaishia kulazimishwa kwenda huko na makachero wa UK, baada ya kushinikizwa na rais, ndivyo nilivyozipata hizo dataz, sasa kama ni SFO, au ni M16 dataz hazikusema, lakini nitashukuru kama uanzo za uhakika zaidi ukaziweka hapa maana ninajua hata alipowekwa sasa hivi, huko London I mean his location ila siwezi kusema kwa sasa mpaka baadaye,

Kama una dataz zaidi ziweke tu mkuu hakuna noma!
 
Mkuu Es ahsante kwa point nyingi ulizoweka lakini kuna walakini kidogo!!!

Issue ya Chenge kwenda London haina uhusiano wowote na SFO. Narudia, Chenge yuko London kwa mambo binafsi na SFO walishamalizana naye.

SFO hawajaribu kuisaidia TZ in any way or shape, the investigation is against BAE only. The link to TZ ends with Vithlani and it is true Vithlani had some wire transfers to mzee wa Visenti na ndio sababu ya SFO kumkomalia. Now to prove that the said money was BAE money is where Chenge atatupiga goli sababu SFO hawatakuwa na maelezo kuhusu hela za Chenge wao watawabana BAE na corruption.

Now ni aibu kwa sisi watanzania na viongozi wetu kusema eti tunasubiri uchunguzi wa SFO?? This is insane!! SFO hawachunguzi kwa kina ni viongozi gani wa TZ walipewa rushwa, wao wanachunguza kama BAE walimpa rushwa Vithlani na yeye akawapa viongozi wa TZ. Wakiprove hilo, then wanawabana BAE.

Now link ya Vithlani to TZ leaders hilo swala lilitakiwa libebwe na Usalama, DCI, Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, DPP na kamati za bunge.

Hapa tunachezewa shere!!

Ni hayo tu wakuu.

Mi pointi yako ya nguvu.

Na mtu insane wa kwanza hapa ni Waziri Simba aliyesema Chenge anachunguzwa kabla ya Tanzania kuanza uchunguzi wake. UK hawawezi kutuchunguzia Chenge! And they most likely don't give a rat's a##!

Ni Chenge ndio alianza kusema "Mimi nachunguzwa..." ili watu waridhike kuona yuko kwenye matatizo, kana kwamba watu hatuelewi mambo ya Jurisdiction za kimataifa.

Na ni Tanzania peke yake ndio polisi wanamkamata shahidi. Sio Uingereza bwana. Halafu, toka lini Rais akampa mgeni search warrant against Waziri wake? Tafadhali bwana!
 
According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.

According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!

Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili suiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.

Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.

Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.

....More Dataz to Come Soon....

Too much speculations.Labda ngoja tusubiri hizo data.Otherwise kichwa cha habari hakiendani na yaliyoandikwa hapa.Naona JF inataka kuwa kama Gazeti la Alasiri
 
Mi pointi yako ya nguvu.

Na mtu insane wa kwanza hapa ni Waziri Simba aliyesema Chenge anachunguzwa kabla ya Tanzania kuanza uchunguzi wake. UK hawawezi kutuchunguzia Chenge! And they most likely don't give a rat's a##!

Ni Chenge ndio alianza kusema "Mimi nachunguzwa..." ili watu waridhike kuona yuko kwenye matatizo, kana kwamba watu hatuelewi mambo ya Jurisdiction za kimataifa.

Na ni Tanzania peke yake ndio polisi wanamkamata shahidi. Sio Uingereza bwana. Halafu, toka lini Rais akampa mgeni search warrant against Waziri wake? Tafadhali bwana!

Chenge alianza kusema kwamba anachunguzwa? Mmmmmhhhhh!!!! toa dataz mkuu. Toka lini fisadi akawa na ujasiri wa kusema anachunguzwa?
 
Mkuu Tuandamane,

Heshima mbele, ndio hasa maana ya dataz huwa ni kwa ajili ya werevu tu ku-figure out ukweli!

ni kweli mkuu sikatai ingawa bwana hawa watu, wanamichezo mingi sana JK kwanini anafanya vitu chinichini, pia anaonekana kujitia ubavu sbb tu ni UK wanmeshika bango hii nikwamba anataka kuonekana yeye hajashikia bendera hi ishu mbele ya hawa wezi.

Pili JK kwanini aende mbali wakati kuna vitu vingi tu hapa nyumbani vitamjengea sifa kubwa na uaminifu miongoni mwa waTZ kama akivifanyia kazi. pamoja na maswali yangu yote bado kidogoooooooooooooo sura yangu inashine kwa tabasamu la kuamini.

TARATIBU TUTAFIKA
 
Kama hali ndivo basi mie naanza kuisi kwamba muda si mrefu tutasikia kwamba bwana Andrea Chenge aka Vijisenti aliondoka hapa Dar hivi karibuni kuelekea katika medical checkup huko kwa bibi lakini akagundulika ana tatizo fulani hivo amelazwa katika hospitali ambayo serikali haijaifahamu bado.Another Balaaa la Mali!
 
Kama hali ndivo basi mie naanza kuisi kwamba muda si mrefu tutasikia kwamba bwana Andrea Chenge aka Vijisenti aliondoka hapa Dar hivi karibuni kuelekea katika medical checkup huko kwa bibi lakini akagundulika ana tatizo fulani hivo amelazwa katika hospitali ambayo serikali haijaifahamu bado.Another Balaaa la Mali!


..............na kwa sasa serikali haimuhitaji Chenge lakini ikimtaka itampata....na kwamba Mkulo "amejiendea" london kamtafuta koooooooooooote kamkosa...........

very interesting kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi..........
 
Kwanini usimpigie Kikwete simu umuulize hilo swali?
Ama kwasababu Chenge yuko huko Uingereza and so unataka nini?

2gspeh3.gif
 
Chenge alianza kusema kwamba anachunguzwa? Mmmmmhhhhh!!!! toa dataz mkuu. Toka lini fisadi akawa na ujasiri wa kusema anachunguzwa?

Mtanzania,

Lilipoibuka hili skandali Chenge hakukataa kuliongelea kwa sababu anachunguzwa, akiongea na BBC akiwa China? Na alipofika Airport hakurudia mimi nachunguzwa na nitashirikiana na vyombo husika? Halafu Waziri Simba naye alivyo kuwa mchovu aka pick up from there akasema tusubiri uchunguzi. Halafu baadae Serikali ikasema imeanzisha uchunguzi wake? Unakumbuka hii sequence? Wakwanza kusema nachunguzwa ni yeye fisadi mwenyewe akiongea na Charles Hillary wa BBC.

Link ya BBC iliwekwa hapa JF na sasa hivi naisaka kwa udi na uvumba. Nikiikosa nitakupa print quotes, ambazo zilijaa magazetini.
 
Too much speculations.Labda ngoja tusubiri hizo data.Otherwise kichwa cha habari hakiendani na yaliyoandikwa hapa.Naona JF inataka kuwa kama Gazeti la Alasiri

Mimi nilisha m challenge huyu Mkuu na "dataz" zake akasema mimi ndio natia aibu!! Lol

Nikaacha kubishana nae since! Hapa atalianzisha tena. Watch!
 
Hi ivestigation ya BAE ilianzaga miaka kama mitatu iliyopita, lakini court ya uingereza ikaingilia katu kwamba kamati ya uchunuzi ifutwe (isiendele na uchunguzi) kwa sababu Mfalme ya Saudi ambaye familia yake inasemekana walikula mshiko wa bilioni moja (pounds) alitishia kuvunja all channel he has with uk regarding helping with terrorist control. lakini early this yea high court waliover turn the previous decision ndio SFO wakaanza kazi tena.
lakini naona hao SFO hawana nguvu kabisa hii BAE its too fisadi and have enogh money to buy anyone to shut up

hao viongozi wa serikali yetu wanaosubiri huu uchunguzi wa SFO ni wasanii tu.
the stepping down of chenge, i think its all one big stage show. sasa watakuja kusema he did not do anything wrong, vijisenti was his legal money, so lets move on.

Last G7 meeting iliyofanyika Uk, Mkapa alipokua hapa uk alihojwa kuhusi hii kasumba. akaitetea serikali yake. Mimi naamini huyu bwana alikuwa anajua mchezo uliokua unaendelea.

kwa update ya hiyo SFO investigation soma repori hapo chini ...The unanswered questions (sisi bado tunasubiri majibu!!!!!!!!!! wanyongwe tuna safari ndefu)


The unanswered questions

David Leigh The Guardian, Wednesday May 7 2008 Article historyAbout this articleClose This article appeared in the Guardian on Wednesday May 07 2008 on p6 of the UK news section. It was last updated at 00:09 on May 07 2008.


Yesterday's press conference in which Lord Woolf presented his report on BAE's "ethics" was an uncomfortable affair. The 75-year-old former lord chief justice bridled when he was asked by the Economist about the £6,000 a day paid him by BAE to lead an inquiry on behalf of the arms company.

He said: "I don't deserve to be approached on that basis." The report had taken him and his panel, he said, "nine months of hard work". But for all that effort, the report that emerged yesterday did not answer the questions that have caused international concern.

Woolf's remit was too narrow and tight for him to address issues such as:

· Did BAE set up a secret offshore subsidiary called Red Diamond to handle worldwide cash for arms deals?

· Did the company pay 31% "commission" into a Swiss account on a sale to the African state of Tanzania?

· Did BAE employ Count Alfons Mensdorff-Pouilly, previously caught up in a bribery scandal, as its undercover agent in central Europe?

· Did it provide exotic holidays and prostitutes to the entourage of the head of the Saudi air force?

· Did it pay £1bn to Saudi agents including Wafic Said, and another £1bn to Saudi Prince Bandar? To every question about what BAE may have actually done, Woolf's answer was the same: "We weren't given the job of looking at the past."

He stressed that the outgoing chief executive, Mike Turner, had admitted "that the company did not in the past pay sufficient attention to ethical standards". BAE's opponents may therefore treat with great scepticism the report's list of anti-corruption recommendations for future good practice.

In the US companies which hope for leniency from Department of Justice corruption investigations are generally required first to conduct searching internal inquiries, identify culprits and make full confessions. Woolf's inquiry did not look back.

"The future is much more important than the past," he insisted. The company still faces criminal investigations in London, Washington, Dar es Salaam, Bucharest, Prague, Berne, Budapest and Johannesburg, over continuing multi-million pound arms contracts. Last month Woolf's former colleague, Lord Justice Moses, ruled that the abandonment of the Serious Fraud Office investigation into BAE had betrayed the rule of law. Moses said there had been an "abject surrender" to threats when the SFO, under pressure from BAE, from the then prime minister Tony Blair, and from Prince Bandar, agreed to drop investigations into the Saudi payments.

Asked about that, Woolf said: "It wasn't BAE's fault that the SFO weren't able to finish their task." Asked if he didn't think it inappropriate for him to be working for BAE in view of Moses's words, he added: "No, I don't."

Although critics will call the Woolf report a whitewash, there were two positive sides to it. He demanded that the government reform the inadequate corruption laws which have made it virtually impossible to get bribery convictions against British companies.

And Woolf made plain that BAE's reputation has suffered badly. He said: "The company has continued to suffer reputational damage in respect of its business ethics. The damage flows directly from what is alleged to have happened in earlier years ... there is scepticism as to what extent the company has left its legacy problems behind." To that extent, the Woolf report is a clear call to BAE to clean up its act. It remains to be seen whether, in the absence of any prosecutions, BAE will feel any obligation to comply.

Last night the Corner House, one of the campaigners who won the BAE court case, called the Woolf inquiry "an interesting academic exercise". The group said "BAE should have saved its £1.7m spent on the committee and adopted instead accepted best practice: namely, to employ a law firm as an independent investigator to go through all its internal emails and documents in order to make adequate disclosure to the law enforcement authorities."
 
Jamani mimi nauliza tu. Hivi huyu Mkapa inatakiwa tumfanyeje? Inawezekanaje katika kipindi chake watu waliweza kuiba hata imefikia wakati mtu analala ndani ya nyumba na bilioni? Hii hata kama tumekuwa wapole(wapenda sijui utulivu) hii haijakaa sawa.

Inakuwaje hata watu wanamaliza BoT, hata wengine wakiwa ni watu ambao usingetegemea wakanyage hata BoT?

Mimi nafikiri watanzania tutafanya kosa kubwa sana na vizazi vijavyo vitatulaani kama kweli tutakaa kimya eti mkapa analindwa na sheria. Sijui hizo sheria aliziweka MUngu au aliziweka nani?

Wote wenye akiri nzuri, tukianza na majaji, wanasheria, wanaharakati, vyama vya siasa, Wabunge nk, waliosomeshwa kwa pesa za watanzania tutalaaniwa kama hatutaweza kutoa haki inayostaili kwa Mkapa na group lake la MAFISADI. Huu ulikuwa uhujumu uchumi mkubwa sana. Tanzania nchi yenye utajiri wa kutosha kuifanya ikawa masikini wakati watu wamelalia pesa baada ya kusaini mikataba feki ya kuuza nchi, hii ni laana.

Na may be inatakiwa tujue maendeleo ya vijana waliojitolea hata kumrushia neno hili angalau aseme. Tunatakiwa kutoa wito wale vijana waachiwe mara moja bila vikwazo vyovyote. Vijana walikuwa wanatetea haki yao ya kulinda masirahi ya taifa.
 
Field Marshall ES no offense but hapa umechemsha vibaya sana..linking JK to UK investigations za BAE like he was not the tanzanian foreign affairs minister who said we needed the rada is makin a mockery of us members..ujaweka evidence hata moja ya maana zaidi ya kusema chenge yupo UK (which could be for any reason)...sema unapima joto mtu alopoke..
kaMa unataka kuanzisha mada kwamba jk anafanya kazi chinichini anzisha but dont use this BAE prob pls...unajishusha hadhi yako tuu humu...waengereza hawafanyi investigations kimizengwe kama TAKUKURU therefore THEY ARE NOT PAID TO LOOK OUT FOR TANZANIA, THEY ARE ONLY LOOKING OUT FOR BRITISH INTERESTS...AU TUMERUDI KWENYE UKOLONI...??
 
Mzee ES, I stand by my statement, SFO did not bring Chenge to UK.

(mambo ya kifamilia if U get my drift)

U have to be very careful kwenye huu mchezo unaochezwa TZ.

Chenge has more money in TZ accts than hiyo UK account, sasa kama ni kweli JK angekuwa anataka kumkamata Chenge wala asingejali mambo ya Offshore acct, sababu Billions of Tshs ziko local kwenye jina lake binafsi mzee wa vijisenti.

Halafu U don't have to prove that BAE paid Chenge, U just have to force Chenge to prove how he got his money. Hii ndio straight forward technique inayotumika kwenye conspiracy na high level fraud.
 
Lets not jump on this band wagon!! dataz dataz..mbona hadi sasa ujaongeza kitu...uzushi mtupu!
 
Mtanzania,

Lilipoibuka hili skandali Chenge hakukataa kuliongelea kwa sababu anachunguzwa, akiongea na BBC akiwa China? Na alipofika Airport hakurudia mimi nachunguzwa na nitashirikiana na vyombo husika? Halafu Waziri Simba naye alivyo kuwa mchovu aka pick up from there akasema tusubiri uchunguzi. Halafu baadae Serikali ikasema imeanzisha uchunguzi wake? Unakumbuka hii sequence? Wakwanza kusema nachunguzwa ni yeye fisadi mwenyewe akiongea na Charles Hillary wa BBC.

Link ya BBC iliwekwa hapa JF na sasa hivi naisaka kwa udi na uvumba. Nikiikosa nitakupa print quotes, ambazo zilijaa magazetini.

Kuhani Mkuu,

Kukubali kuongelea suala sio sawa na kuwa wa kwanza kuliongelea. Chenge alipewa data ambazo hakuwa na ujanja isipokuwa kuzikubali.

Pia Chenge ni kama anataka kujiokoa toka kwa hawa Wazungu akiamini ya TZ ana uwezo wa kuyamaliza maana ana visenti. Hivyo visenti haviwezi kumwokoa huku UK. Anachofanya
ni kukubali kule ambako jini likujualo halikuli likakwisha. Alichosahau ni kwamba hata kama akina JK wanaweza kumsamehe lakini wananchi hatuwezi kumsamehe.

Chenge ni fisadi, ni katika watu wachache ambao wamepewa nafasi kubwa na nchi yetu
ikiwa ni pamoja na marupurupu kibao, lakini wao wakaamua kuwa walafi na kuiba zaidi ya pesa wanazozihitaji.

Unaweza kuendelea kumtetea huyu mkuu lakini ukweli unajulikana, katusaliti wote kwa faida zake binafsi. Sawa kila mtu ana makosa yake lakini kwenda kuficha visenti nje ya nchi ni kosa kubwa zaidi. Angalau angeamua kuinvest hapo TZ ningemwelewa lakini alichofanya yeye ni zaidi ya ulafi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom