Hivi alitaka sauti yake isikike au ni wewe ulimpigia simu kutaka kujua ukweli hebu tuambie ndugu,
Mkuu haya unayosema hayajibu swali la msingi na hoja ya utetezi wako na hela za Chenge, isipokuwa unajaribu kukwepa responsibilities kwamba ni shauri yetu, no mkuu hili la kuibiwa ni shauri letu wote wananchi wa Tanzania, na ni wajibu wetu wote kujaribu kujua ukweli wa kodi zetu na mali za viongozi wetu,
Sasa kama the ishu ni wafuateni, basi sasa ni wakati wa kufunga JF maana what are we doing here bro? Ni wewe uliyeanzisha hii topic hivi kweli mkuu what did you expect? Hayo uliyoyatoa hapo juu sio majibu yenye logic hata kidogo kwa sababu unajaribu tu kukwepa responsibilities zako kama mwananchi wa Tanzania, lakini ukweli uko pale pale kuwa Chenge amejiuzlu kwa kukosa maelezo ya hela alivyozipata, nothing personal wala anything!
Serikali yetu ipo, inaendelea na haijafilisika na mahakama bado zipo, pole pole siku itafika wala hatuna haraka nao mkuu! Maana tumetoka nao mbali sana!
Hahaaa, Miss Mapepe, tuliza boli. Sijaongea na Mwanakijiji leo. Ngoja niende podo nimsikilize ngosha of ze momenti.
Chenge hakusoma Harvard law school kama inavyodaiwa. Alisoma mjini Washington DC na Harvard iko Massachussets. Malipo ya $200K kwa kila mikataba mibovu na uuzaji wa madawa ya kulevya ndivyo vilivyompatia utajiri huo haramu.
Mimi mawazo yangu ya ku-tackle issue za kupumbavu hizi zinazozuia maendeleo afrika ni tofauti, na siwezi kutoa mawazo yangu openly. Na kwavile mimi ni mtanzania, najua akili za majority ya watanzania. Too much talk. Unaongea na mtu anaonaje hii ishu, anasema 'watanzania watu wapole sana', 'watanzania wavumilivu sana'.........am sorry, I dont wanna be on the same side with people who cant be decisive on what they wanna achieve to change their lives.
So on that note, I am happy to be different unless people prove otherwise.
Mkuu Jasusi,
Hii ya uuzaji wa madawa ya kulevya ndiyo nasikia leo ... makubwa haya! Website ya Bunge inaonyesha jamaa alikuwa Harvard 1975, lakini hawasememi lini alimaliza
Chenge hakusoma Harvard law school kama inavyodaiwa. Alisoma mjini Washington DC na Harvard iko Massachussets. Malipo ya $200K kwa kila mikataba mibovu na uuzaji wa madawa ya kulevya ndivyo vilivyompatia utajiri huo haramu.
Well,, I find him to be a bit rude, kwa nini asiongee kawaida tu mtu kuzushiwa ndo awe 'mkali' kiasi icho? eti 'natoka ahera narudi tanzania'...
Nimesoma thread hii kuanzia ukurasa wa kwanza nikivutiwa muda wote na jinsi Mwafrika wa kike anavyomchamngamsha huyu anayejiita zeenam. Burudani safi, asante mama!
...
hIVI KWELI NDIO AKILI YA SISI. UNAJIBUJE HOJA WAKATI KITU KINAFANYIWA UCHUNGUZI, NDIO SHIDA YA BUSH LAWYERS. HAPA SIO KWENYE KANGARA NDUGU ZANGU
Mkuu huyu yuko bongo tu hakuna cha lecture wala tution
kwa hiyo maisha yake yote amekuwa bongo una hakika na jambo hili? au unazusha kama kifo chake kilivyozushwa.. Tatizo la baadhi yetu ni ile dhana ya kuwa mwafrika ni mjinga hawezi kufanya kitu cha kujiendeleza. Hebu nendeni kwa kina watu kama Solomon & co, core securities etc wakawafundishe namna na kuwekeza acheni fikira potofu kuwa utajiri ni kwa wahindi na wazungu.