TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Ukiangalia teuzi za kipindi hiki utagundua kama si 100% basi ni pungufu kidogo ya wateule wote wanaishi dar es salam au wamewahi kuishi dar es salam.

Nawakumbusha tu wahusika kutazama Tanzania kwa mikoa na wilaya zote wasiwe tu wale wa dar au kuonekana kwenye tv
 
Katika Hao 139 Madisiii Waislamu Ni Wengi Zaidi Ya Madisii Wakristo. Waislamu wanaupiga Mwingi Sana Kwa Sasa
 
Wateule wa udc wengi ni wakazi au wameishi mkoa wa Dar, na kuonekana kwenye TV, sisi wa mikoani tunatawaliwa. Iweje mtu amekulia jijini Dasilamu au Kaliua kuwa DC. Hawa ndio wanatoa amri makazi ya watu yachomwe usiku na kuua watoto.
Hatari sn
 
Wateule wa udc wengi ni wakazi au wameishi mkoa wa Dar, na kuonekana kwenye TV, sisi wa mikoani tunatawaliwa. Iweje mtu amekulia jijini Dasilamu au Kaliua kuwa DC. Hawa ndio wanatoa amri makazi ya watu yachomwe usiku na kuua watoto.
we jamaa umenena vyema Sana tena Sana inabidi twende zetu dasilamu tuonekane Mana huku mikoani hakuna jipyaaa aisee
 
Kwa mnaokumbuka Itv jackpot bingo wale wadada warembo wa mujini walikuwa wanchezesha ile bahato nasibu ya mzee Mengi kama kina Teddy kalonga basi alikuwepo huyu Dc mpya ambaye kama mwaka mmoja nyuma alikuwa ameshinda miss Tanzania anaitwa Basilla mwanukuzi

Kulikuwa na segment host anauliza maswali nakumbuka aliulizwa kuhusu mji mkuu wa nchi fulani na jina la katibu mkuu wa umoja wa mataifa na jingine nimesahau akajibu vitu vya ajabu kwelikweli

Kesho yake gazet la udaku likaruka naye front page BASILA ANA UBONGO WA SAMAKI
 
1. Godwin Gondwe

2. Jerry Muro

Kama kuna sehemu labda wanakengeuka ( wanakosea ) basi tuambiwe, kwani tunaogopa akina Chopa Mchopanga ( DC Mteule Rorya ) anaweza kuja kuwa RC baadae na wao wakaendelea kubaki kuwa DC's tu.
 
Back
Top Bottom