Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.

NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Kwani hilo ni tangazo la biashara?
 
Wewe ndio uache ujinga, Nani kakwambia sijui hzo ndio maana Sheria nazo hubadilika maana hupitwa na wakati, Toka lini Mambo ya wanasiasa ikawa advertisement. Mfyuuu
Kwani advertisement lazima iwe biashara
 
Ndio nauliza nna kampuni yangu naweza kwenda tigo niwalipe wanirushie matangazo kwa sms kwa wateja wao woootee?
Na kama ni yes, si ingekua fujo kwenye simu zetu zina jam kwa matangazo lukuki.
Kwani wewe huoni matangazo ya biko
 
Ndio ctaki huo upumbavu wa wanasiasa bila consent yangu, ctaki kabisa that's simple hayo maelezo mengine ni useless kwangu hayana nafasi.
Hutaki sawa lakini by time being utatumiwa wewe na familia yako
 
Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.

NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika, Usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Mzee inaruhusu promotions info za kampuni za simu, tena ukitaka usiwe unazipataunaweza.

Nakumbuka nilishawafata Tigo,nikawawashia moto na sms zao zisizo na kichwa wala miguu.

Mpaka leo sijawahi kupata sms zaid zinazohusiana na tigo wenyewe tu.

Tusifanyane jalala.

Bado voda nae,naona wanatabia za kipumbavu kama hizo za kutuma sms hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom