Mfanyabiashara na “lipa kwa simu” ni pete na kidole🤝

Mfanyabiashara na “lipa kwa simu” ni pete na kidole🤝

LIPA NAMBA?🤔
Ni line Maalumu ambazo hutumiwa na wafanyabiashara

LAINI hizi hutumiwa pia na Mawakala kwa matumizi ya kutoa pesa

Kwa wafanya biashara mfano Maduka, Mteja Anaweza kulipia bidhaa kwa kulipa kupitia simu na hii ndio sababu ya LAINI hizi kupewa jina la LIPA NAMBA
AU LIPA KWA SIMU

FAIDA YAKE
🤗Line ya Lipa namba inakuwezesha kutoa pesa kwa wakala yeyote bila ya kuwa na makato YEYOTE
🤗Line unauwezo wa kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote bila ya kuwa na makato ya ziada
😎line inauwezo wa kupokea pesa Hadi milioni 50 na wakati laini ya kawaida haiwezi kupokea kiwango kikubwa Cha fedha!!
🔥Unaweza ukahifadhia pesa zako
💪FAIDA KUBWA YA LIPA NAMBA NI KUTOA PESA BILA MAKATO YEYOTE

LIPA NAMBA NAIPATAJE
🤔Lipa namba ya M-Pesa vigezo Ni:-👇
1. TIN number. Kama hauna utatengenezewa
2. Namba ya kitambulisho Cha NIDA
3. Line ya VODA sajiri zingatia LAINI ISIWEZESHWE M-PESA sajiri tu Kisha nipe namba

🤙Nipigie kwa namba 0765400947 (Whatsapp,simu,Sms
🤞Ukiwa MWANZA naweza kukufata Ulipo

🤲KARIBUNI SANA
GHARAMA: 10,000Tshs
🙏🙏🙏🙏🙏
Vipi suala la usalama? Mtu kalipa then kapiga simu kuwa kakosea namba?
 
LIPA NAMBA?[emoji848]
Ni line Maalumu ambazo hutumiwa na wafanyabiashara

LAINI hizi hutumiwa pia na Mawakala kwa matumizi ya kutoa pesa

Kwa wafanya biashara mfano Maduka, Mteja Anaweza kulipia bidhaa kwa kulipa kupitia simu na hii ndio sababu ya LAINI hizi kupewa jina la LIPA NAMBA
AU LIPA KWA SIMU

FAIDA YAKE
[emoji847]Line ya Lipa namba inakuwezesha kutoa pesa kwa wakala yeyote bila ya kuwa na makato YEYOTE
[emoji847]Line unauwezo wa kupokea pesa kutoka kwa mtandao wowote bila ya kuwa na makato ya ziada
[emoji41]line inauwezo wa kupokea pesa Hadi milioni 50 na wakati laini ya kawaida haiwezi kupokea kiwango kikubwa Cha fedha!!
[emoji91]Unaweza ukahifadhia pesa zako
[emoji123]FAIDA KUBWA YA LIPA NAMBA NI KUTOA PESA BILA MAKATO YEYOTE

LIPA NAMBA NAIPATAJE
[emoji848]Lipa namba ya M-Pesa vigezo Ni:-[emoji116]
1. TIN number. Kama hauna utatengenezewa
2. Namba ya kitambulisho Cha NIDA
3. Line ya VODA sajiri zingatia LAINI ISIWEZESHWE M-PESA sajiri tu Kisha nipe namba

[emoji1690]Nipigie kwa namba 0765400947 (Whatsapp,simu,Sms
[emoji1696]Ukiwa MWANZA naweza kukufata Ulipo

[emoji2969]KARIBUNI SANA
GHARAMA: 10,000Tshs
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐧𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐲𝐚 𝐯𝐨𝐝𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐥𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐢𝐬𝐢𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐡𝐰𝐞 𝐌 𝐏𝐄𝐒𝐀?
 
Lipa no ya mitandao mingine vipi mfano

Airtel
Tigo
 
Vipi suala la usalama? Mtu kalipa then kapiga simu kuwa kakosea namba?
Hapo lazima wewe mwenyewe upewe taarifa kwamba hela inataka kurudishwa, na unaulizwa kama ulimuhudumia huyo mteja ukisema ndio basi haiwezi rudishwa SEMA HILI INABIDI NIKUELEZEE VIZURI KWA SIMU HEBU NICHEKI KWENYE 0765400947
 
Ukii
𝐊𝐰𝐚𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐧𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐲𝐚 𝐯𝐨𝐝𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐥𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐢𝐬𝐢𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐡𝐰𝐞 𝐌 𝐏𝐄𝐒𝐀?
Ukiwezesha M-PESA itagoma maana yake ikija kutengenezwa itakuta laini tayr ina account ya hiyo M-PESA
 
Back
Top Bottom