Uchaguzi 2020 TCRA na Mitandao ya simu mtuombe radhi kwa SMS hii. Mmetoa namba za wananchi kwa wanasiasa? Mmefanya makosa makubwa!

service

JF-Expert Member
May 22, 2014
2,954
2,000
mwengine nae huyo asieelewa. Wewe kama umeona ni kosa, nenda kashtaki mahakamani, ili mahakama iamue kama ni kosa au la. Shida ya nini kwani?
Hawa wagumu kuelewa unajisumbua Kama ni kosa si waende mahakamani ,sasa wanalialia nyuma ya keyboard hapa
 

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
7,675
2,000
Ngoja uchaguzi uishe hapo mwezi wa kuanzia kumi na moja atasema hapangiwi na yoyote, Ila akirudi abadilike na yeye sio watu wamekubwa na janga badala awape pole anasema hakuleta tetemeko, watu wanavunjiwa nyumba Yuko kimya vile hawakumpigia kura. I hope next term atabadilika awe ana sympathize na Raia wake.
Wa kubadilika huko ccm sio jpm, baada ya uchaguzi huu atakanyaga watu hatari.Neno haki halitakuwa na maana tena awamu ya pili ya jpm akishinda.
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,716
2,000
Unaona ulivyo mjinga sasa? Sasa ulitaka utumiwe meseji ya kampeni 2017? Rudia kusoma post zangu za nyuma utaona nilivofupisha haya mambo huwa yanafanywaje. Tatizo lako wewe ni mtumwa wa siasa tu ndio mana unabweka kijinga, zingekuwa za chama chako pendwa ungeufyata kimya.
Halafu ushabiki wako maandazi ni wewe, ctaki kutumiwa message ya mwanasiasa yoyote na sina upumbavu wa vyama Mimi kwani ndio wanaonilisha, tumiweni nyie makada wa wanasiasa, mie upumbavu wa wanasiasa kutafta ugali wao unanihusu nini sasa. Ka ujue wengine hatu mind wanasiasa hata kuwaona tu kichefu chefu.
 

Yaleyale

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,603
2,000
Binafsi nilipigiwa simu na mdada aliyejitambulisha kuwa ni Wakala wa CHADEMA wiki iliyopita akawa anaomba niwapigie kura wagombea wa chadema. Nikabaki nashangaa tu hawa watu wa mitandao wakoje?
Bahati mbaya kuwa sitapiga kura mwaka huu.
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,716
2,000
Binafsi nilipigiwa simu na mdada aliyejitambulisha kuwa ni Wakala wa CHADEMA wiki iliyopita akawa anaomba niwapigie kura wagombea wa chadema. Nikabaki nashangaa tu hawa watu wa mitandao wakoje?
Bahati mbaya kuwa sitapiga kura mwaka huu.
Hawatendi haki kwa wateja kwa kweli
 

MBEYAILEMBO

Senior Member
Jul 29, 2015
130
225
Wazee wakulia lia kama mitoto ya Ndege
Shida nini Wengine mnajidanganya eti Tuka shtaki wapi hahahaha
Nendeni si mmekosa Kazi
MAGUFULI MITANO TENA
Ubongo wa mende bna, miaka 58 na chama chenu chakavu miaka mitano hii siasa mmefanya peke enu bado tu mnatusumbua na visms ovyoo kabisa.
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,414
2,000
Hawa wagumu kuelewa unajisumbua Kama ni kosa si waende mahakamani ,sasa wanalialia nyuma ya keyboard hapa
Wanapiga kelele lakini waulize terms and conditions na privacy policy walizisoma wakati wanalalamikia? nawaekea hapa ya mtandao wa tigo
 

Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,065
2,000
Mkuu kwa uzalendo upi? Wa kutoka watu na kunyima watu haki zao?
Makubwa aliyoyafanya anastahili kuitwa Mzalendo wa kweli...alinifurahisha alivyotuongoza katika mapambano na COVID 19.

Wabunge wa upinzani waliondoka bungeni kwenda kujifungia mahotelini huku wakihimiza wananchi wawekewe Lockdown sasa sijui wangekula nini jamani?


October 28th jura za ndio ni kwa Mzalendo wetu Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
7,414
2,000
Halafu ushabiki wako maandazi ni wewe, ctaki kutumiwa message ya mwanasiasa yoyote na sina upumbavu wa vyama Mimi kwani ndio wanaonilisha, tumiweni nyie makada wa wanasiasa, mie upumbavu wa wanasiasa kutafta ugali wao unanihusu nini sasa. Ka ujue wengine hatu mind wanasiasa hata kuwaona tu kichefu chefu.
Kabla ya kutumia line ya simu, ningekuona mwerevu kama ungesoma Terms and conditions na privacy policy. Sio unakuja hapa unalia lia kitu kisa upumba.vu wako mwenyewe.

Haya soma hii screenshot uache ujinga;

Capture.PNG
 

All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
4,508
2,000
Huko ni kuingilia uhuru wa watumiaji wa simu, wanajua kabisa wateja wao watakuwa na itikadi tofauti kwanini watume meseji za kumpigia kampeni mgombea wa CCM?

Kuna wajinga watasema ni haki yao kwasababu CCM wamelipia, watambue CCM wamewalipa hao wenye makampuni ya simu hawajawalipa watumiaji, haya mambo ya kujipendekeza kwa CCM yakome, wanastahili kushtakiwa.
CDM au Chadema nao waende wakaombe kwa wenye mitandao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom