DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,094
- 1,691
Kwani wale wanaotuma zile jumbe kama "Ile pesa itume kwenye namba hii" nao hupewa namba na hao TCRA pamoja na makampuni ya simu? Ujumbe upi ni bora?
Kwani wale wanaotuma zile jumbe kama "Ile pesa itume kwenye namba hii" nao hupewa namba na hao TCRA pamoja na makampuni ya simu? Ujumbe upi ni bora?
mzee hizo ni msg zinakuwa sent tu kikawaida, Yaani wanaweza tu wakazungumza kama na tigo wakasema ujumbe huu umfikie kila mtu, sio kwamba wanapewa namba hizi hapa chukueni au database hii hapa access.Haahaa mkuu hujui.bila database kutolewe hizo SMS zisingeingia kwa wateja kamwe.watalaamu wa it watakubaliana nami
Haahaa kila aliyeagainst anataka kuingia barabarani.kilichotendeka ni makosa hata kama ujumbe ungekuwa wa hashimu rungweUnataka watu ndo waende wakushtakie? Mtumeni lissu aende kama jambo dogo kama hilo nalo mnashindwa kufungua file, eti nyie ndo mnategemewa kuingia barabarani.
Sawa kuwa wewe ndo sauti yako mwenyewe na wengine sio utegemee mtu akuongelee.Haahaa kila aliyeagainst anataka kuingia barabarani.kilichotendeka ni makosa hata kama ujumbe ungekuwa wa hashimu rungwe
Haahaa kila aliyeagainst anataka kuingia barabarani.kilichotendeka ni makosa hata kama ujumbe ungekula wa hashimu rungweUnataka watu ndo waende wakushtakie? Mtumeni lissu aende kama jambo dogo kama hilo nalo mnashindwa kufungua file, eti nyie ndo mnategemewa kuingia barabarani.
Haa has hivi unajua maana ya access control kwenye database?hicho kitendo cha kuongea na kampuni ili watume hizo kumbe ni sehemu ya access control....wanaojua wananielewa.kwa mujibu wa cyber crime ni kosamzee hizo ni msg zinakuwa sent tu kikawaida, Yaani wanaweza tu wakazungumza kama na tigo wakasema ujumbe huu umfikie kila mtu, sio kwamba wanapewa namba hizi hapa chukueni au database hii hapa access.
Haahaa mbona wanasiasa wanatuongelea sana,?Sawa kuwa wewe ndo sauti yako mwenyewe na wengine sio utegemee mtu akuongelee.
Shida ndio inaanzia hapa! T&Cs zao ziko wazi kweli na huwezi kuwashtaki, Vinginevyo utajifunga mwenyewe tu...Huwa mnasoma Terms & Conditions za hiyo mitandao kabla ya kujiunga? Vipi privacy policy huwa mnasoma pia? Kila kitu wameandika kwenye zile karatasi za simcard na kwenye websites zao. Kitendo cha kununua simcard zao na ku-activate maana yake ume-AGREE terms na conditions zao so umekubaliana na meseji zozote za promo watakazokutumia.
NB: Kabla haujaenda kuwashtaki soma vigezo na masharti ya mtandao husika usije ukageuziwa kibao ukafungwa wewe badala ya kampuni.
Unadhani katika terms hizi wapi panahusiana na jumbe za kampeni,?Shida ndio inaanzia hapa! T&Cs zao ziko wazi kweli na huwezi kuwashtaki, Vinginevyo utajifunga mwenyewe tu...
.....Unahitaji kujua sheria vizuri kuyashtaki haya majamaa huu ni mfano tu wa sera zao za faragha.. View attachment 1603689View attachment 1603690View attachment 1603691
Sababu muhuni bado anayo haki yakupiga kura.
Cha msingi wampe nafasi kama hiyo Lissu pia na wengineo watakao hitaji
Shida ndio inaanzia hapa! T&Cs zao ziko wazi kweli na huwezi kuwashtaki, Vinginevyo utajifunga mwenyewe tu...
.....Unahitaji kujua sheria vizuri kuyashtaki haya majamaa huu ni mfano tu wa sera zao za faragha.. View attachment 1603689View attachment 1603690View attachment 1603691
Natamani mnaopinga wote muhame nchi muende mkaishi Congo au muende Rwanda mkaishi huko kwa muda fulani.
Mkuu haiko hivyo, taarifa zako zilizoko kampuni za simu ni siri ya wewe na kampuni.Taarifa hizo zikitolewa kwa mtu mwingine bila ridhaa yako ni kosa.Kampuni itatakiwa kutoa taarifa hizo serikali kwa special purpose.kilichofanyika ni makosa.Kitendo cha makampuni ya simu kutoa access ya database za wateja wao kwa wagombea urais au vyama vya siasa ni kosa.Nakuhakikishia kama customers wakalalamika kwa wingi wao na kufungua kesi ni shida
Kwenye kuomba kura JPm kawa mpole hivi wakati alisema hapangiwi. Haahaa
Kwa fedha za walipakodi ambao wengi siyo maccmkwasababu CCM wamelipia