Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Hilo jina lililofutwa ni la nani?
Hilo jina lililofutwa ni la nani?
Yani unachukua taarifa zangu halafu unampa mtu mwingine huoni kama huo ni upuuzi?Shida ndio inaanzia hapa! T&Cs zao ziko wazi kweli na huwezi kuwashtaki, Vinginevyo utajifunga mwenyewe tu...
.....Unahitaji kujua sheria vizuri kuyashtaki haya majamaa huu ni mfano tu wa sera zao za faragha.. View attachment 1603689View attachment 1603690View attachment 1603691
Ukiona wameandika jina lako ujue ulicheza. So kuna hizo alafu kuna ambazo haujacheza ila wanatuma kama promo ili ucheze, Zinakua hazina jina lako.TATU MZUKA huwa wanakuandikia mpaka jina lako?
Jpm huyuhuyu kichaa.Ha ha ha ...Magufuli ni kama maji usipoyanywa utayaoga....
Uhuni huu ukomeshwe kwanza kwa kumnyima kura huyo ili wajue kwamba wananchi wameamkaHuu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.
Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Acha ujinga wengine hatutaki Mambo yenu ya siasa zenu na kura hatupigi, Mimi mtandao ninaotumia huwa situmiwi vitu visivo nihusu kwanini unitumie wanasiasa awe Act, CDM, CCM ctaki why wanitumie bila ridhaa yangu na Mimi Sina chamaTulizeni munkar, leo mmepokea kutoka CCM ndio mnataka kwenda mahakamani afu wengine wanasema eti kapewa database
acheni utani, hizi meseji za matangazo zipo nyingi sana tu tunatumiwa za makampuni mbalimbali kila uchwao wakitusumbua tu.
Una majibu ya kubahatisha.Ukiona wameandika jina lako ujue ulicheza. So kuna hizo alafu kuna ambazo haujacheza ila wanatuma kama promo ili ucheze, Zinakua hazina jina lako.
watoe ofa ya bando mamake
Bila shaka mjinga itakuwa ni weye, mana sijakwambia kuwa wamefanya sawa ama la kwa kukutumia meseji, nilichojaribu kuzungumza hapa ni kuonesha kuwa hizo meseji kabla ya CCM makampuni mengine yalikuwa yakituma pia bila ridhaa ya mteja.Acha ujinga wengine hatutaki Mambo yenu ya siasa zenu na kura hatupigi, Mimi mtandao ninaotumia huwa situmiwi vitu visivo nihusu kwanini unitumie wanasiasa awe Act, CDM, CCM ctaki why wanitumie bila ridhaa yangu na Mimi Sina chama
Ndio ivo kaka, hakuna namna hapo labda uache kutumia mtandao wao..Yani unachukua taarifa zangu halafu unampa mtu mwingine huoni kama huo ni upuuzi?
Hizo T & C's zipo kwa ajili ya mteja na kampuni ya simu, unapompa third party taarifa zangu hiyo ruhusa umeipata kwa nani? wanasema unapokuwa umewapa idhini wabia wetu wanaweza kutoa taarifa zako, sasa ni nani amewapa Vodacom Tanzania idhini ya kutoa taarifa zangu kwa CCM wakati mimi mtumiaji sijawapa hiyo idhini?
Hao Vodavom ndio maana wakati fulani watu walitupa line zao, kwasababu ndio wa kwanza kujipendekeza kwa CCM.
Wahi chapuDawa ni kwenda kuwashitaki.
Huu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.
Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Wakintumia ntaweka screenshot hapaUna majibu ya kubahatisha.
Si uende wewe mkuu unaogopa nini,utaingia barabaran trh 28 kweliHuu mchezo hawajaanza Leo, Vodacom na Airtel ndo zao. Wamempa access JPM ya database za wateja wao.
Natamani watu waende mahakamani kwa hili ili haya makampuni yalipishwe fidia ya kutosha.
Mimi sijawahi kutumiwa before why now, kwanza kwanini utoe taarifa zangu kwa wanasiasa ndio concern yangu, pia taarifa nyingine ili utumiwe lazima ujiunge kwa ridhaa bila ku force I wonder why unatetea utopoloBila shaka mjinga itakuwa ni weye, mana sijakwambia kuwa wamefanya sawa ama la kwa kukutumia meseji, nilichojaribu kuzungumza hapa ni kuonesha kuwa hizo meseji kabla ya CCM makampuni mengine yalikuwa yakituma pia bila ridhaa ya mteja.
Sasa katafute mtu akutoe ujinga ili next time uwe unaelewa nini kimezungumzwa.