MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,220
Jamani kwa mnaojua hii kitu hebu nipeni ufahamu, hivi sheria ya kumiliki silaha ya moto inaruhusu pia hata kwa wanawake kumiliki?
maana jana kuna mwanamke mmoja nimemuona na bastola wakat sio askari polisi, polisi jamii, askar magereza wala JWTZ na hata kwenye ulinzi shirikishi hayumo
Hivi yule dada wa arusha aliyewazengua watu kwa cha moto ilikuwaje?
Last edited by a moderator: