Hakika tumetoka mbali najiona kama naota hivi! si unajuwa wengi wetu miaka ya 60 either hatukwepo au tulikuwa watoto wadogo.

Nimeipenda sana hii.

Yap ni Memory Lane si vibaya tukijua wapi tulipotoka
 
singida 60,s
7046003485_9a708943d3_b.jpg
 
MIJI ilikuwa MISAFI sana. Very Clean indeed.

Hebu angalia tena hizo picha uone jinsi ilivyo MISAFI na imepangwa vizuri hasa sehemu za mauwa.

Baadaye Uswahili ukaingia na kuharibu kila kitu. Kweli tuliwahi kupata Uhusu. Ilikuwa ni muda mzuri wa kupanga miji hasa ukichukulia watu kama Nyerere walishaanza kutembea na kuona nchi kama USA kukoje......
 
Miji ilipangika vizuri sana,sehemu nyingi halmashauri zimeuza barabara na open space watu wamejenga maghorofa,mfano mzuri ni K/koo hakuna hata sehemu hata ya kupark vitz au Fancargo
 
Back
Top Bottom