Mikutano ya ajabu ajabu sijui wazee mara wanawake.Sawa kabisa.. ..masherehe ya harusi pia yapigwe marufuku
🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇹🇿🔥🔥
Mkuu unafkri Mungu ni mwongo?? Au ni rajabu?? Ulinzi upo... Nlikutana na mzungu akaniambia hii nchi hii haiko Kama alivyokuwa anaskia... Means kwamba kunawat wanavyotuwazia nje si Kama tulivyo ndani...korona ipo kwenye mataifa jirani kenya n.k.
Bahati mbaya kirusi hakihitaji passport wala viza ndio maana tuna himizwa kuchukua tahadhari za kujikinga.
Kinga ni bora kiliko tiba.
Mkuu hzo unazozisema application yake imekuwa 0+... Na ikumbukwe kuwa wakati ugonjwa unaanza Kinga nzr kabisa ambayo ilipendekezwa ni head immunity... Ila wajaja wakajua hawatapata pesa wakawaingza Chaka binadamu... Rais aliekuwepo(pamoja na mapungufu yake) aliipatia njia akaiweka kuwa hvi tulivyo matokeo yake ungonjwa kwetu si tatzo Tena.. hao wakubwa wanajua... Ila Sasa kale ka b574...
sio "head"immuny ni "herd immunity".Mkuu unafkri Mungu ni mwongo?? Au ni rajabu?? Ulinzi upo... Nlikutana na mzungu akaniambia hii nchi hii haiko Kama alivyokuwa anaskia... Means kwamba kunawat wanavyotuwazia nje si Kama tulivyo ndani...
Ugonjwa upo na utaendelea kuwepo ila haumalizwi kwa chanjo. Barakoa au lockdown... Waulize wataalam nn maana ya head immunity... Ndo utaelewa ninachokiongea kwenye insue ya c19..
Afya bora mnaipata kwa lipi? kwa chips zege au ugali maharage?Haswaaaaaaaaaaaa Tena tunadunda na ulinzi wa Mungu... Na ndo maana were safely... Hata nawe pia Kama upo tz u are safe...
Mkuu kunamambo ambayo tuache siasa... We need strong leader kwa maamz ya kitaifa... Kinachotokea Sasa huo utaalam ni uongo na wanaousema wanajua ni uongo.. hata ukiwatizama unajua ni uongo...Kwanini tusiwachie wataalamu wa afya wakatushauri na kutuelekeza?
Tutayaendesha maisha kienyeji kama hivi unavyoshauri wewe kweli?
Haya si ndiyo ya kuwafanya kina Msukuma kudhani wanaweza kusimamia ujenzi wa reli za SGR vyema zaidi?
Kwanini kumekuwa na competency kubwa sana kwenye Corona kwa watu baki kama wapiga ramli tu?
Maalim, Nkapa, Kijazi, Magufuli nk ni majina machache kukutajia wangekuwa hai kwa kuwasikiliza wataalamu tu?
Ni vigumu kuliona hili kweli?
Asante mkuu kwa marekebisho.. Asante sanasio "head"immuny ni "herd immunity".
na ktk jambo la herd immunity basi ili jengwa madhubuti na vile virusi vya mwaka jan baada ya Hayati Rais JPM kujenga ujasiri bila lockdown wala chanjo hii ndio faida tunaipata sasa miili yetu imejenga herd immunity kutokana na previous infections.
Mkuu unafkri Mungu ni mwongo?? Au ni rajabu?? Ulinzi upo... Nlikutana na mzungu akaniambia hii nchi hii haiko Kama alivyokuwa anaskia... Means kwamba kunawat wanavyotuwazia nje si Kama tulivyo ndani...
Ugonjwa upo na utaendelea kuwepo ila haumalizwi kwa chanjo. Barakoa au lockdown... Waulize wataalam nn maana ya head immunity... Ndo utaelewa ninachokiongea kwenye insue ya c19..
Nope... Kwa vyakula vya asili...mkuu tunavyo vya kutosha.. na tayari tunavila hata nyungu ni chakulaAfya bora mnaipata kwa lipi? kwa chips zege au ugali maharage?
Trust me hii kitu imeanza kuwa seriously mpaka wanaamua kuongea ujue sio salama na wale wanaokataa chanjo mtainunua sio kuitafuta tuu mtainunua imeanza kuwa seriously hii kitu.
Kosa langu lipi mkuu??Nisiache kukwambia haya:
Kwamba ulikutana na mzungu? Kwanini hukumkumbusha kuwa kwenu kuna wataalamu weusi walio na mawazo ya kuwa tuchukue tahadhari?
Ngozi yake tu ikakuaminisha kuwa huyo ndiye mwenye mawazo bora kabisa kwa sababu ya uzungu wake tu.
Tutajikomboa lini sisi?
Kosa langu lipi mkuu??
*Herd....Mkuu hzo unazozisema application yake imekuwa 0+... Na ikumbukwe kuwa wakati ugonjwa unaanza Kinga nzr kabisa ambayo ilipendekezwa ni head immunity... Ila wajaja wakajua hawatapata pesa wakawaingza Chaka binadamu... Rais aliekuwepo(pamoja na mapungufu yake) aliipatia njia akaiweka kuwa hvi tulivyo matokeo yake ungonjwa kwetu si tatzo Tena.. hao wakubwa wanajua... Ila Sasa kale ka b574...
We usivae tu mnapata mnachokitafuta muhimu tupate hizo hela za bure kwani shida ipo wapi?Yote haya kwasababu ya mkopo au kuna lingine nyuma ya pazia?