Na ya bibi ako?
😂😂😂😂
Basi ndugu haina haja kutupiana maneno ambayo Hayana msingi wakati pesa zinaliwana watu wengine, jitahid kulipa kodi ili kuleta maendeleo ya nchi, na unapo-ongeza salio kwenye lain yako ya cm usisahau kuweka na shiling 200 kwaajili ya makato kwa maendeleo yetu #Ndugu babati
 
Sawa Bashite
 
Tutaacha lini kuiga mambo?

Tukubali tukatae, korona si kwa ajili yetu Watanzania. Mbona tunatumia nguvu nyingi kulazimisha tuamini uwepo wa korona ambayo kiuhalisia haipo!

Ugonjwa haufichiki, ingekuwepo tungeiona tu…. tuache kuchuma majanga.
 
Ungeuonaje?
 
Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.

Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
Hapa ndipo nachokaga kabisa!
 
Kuna mkwanja wa dola za marekani milioni 574 tunauvutia kasi!!
Ili kuzipata lazima tukiri uwepo wa corona!! (ambayo haipo hata ukiitafuta kwa tochi). Lazima kutoa data/takwimu za maambukizi (ambayo hayapo!). Lazima kupima, pima, pima (hata bila indication maana corona haipo!!). Ukipima tu, corona itaonekana kwa sababu tatu: 1. Ni kukataa makusudi kinga na uponyajj aliotupatia Mungu baada ya kuwa tumemtanguliza Mungu katika vita hii na kumwomba. Alivyotuponya tukampa utukufu kwa kuitangazia dunia kuwa Mungu ametuponya na tukamshukuru! Kwa hiyo kutangaza rasmi uwepo wa corona ambayo haipo ni kumpokonya utukufu anaostahili na kumkabidhi utukufu huo mwanadamu aliyetuahidi kitu kidogo (halafu siyo bure ni mkopo), ni kufuata wanadamu na kumpa Mungu kisogo atupaye uhai na pumzi kila siku!! Kwa hiyo Mungu anaweza kuondoa ulinzi wake na hizo dola hazitatuokoa. Wenyewe walionazo hazikuwaokoa, zitatuokoaje sisi? 2. Corona Rapid Test kits zimetengenezwa kwa mtindo wa kutoa false positive (positive bandia) kila baada ya sampuli kadhaa!! Hilo halina ubishi na limelalamikiwa sana!! Tujiandae kisaikologia kwa yatakayotokea!! Ila kuna watu watakaodaiwa damu ya watanzania katika hili! 3. Kuna hatari ya kupandikiziwa corona kupitia barakoa na chanjo! Kuna mataifa yaliyoona wivu na hasira sana kwa nini dunia nzima imeteseka na inaendelea kuteseka mpaka leo wakati Tanzania tumebaki salama bila lockdown, bila chanjo, na kwa sasa bila barakoa!! Usifikiri tunapendwa sana!!
Ukiwatazama usoni v*ongoz* wetu wanaonesha aibu na kukosa ujasiri wanapokuwa wanaongea mambo haya! Niseme tu kuwa Mungu anawaona! Na sisi tunaendelea kuiombea nchi yetu na kuwaombea viongozi wetu!
Mungu alituokoa kama alivyoiokoa Israel kule Goshen, lakini huyu mpagani hataki kuelewa, amemkataa Mungu na Mungu amemkataa, sasa subirini siku italipuka na wote waliomkataa Mungu na kumkimbilia mzungu kama jibu lake watakufa
 
Hali ya uchumi ni mbaya hivyo lazima jitihada zifanyike ili hiyo offer ya IMF iweze kupatikana.

Sasa hakuna tena atakayesema tutumie nyungu katika kupambana na hili janga kwani hawa akina Gwajima wanacheza mziki ule unaochezwa wakati huo.
 
Watanzania wamezoea kupata maelezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa. Awamu ya is a mlipuko wa covid-19 awamu ya Tatu baada ya kutikisa India, Sasa inatikisa vilivyo nchi jirani.Imelipotiwa Uganda, Kenya, DRC, Rwanda Sasa ipo Zambia.

Tunahitaji miongozo mapema na kwa wingi, msione aibu wale wafuata upepo wa awamu ya tano, kubalini tu na hali halisi ili isije ikapukutisha viongozi wakubwa.

Watanzania wengi wanapenda matako, sio mbaya kutoa matamko huku wakitolea mfano nchi jirani walivyokwenye mtikiso wa covid-19.

Kinga ni bora kuliko tiba.
 
Tunahitaji miongozo mapema na kwa wingi, msione aibu wale wafuata upepo wa awamu ya tano, kubalini tu na hali halisi ili isije ikapukutisha viongozi wakubwa.
Mpaka imtikise Ndugu Yai na wafuasi wake ndipo tuikie matamko
 
Watanzania wamezoea kupata maelezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa. Awamu ya is a mlipuko wa covid-19 awamu ya Tatu baada ya kutikisa India, Sasa inatikisa vilivyo nchi jirani.Imelipotiwa Uganda, Kenya, DRC, Rwanda Sasa ipo Zambia.

Tunahitaji miongozo mapema na kwa wingi, msione aibu wale wafuata upepo wa awamu ya tano, kubalini tu na hali halisi ili isije ikapukutisha viongozi wakubwa.

Watanzania wengi wanapenda matamko , sio mbaya kutoa matamko huku wakitolea mfano nchi jirani walivyokwenye mtikiso wa covid-19.

Kinga ni bora kuliko tiba.
 
Unashida ya akili wewe,!

Kwani kwa tanzania ww ndyo Mara ya kwanza kisikia Corona??

Ilikuwepo, IPO na itakuwepo...km huchukui tafadhari mwenyewe, Basi acha kutisha watu.,pambana na Hali yako
 
Back
Top Bottom