Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
3,834
2,000
Yote haya kwasababu ya mkopo au kuna lingine nyuma ya pazia?
We usivae tu mnapata mnachokitafuta muhimu tupate hizo hela za bure kwani shida ipo wapi?

Yani tukatae mabilioni ya bure kisa kuvaa barakoa tu? Chanjo mmekataa basi hata kunawa mikono na kuvaa barakoa in exchange ya mabilioni ya bure?

Mnataka tuendelee kuumizana kwenye makodi wakati taifa lenyewe ni changa tunaishia kudanganyana kwamba tupo uchumi wa kati ilimradi mpaka machinga anaminywa??? Hela ya bure tu ipo.

Nadhani tuachane na mawazo ya kizamani Tanzania sio kisiwa, tuvute mpunga haisumbui.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
10,751
2,000
Watanzania tutembee vifua mbere View attachment 1818748

Kama wanaopinga msimamo mpya wa mama na wala wake wako na huyu mwamba, kwamba nyungu ndiyo njia:

IMG_20210614_192655_399.jpg

na bado hawaoni tatizo na wanadhani wako vizuri? Tuelewane tu, tunakoelekea tutamshauri mama achume viboko na kuvitumia.

Hatuwezi kukubali kuwaacha wendawazimu kuyaweka maisha yetu na yao hatarini.

Habari ndiyo hiyo.

Cc: boniphace-bembele-ngwita
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,624
2,000
Naona taratibu akili zimeanza kuwarejea. Akili zao zilikuwa zimeshikwa na mwendazake.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,827
2,000
Kwani wewe ukivaa utaambukizwaje na mjinga ambae hajavaa?

Mbona mwenyekiti wako mr Dj huko mikoani anakusanya wazee wa watu wanarundikana kwenye viukumbi bila barakoa huku yeye akiwa kajichanja? Kuna mjinga zaidi ya huyo?

Wajinga wapo THITHIEMU wengi tu.
 
Boniphace Bembele Ng'wita

Verified Member
Dec 25, 2013
3,086
2,000
Kama wanaopinga msimamo mpya wa mama na wala wake wako na huyu mwamba, kwamba nyungu ndiyo njia:

View attachment 1818766

na bado hawaoni tatizo na wanadhani wako vizuri? Tuelewane tu, tunakoelekea tutamshauri mama achume viboko na kuvitumia....
Mkuu Kwan tumempinga mama?? Hoja huzuiwa kwa hoja.. wap tumesema tunapinga?? Ebu mkuu njoo na ushahid wapi tulifel kwa ile application ya mwanzo?? Je hi ya Sasa itakuwa successfully kwa namna ipi??

Tuache tu kusema cjui barakoa cjui social distance au cjui lockdown... Je hi jamii hi ya kitanzania hii inahitaji hayo Mambo's??? Au ni kwa sabb ya zile usd570???
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
10,751
2,000
Mkuu Kwan tumempinga mama?? Hoja huzuiwa kwa hoja.. wap tumesema tunapinga?? Ebu mkuu njoo na ushahid wapi tulifel kwa ile application ya mwanzo?? Je hi ya Sasa itakuwa successfully kwa namna ipi??

Tuache tu kusema cjui barakoa cjui social distance au cjui lockdown... Je hi jamii hi ya kitanzania hii inahitaji hayo Mambo's??? Au ni kwa sabb ya zile usd570???

Mama anasisitiza tuwasikilize wataalamu wetu wa afya. Kateua tume kwa ajili ya hilo. Hii bado ni pamoja na kuwa sijasema popote kuwa mnampinga mama.

Wapi nimesema mnampinga mama?

Swali la pili la msingi:

Kwanini tusiwachie wataalamu wetu wabobezi wa afya kutuongoza dhidi ya gonjwa hili?

Majibu yako tafadhali.
 
lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,142
2,000
Samia anashindwa kutuelekeza tuvae barakoa za kutengeneza wenyewe, au zakupewa(magufuli alisema zina corona) au zakununua nje ya nchi au zakununua wizara ya afya.
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
3,765
2,000
Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.

Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
kwahiyo hiyo dola bln zaidi ya mia5 wanaletewa mbowe na Lisu au serikali ya ccm
 
Danny Jully

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,417
2,000
Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.

Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
Kwa hiyo ni serikali ya LISSU na Mbowe ndiyo imetangaza wananchi wavae barakoa?
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,266
2,000
Mi nimechanjwa kabla hata mungu wako hajachukuliwa na zirali

Akili zako za makalioni zinakutuma wote tuko hapo Usukumani tunahiji kaburi la mwendazake...
walio mbele wana akili za kimatako kama wewe unadhani!!!
labda kama umeenda kukaa kwa dada yako aliyepata buzi.
 
Boniphace Bembele Ng'wita

Verified Member
Dec 25, 2013
3,086
2,000
Mama anasisitiza tuwasikilize wataalamu wetu wa afya. Kateua tume kwa ajili ya hilo. Hii bado ni pamoja na kuwa sijasema popote kuwa mnampinga mama...
Mkuu wataalam wap?? Hawa wanaosema kuwe na chanjo au barakoa?? Wao ni wataalam waje na statistics.. ni wap hzo application zilileta matunda chanya?? In vivid kabisa nchi ipi?? Sema Ile b570 inawachangamsha...
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
10,751
2,000
Mkuu wataalam wap?? Hawa wanaosema kuwe na chanjo au barakoa?? Wao ni wataalam waje na statistics.. ni wap hzo application zilileta matunda chanya?? In vivid kabisa nchi ipi?? Sema Ile b570 inawachangamsha...

Mama kateua wataalamu wabobezi wa masuala ya afya.

Kwa ufahamu wako wataalamu hao hatuna?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom