mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,444
2,000
Acha ujeuri wewe, vaa barakoa tupate mkopo.
Mkopo kwa ajili ya kupima covid 19 ambayo haipo! Mkopo kwa ajili ya chanjo ya corona hewa!! Halafu tunadanganywa eti ni mkopo wa masharti nafuu (na hayo masharti nafuu hayatajwi). Halafu mtu na akili zake anakubali!! Mabeberu yakibeza utu wetu inabidi tuyaelewe!!!
 

jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,475
2,000
Hii elimu kama angekuwa ametaabikia na hakika angejihudhuru kulinda elimu yake

Kuliko kuwa ndumilakuwili
 

dem boy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
3,384
2,000
Lakini hizk barakoa hazizuii corona! Zingekuwa zinazuia kusingekuwa na maambukizi mapya nchi ambazo ni lazima kuvaa barakoa!!
Hakuna kitu inazuia Corona zaidi ya chajo nayo siyo sure,barako na sanitizer zinasaidia kupunguza maambukizi kwahiyo hizi vitu zina umuhimu wake..
 

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
6,461
2,000
This is the same woman who was leading us to the grave a few months ago when mwendazake was alive.
Why the about turn?
 

Shehullohi

JF-Expert Member
Jul 21, 2020
1,843
2,000
🤔 Si ni huyu huyu alikuwa anasema tunywe Mizizi.

Unafiki wa aina hii uliokubuhu eti iliubakie kuwa Waziri. Alitengeneza mpaka movie huyu na kukashifu uvaaji wa barakoa kidefuni na kuzitundika kwenye side sight mirror za magari. Shame on you madam waziri. Yes shame on you! Chaaaa!
 

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
3,323
2,000
Lisu amekuja na kufanya kampeni hapa kwa miezi 3 bila kuvaa barakoa lakini kwa unafiki alionao aliporudi kwa wanaomfuga akatangaza Tanzania kuna Corona.

Mbowe pia kwenye konyagi anaonekana bila barakoa lakini kwenye vikao vyake uchwara anaonekana amevaa barakoa ili wafadhili wampe pesa zaidi!!!
Nonsense!
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,055
2,000
Maalim kwani alikuwa anakana uwepo wa corona? Tunamsema Magu kwa sababu ni mfano wa mtu aliyekufa kwa sababu ya ubishi.
Hakuna anayekufa kwa sababu ya kukana corona wala anayenusurika kwa kuikubali corona, ndio maana Maalim hakuikana corona ila kaipata corona akajitangaza na bado ikamuuwa sasa hili la kulazimisha kwamba Magufuli kapata corona kwa sababu alikuwa anaikana ni hoja ya kitoto.
 

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
1,970
2,000
Huyu mzee sijui aliwaza nini aisee
aliwaza nini vipi? that is a professor ndugu akisema kitu anakuwa anahadhiri. huyu mama si ndiyo juzi tu alikuwa anatembea na malimao na tangawizi na kizimba cha nyungu? leo tena anakuja na kamba za kutuambia tufuate nja za kisayansi 😆 60% kabisa!
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,339
2,000
aliwaza nini vipi? that is a professor ndugu akisema kitu anakuwa anahadhiri. huyu mama si ndiyo juzi tu alikuwa anatembea na malimao na tangawizi na kizimba cha nyungu? leo tena anakuja na kamba za kutuambia tufuate nja za kisayansi 😆 60% kabisa!
Yaani huyu mama dakitari nae yumo kwenye 60%? Sitaki kuamini mkuu
 

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,078
2,000
Nchi zifuatazo ni hatari kuwaacha kuingia nchini – Bangladesh, Democratic Republic of Congo, India, Nepal, Nigeria, Pakistan, Uganda, South Africa, Sri Lanka, Vietnam, na Zambia,karibia nchi za dunia nzima zimeweka pingamizi kwa raia wa nchi hizo kuingia nchini mwao bila ya vipimo vya uhakika vya marazi ya Covid-19.Kama haitoshi hata raia zetu wanaotoka nchi hizo nao wawekwe kwenye maangalizi ya siku 21 wakifuatiwa na vipimo.

Sasa ni wakati muwafaka kwani hata viongozi wa serikali tumewaona wameondoka kwenye maigizo na lao kila walipo wanafuata taratibu za uvaaji barakowa bado masafa ya sosho tu kidogo wanaonekana kuyapuuza.
CCM jukumu ni lenu maana nyinyi ndio mliokwiba matokeo ya uchaguzi na kupata ridhaa hewa ya wananchi kushika hatamu za serikali hili ni lenu.
 

mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
2,123
2,000
Wimbi la tatu la Corona si mchezo, ingawaje Watanzania kama kawaida yetu bado tunalisikilizia na kupima upepo wake. Ni vyema watu wawapo kwenye makundi wakaanza kuchukua taadhari kutokana na mapendekezo ya kitaalamu juu ya gonjwa hili ambalo dhahiri ni "laboratory made" lenye njama ndani yake ya kupunguza idadi ya watu duniani.
 

M-congo

Member
Jun 11, 2016
65
125
ALienda na corona
Media zilitangaza kafa kwa ugonjwa wa Moyo, kama ni Corona ndo kwanza tunasikia kwako.. maana walio tangaza walikuwa ni viongozi wa juu wa nchi, sasa wewe wa babati hizo reference zako cjui n za wapi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom