pole nikupe wewe prostitute
Ipo serikalini.Kwani korona ipo nchini?
Magu kwenye c19 alikuwa shujaa... Hakuwa tayari kuwAuZa raia kwa vipande vya fedha... Alikuwa tayar kusemwa vibaya lkn wananchi wake tufanye kazi.. tujenge nchi... Leo hii mtu yule yule aliesema njia za awali zilikuwa sahihi... Leo atuambia makorokocho... Na ni Dr Kabisa kitaaluma... Unaniuliza x2 hv pesa ni Haram au madaraka ndo yanawabadli akili watu??
Wanataka kulazimisha kuwepo kwa Corona... Wanaham nayo nazani...
Jiandae kwa lokudawuni wewe mzee wa korona. Hapo akaunti yako naimani inasoma figa za kutosha.
Magu kwenye c19 alikuwa shujaa... Hakuwa tayari kuwAuZa raia kwa vipande vya fedha... Alikuwa tayar kusemwa vibaya lkn wananchi wake tufanye kazi.. tujenge nchi... Leo hii mtu yule yule aliesema njia za awali zilikuwa sahihi... Leo atuambia makorokocho... Na ni Dr Kabisa kitaaluma... Unaniuliza x2 hv pesa ni Haram au madaraka ndo yanawabadli akili watu??
Wanataka kulazimisha kuwepo kwa Corona... Wanaham nayo nazani...
Mbona mara ya kwanza walikuwa hawavai hizo barakoa. Au umuhimu wa barakoa umeonekana kipindi hiki watu wanaishi na ugonjwa kama wanavyoishi na mafua.
Na huyo waziri alikuwa kiongozi wa kushadadia mizizi.
Mkuu hiz za Sasa zinauwiano upi na za zamani? Je huo utaalam ni upi?? Kuvaa barakoa?? Au lockdown?? Mkuu hoja huwa inapingwa kwa hoja... Hzo mbinu hazijazaa matunda wamejifungia mwisho wa siku wametoka...Account yangu haina kitu lakini maisha kwanza.
Hatuwezi sote kuukumbatia ujinga. Kwani shule tulikwenda kutembea?
Habari hii imfikie pia yule bwana msukuma.
Hapana kusahau wapo wengi hawakukubaliana na njia hizo za kienyeji uliokubaliana nazo wewe.
Tutawasikiliza wataalamu wa afya kwenye masuala ya afya.
Taaluma yako tafadhali kama hutajali.
Mkuu wapi kubaya?? Kwa hyo sa iv tunaenda kuzuri?? Yaa huenda upo sahihi.. maana lockdown ikitokea utaletewa kila kitu... Ila huku tuliko... Lockdown sijui barakoa si insu ya msingi... Jambo la maana mtu apate mkate wake kila sik... Na ndvyo maisha yanapaswa kuwa mkuu...Kupata revelations mpya at a time ni kosa?
Usisahau pia mwenye lake jambo sasa hayupo. Alikuwa anatuelekeza kubaya - siyo siri.
Kwahiyo mna afya bora ndio maana hamsumbuliwi na corona?Dar kunajoto la kudondoka mtu... Tunakula vyakula vya asili.. chungwa la Mia unapta..
Sasa mkuu hayo mambo yamekuwepo.. yaan harusi cjui mikutano na Wala hakujakuwepo na athari yoyote
Mkuu hiz za Sasa zinauwiano upi na za zamani? Je huo utaalam ni upi?? Kuvaa barakoa?? Au lockdown?? Mkuu hoja huwa inapingwa kwa hoja... Hzo mbinu hazijazaa matunda wamejifungia mwisho wa siku wametoka...
Mkuu ukwel wamepiga hesabu za kugawana hzo b574usd... I'll watu wa nchi hii waendelee kuwa maskin na tegemezi... Ila mkuu Jambo moj halisi MUNGU HADHIHAKIWI..
Haswaaaaaaaaaaaa Tena tunadunda na ulinzi wa Mungu... Na ndo maana were safely... Hata nawe pia Kama upo tz u are safe...Kwahiyo mna afya bora ndio maana hamsumbuliwi na corona?
Mkuu wapi kubaya?? Kwa hyo sa iv tunaenda kuzuri?? Yaa huenda upo sahihi.. maana lockdown ikitokea utaletewa kila kitu... Ila huku tuliko... Lockdown sijui barakoa si insu ya msingi... Jambo la maana mtu apate mkate wake kila sik... Na ndvyo maisha yanapaswa kuwa mkuu...
Nipo DRC kwenye msitu wa virunga,karibu mkuu kuna fursa nyingi ila zinaambatana na risk kubwa sana.Upo tz mkuu??
korona ipo kwenye mataifa jirani kenya n.k.Mkuu hiv c19 ipo au haipo?? Na Kama ipo ipo wapi?? Au wanalazimisha iwepo?? Wanaitaka kwa kuwa wao wanachakula Cha kutosha.. wanamaji.. wanamahali pakulala pazr.. wangekuwa wanaishi huku kwetu hata hayo maneno wangeona aibu kuyatamka hadharani...
Kunavitu vikitokea Wala hutahitaji matangazo... Hv kwel jamii yetu inahitaji barakoa?? Au inahitaji elim?? Kwa nn tangu ugonjwa umeingia hatujawahi kuwa na hz mambo?? Au wao somo la takwimu na simultaneous equation hawakusoma?? Hawakuwepo siku hzo wakati topic zinafundishwa??
Haswaaaaaaaaaaaa Tena tunadunda na ulinzi wa Mungu... Na ndo maana were safely... Hata nawe pia Kama upo tz u are safe...
Mi nimechanjwa kabla hata mungu wako hajachukuliwa na ziralimjanja ni wewe unayejua kuna corona halafu hata kupeleka tako lako likatiwe chanjo unaona uvivu.
unafiki ndio unafanya mpaka akili zinawapooza.
Mkuu hzo unazozisema application yake imekuwa 0+... Na ikumbukwe kuwa wakati ugonjwa unaanza Kinga nzr kabisa ambayo ilipendekezwa ni head immunity... Ila wajaja wakajua hawatapata pesa wakawaingza Chaka binadamu... Rais aliekuwepo(pamoja na mapungufu yake) aliipatia njia akaiweka kuwa hvi tulivyo matokeo yake ungonjwa kwetu si tatzo Tena.. hao wakubwa wanajua... Ila Sasa kale ka b574...Mkuu tutenganishe mambo hapa. Tumepoteza watu wazito sana hapa ambao kwa kuzingatia tahadhari tu wangapi kuwa hai.
Maisha kwanza. Tunashauriwa:
1. Social distancing
2. Barakoa
3. Chanjo
Kila inapowezekana.
Tatizo liko wapi hapo kuwasikiliza wataalamu bwana afya?
Wewe ni mtalaamu wa afya?