Watanzania tutembee vifua mbere
IMG_20210517_174844.jpg
 
korona ipo kwenye mataifa jirani kenya n.k.
Bahati mbaya kirusi hakihitaji passport wala viza ndio maana tuna himizwa kuchukua tahadhari za kujikinga.

Kinga ni bora kiliko tiba.
Mkuu unafkri Mungu ni mwongo?? Au ni rajabu?? Ulinzi upo... Nlikutana na mzungu akaniambia hii nchi hii haiko Kama alivyokuwa anaskia... Means kwamba kunawat wanavyotuwazia nje si Kama tulivyo ndani...

Ugonjwa upo na utaendelea kuwepo ila haumalizwi kwa chanjo. Barakoa au lockdown... Waulize wataalam nn maana ya head immunity... Ndo utaelewa ninachokiongea kwenye insue ya c19..
 
Mkuu hzo unazozisema application yake imekuwa 0+... Na ikumbukwe kuwa wakati ugonjwa unaanza Kinga nzr kabisa ambayo ilipendekezwa ni head immunity... Ila wajaja wakajua hawatapata pesa wakawaingza Chaka binadamu... Rais aliekuwepo(pamoja na mapungufu yake) aliipatia njia akaiweka kuwa hvi tulivyo matokeo yake ungonjwa kwetu si tatzo Tena.. hao wakubwa wanajua... Ila Sasa kale ka b574...

Kwanini tusiwachie wataalamu wa afya wakatushauri na kutuelekeza?

Tutayaendesha maisha kienyeji kama hivi unavyoshauri wewe kweli?

Haya si ndiyo ya kuwafanya kina Msukuma kudhani wanaweza kusimamia ujenzi wa reli za SGR vyema zaidi?

Kwanini kumekuwa na competency kubwa sana kwenye Corona kwa watu baki kama wapiga ramli tu?

Maalim, Nkapa, Kijazi, Magufuli nk ni majina machache kukutajia wangekuwa hai kwa kuwasikiliza wataalamu tu?

Ni vigumu kuliona hili kweli?
 
sio "head"immuny ni "herd immunity".
na ktk jambo la herd immunity basi ili jengwa madhubuti na vile virusi vya mwaka jan baada ya Hayati Rais JPM kujenga ujasiri bila lockdown wala chanjo hii ndio faida tunaipata sasa miili yetu imejenga herd immunity kutokana na previous infections.
 
Mkuu kunamambo ambayo tuache siasa... We need strong leader kwa maamz ya kitaifa... Kinachotokea Sasa huo utaalam ni uongo na wanaousema wanajua ni uongo.. hata ukiwatizama unajua ni uongo...
 
sio "head"immuny ni "herd immunity".
na ktk jambo la herd immunity basi ili jengwa madhubuti na vile virusi vya mwaka jan baada ya Hayati Rais JPM kujenga ujasiri bila lockdown wala chanjo hii ndio faida tunaipata sasa miili yetu imejenga herd immunity kutokana na previous infections.
Asante mkuu kwa marekebisho.. Asante sana
 
Mkuu unafkri Mungu ni mwongo?? Au ni rajabu?? Ulinzi upo... Nlikutana na mzungu akaniambia hii nchi hii haiko Kama alivyokuwa anaskia... Means kwamba kunawat wanavyotuwazia nje si Kama tulivyo ndani...

Ugonjwa upo na utaendelea kuwepo ila haumalizwi kwa chanjo. Barakoa au lockdown... Waulize wataalam nn maana ya head immunity... Ndo utaelewa ninachokiongea kwenye insue ya c19..

Nisiache kukwambia haya:

Kwamba ulikutana na mzungu? Kwanini hukumkumbusha kuwa kwenu kuna wataalamu weusi walio na mawazo ya kuwa tuchukue tahadhari?

Ngozi yake tu ikakuaminisha kuwa huyo ndiye mwenye mawazo bora kabisa kwa sababu ya uzungu wake tu.

Tutajikomboa lini sisi?
 
Trust me hii kitu imeanza kuwa seriously mpaka wanaamua kuongea ujue sio salama na wale wanaokataa chanjo mtainunua sio kuitafuta tuu mtainunua imeanza kuwa seriously hii kitu.
 
Why should you be trusted and not the medical professionals?

What have you that should entice anybody to trust you?

Weka japo ka CV basi mkuu.

Hukuwahi kusikia mkono mtupu haulambwi?
 
Nisiache kukwambia haya:

Kwamba ulikutana na mzungu? Kwanini hukumkumbusha kuwa kwenu kuna wataalamu weusi walio na mawazo ya kuwa tuchukue tahadhari?

Ngozi yake tu ikakuaminisha kuwa huyo ndiye mwenye mawazo bora kabisa kwa sababu ya uzungu wake tu.

Tutajikomboa lini sisi?
Kosa langu lipi mkuu??
 
Mkuu hzo unazozisema application yake imekuwa 0+... Na ikumbukwe kuwa wakati ugonjwa unaanza Kinga nzr kabisa ambayo ilipendekezwa ni head immunity... Ila wajaja wakajua hawatapata pesa wakawaingza Chaka binadamu... Rais aliekuwepo(pamoja na mapungufu yake) aliipatia njia akaiweka kuwa hvi tulivyo matokeo yake ungonjwa kwetu si tatzo Tena.. hao wakubwa wanajua... Ila Sasa kale ka b574...
*Herd....
 
Yote haya kwasababu ya mkopo au kuna lingine nyuma ya pazia?
We usivae tu mnapata mnachokitafuta muhimu tupate hizo hela za bure kwani shida ipo wapi?

Yani tukatae mabilioni ya bure kisa kuvaa barakoa tu? Chanjo mmekataa basi hata kunawa mikono na kuvaa barakoa in exchange ya mabilioni ya bure?

Mnataka tuendelee kuumizana kwenye makodi wakati taifa lenyewe ni changa tunaishia kudanganyana kwamba tupo uchumi wa kati ilimradi mpaka machinga anaminywa??? Hela ya bure tu ipo.

Nadhani tuachane na mawazo ya kizamani Tanzania sio kisiwa, tuvute mpunga haisumbui.
 
Back
Top Bottom