Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

mchumi na mwana sheria wapi na wapi?! huyu mama ni mwana siasa au ni mchumi au ni mwanasheria?! mbona huwa simwelewi
Kama ww inaujua uchumi nasio mwanasheria kwann yeye asijue ?? Kwan uchumi unapimwa wapi? Kwamtazamo wako ww unaungana na benk ya dunia???
 
Chadema mnahangaika sana!
Ko nyie ccm uchumi wa nchi umekua?? Sisi hatuon pesa huku maisha magumu uo uchumi gan uliopo? Nawala sio bank ni magufuli kajipelekea takwimu zake apate kura nakusifiwa ...wachunguz waje apa kama hatawatimua ! Achen uchama mbwa nyie na nyie mtazaa wachadema watakua watoto wenu wakat huo mmeshakufa
 
Swali la msingi hapa ni mwananchi wa kawaida atafaidika vipi na sisi kuwa Middle Income Country? Jirani zetu ni Middle Income Country lakini kwa mtu wa kawaida haimsaidii kitu. Marekani ni High Income country lakini haikumsaidia kitu George Floyd. Tunachotaka kujua ni hii status mpaya itaboresha vipi maisha yetu. Ni hicho tu.

Amandla...
 
World Bank Country and Lending Groups – World Bank Data Help Desk

Ukifungua hio link ya worldbank utagundua jinsi wanasiasa wetu akiwemo shangazi walivyo tayari kupindisha ukweli ili kupata umaarufu mitandaoni...tunaweza kua tunataka kufikisha taarifa kwa watanzania ila kuifikisha kwa njia ya Uongo haileti mantiki yoyote..na kwa vile watanzania tumekua sio watu wa kufanya research imekua rahisi sana kwao ku take advantage of us...na ss washazoea...Lies will never bury the truth.
 
Kwahiyo wakuu munaipinga bank ya dunia. Ha ha ha. Nyie ni sampuli ya watu ukimwambia kashindwa atalalamika na ukimwambia umeshinda bado atalalamika.
 
Haya ma data hayana maana kama karibia 60% ya watu wapo hoi kimaisha, hawana bima za afya, pa kulala hovyo, chakula mlo mmoja kwa siku tena usio kamilifu, maji safi na salama hawana wanashare maji ya madimbwi pamoja na mifugo.

Saa nyingine data za wachumi hazi reflect real situation.
 
Anyway,labda hamna nchi iliyomo tena katika hilo kundi.

Na hii je?

Cha msingi ni kujiuliza tumepanda kwa kiasi gani kwa muda wote huu kufikia hatua tuliyopo sasa na sio kupiga mapambio tu.

View attachment 1495106
Naona tuwaache kwanza muelimishane na Fatuma wenu.
Mkishaelewana ndo mkate rufaa huko WB.
Maana nyie mna uzoefu wa kuendesha SACCOS, inawezekana mna data ambazo WB hawana.
 
Ko nyie ccm uchumi wa nchi umekua?? Sisi hatuon pesa huku maisha magumu uo uchumi gan uliopo? Nawala sio bank ni magufuli kajipelekea takwimu zake apate kura nakusifiwa ...wachunguz waje apa kama hatawatimua ! Achen uchama mbwa nyie na nyie mtazaa wachadema watakua watoto wenu wakat huo mmeshakufa
Chadema ni ya watoti wa akina Mbowe hata wewe uko hapo " Ufipa bahati mbaya"
 
Zanzibar watu wana akili sana, Fatma Karume ni mwanamke ambaye kichwa chake kinafanya kazi sana kwenye mambo mbali mbali, kule Tanganyika wakisikia uchumi wa nchi ni wakati wanapiga kofi na vigelegele tu na kumpongeza mkuu,

Ndio mana kule Tanganyika hadi sasa hakuna aliyesubutu kujaza fomu ya urais ukitoa mkuu. Wanapelekeshwa kweli kweli
We bwashehe hebu tulia
 
Hapa shangazi alinifurahisha sana!
 

Attachments

  • 96359CED-B2B3-4EC4-9CB7-17D5D209537B.png
    96359CED-B2B3-4EC4-9CB7-17D5D209537B.png
    61.9 KB · Views: 2
Kuna watu siasa zitawaletea malazi yasiyoambukiza, au kudhoofisha afya ya akili
Huyu dada tayari ana matatizo. Ni abnormal, ni psychiatric case!
Chuki anayoibeba ni kubwa mno, ndiyo imemletea madhara. We mfuatilie, ni rahisi kuligundua hili.
 
Halafu Muzungu kaleta hii habari kipindi cha Uchaguzi, yaani hardtalk ya Tundu lisu, Zito Kabwe kujiuza ofisi za benki ya Dunia kuichongea nchi yetu iwekewe vikwazo, halafu mwishowe Muzungu huyo huyo anaipatia Tanzania yetu middle income status tena kipindi cha Uchaguzi? Duh!
Ujinga! Kwani wananchi wana feel ongezeko la kipato chao kupitia tangazo la Waziri Mpango au wanaona wenyewe kwamba kipato chao kimeongezeka? Wewe mwenyewe hapo ulipo umeandika hicho ulichokiandika huku ukiwa huliamini tangazo la Waziri maana haliendani na uhalisia wa maisha ya mtanzania!
 
Watakuja kukwambia ufanye kazi...
Ko nyie ccm uchumi wa nchi umekua?? Sisi hatuon pesa huku maisha magumu uo uchumi gan uliopo? Nawala sio bank ni magufuli kajipelekea takwimu zake apate kura nakusifiwa ...wachunguz waje apa kama hatawatimua ! Achen uchama mbwa nyie na nyie mtazaa wachadema watakua watoto wenu wakat huo mmeshakufa
 
Wallahi lazim Elimu ya Tanzaniaaiboreshwe. Kumbe tumewekwa kwenye KUNDI la LOWER MIDDLE INCOME kwa sababu WORLD BANK wamebadilisha MFUMO wakupima Utajiri wa Nchi na wameondoa LOW INCOME-Fatma Karume on twitter








View attachment 1495087
Punguza umbea duniani nchi zilizopanda ni nchi tano tu ambapo kwa Afrika ni Tanzania na Algeria (stand to be corrected) sasa wewe Kama wamelegeza vigezo lakini bado Afrika zimeingia nchi mbili.

"Wivu humuua mtu mjinga"

FIDQ
 
Seems ameumia sana na hii issue ya Middle Income.

Sidhani kama kuna mtu anahitaji kujua hizo "mboyoyo" kwa sasa!
 
Back
Top Bottom