GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Mkuu watu wanashangilia wanahusisha na Maisha yao binafsi wakidhani pesa ipo mifukoni mwao. Hili jambo hasa hii miradi mikubwa italeta mrejesho baada ya miaka kadhaa. Hapo ndipo mabadiliko kidogo yataonekana kwa watu.kama hivi ni vigezo basi litakua ni timba LA karne