happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 846
Kama ww inaujua uchumi nasio mwanasheria kwann yeye asijue ?? Kwan uchumi unapimwa wapi? Kwamtazamo wako ww unaungana na benk ya dunia???mchumi na mwana sheria wapi na wapi?! huyu mama ni mwana siasa au ni mchumi au ni mwanasheria?! mbona huwa simwelewi