Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,419
- 4,061
Pako wazi kwa sababu hakuna ingizo jipya, kweli hamna akili kabisa nyie watu Salary Slip.
Chadema mnahangaika sana!Wallahi lazim Elimu ya Tanzaniaaiboreshwe. Kumbe tumewekwa kwenye KUNDI la LOWER MIDDLE INCOME kwa sababu WORLD BANK wamebadilisha MFUMO wakupima Utajiri wa Nchi na wameondoa LOW INCOME-Fatma Karume on twitter
View attachment 1495087
hii narrative ipo sahihi kabisa.Wallahi lazim Elimu ya Tanzaniaaiboreshwe. Kumbe tumewekwa kwenye KUNDI la LOWER MIDDLE INCOME kwa sababu WORLD BANK wamebadilisha MFUMO wakupima Utajiri wa Nchi na wameondoa LOW INCOME-Fatma Karume on twitter
View attachment 1495087
😂Huyo ni mpinzani kuanzia mwili mpaka akili!
Hapa nchini MPINZANI NI TAALUMA!
Hapo shangazi Fatma sielewi anataka kumanisha nini . jedwali hapo juu Vigezo vya kufuzu vimepandishwa havijashushwa. Kweli mwanasheria kuelewa uchumi ni shida. Yeye ajikite kutetea watu mahakamani sio kutuzuga. World bank wanasema " This year 2020 thresholds have moved up comparing 1/7/2019 and 1/7/2020"
Magufuli ni mwalimu wa kemia au daktari wa binadamu au injinia au mwansheria?mchumi na mwana sheria wapi na wapi?! huyu mama ni mwana siasa au ni mchumi au ni mwanasheria?! mbona huwa simwelewi
uraisi ni taasisi yenye mseto wa kutosha.Magufuli ni mwalimu wa kemia au daktari wa binadamu au injinia au mwansheria?
Malcom X hakuwa mjinga kias hichoHuyo ni mpinzani kuanzia mwili mpaka akili!
Hapa nchini MPINZANI NI TAALUMA!
Duuh sasa hizi taarifa ni kutoka vyanzo tofauti au ni swala la nani yupo well informed?Anyway,labda hamna nchi iliyomo tena katika hilo kundi.
Na hii je?
Cha msingi ni kujiuliza tumepanda kwa kiasi gani kwa muda wote huu kufikia hatua tuliyopo sasa na sio kupiga mapambio tu.
View attachment 1495106
Sasa una uhakika gani fatma hana "mseto wa kutosha"?uraisi ni taasisi yenye mseto wa kutosha.