Nipo nauguza majeraha ya kuvunjika mguu so Kwa Sasa nipo kitandani 24/7 last week ilikua kimbembe umeme kukatika on/off

Kwa siku 3 mfululizo 24/7 huku nilipo umeme haujakatika kipande hili nilichopo (dar)
 
Mgao wa umeme utapungua lini kwa watu wa Sikinge Tabora?kila siku tunashinda bila umeme hata leo,jana n.k
 
Back
Top Bottom