Matokeo Jr
New Member
- Mar 17, 2024
- 2
- 2
Help me on this “THE LEGAL FRAMEWORK FOR COMPENSATION OF VICTIMS OF ELECTRICAL ACCIDENTS IN TANZANIA MAINLAND”
Ahsante sana, na je kawaida malipo huwa ni kiasi gani?Fanya Wiring Kwa Fundi Anayejulikana Na Tanesco
Chukua Form Tanesco Aijaze Vema Unairudisha Kwao
Utapewa Surveyor Atakwenda Kuona Eneo, Na Kufanya Makadirio Endapo Kunahitajika Nguzo Ama Laa. Urefu Wa Wire Na Sehemu Ya Kuweka Blackett Endapo Ni Lazima
Baadaye Utapewa Control Number, Unalipa Halafu Unawekewa Umeme
CC:Tanesco
Tunayaangaza Maisha Yako
Na mimi pia leo ,vipi umerudi kwako umeme? Wamefanyaje kurudisha?Umeme umekatika nyumbani kwetu tu, baada ya kucheza cheza kwa muda. Mikocheni karibu na fiveways bar. Namba ya taarifa ni 6071400. Tafadhali saidia.
AlaaNimefanikiwa kutembelea Rombo huku kwa watani zangu wachagha (wezi wa taifa kama wavivu wanavyopenda kuwaita) nimefika huku juzi naona umeme haujakatika hata mara moja.
Leo tunataka kuuona mchezo WA Simba mnakata umeme igogo mwanza hamjui taifa lote linatolea macho mpira huu.Karibu mgeni,
Ila mngeanzisha uzi maalum kwa matatizo mbali mbali
Nunua Sola tu, Hawa TANESCO ni wahujumu uchumi tu kama wengineMsaada umeme ulikatika baadaya ya kurudi umeme ukawa unaishia kwenye mita nikapiga simu wakaniahidii fundi atakuja lakini mpaka xaxa hamna hata fundi aliyefika leo siku ya tatu naomba msaada wa tatizo hilo##Ticket-6162199##