Mhakiki
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,306
- 1,993
SEMA ukienda kuomba ufungiwe umeme kwa mara ya kwanza bei iwe 27,000 kama unataka mita ya pili bei iwe 5,000,000/= ukitaka ya 3 iwe 10,000,000/=Hivyo vifaa vinaleta migogoro sana kwenye nyumba,hizo mita hata ziwe laki wateja sisi tutanunua tu,angalieni kuhusu hili,kama kuna uwezekano ruhusuni wazabuni walete mita maana kilio chenu ni kutokuwa na mita za kutosha...mteja awekewe mita na awe anakatwa buku buku kila mwezi.
Fanyeni kazi kama mitandao ya simu muone kama hamjazikimbia hela..yaani mtapata pesa kuliko TRA.