Mimi kwangu surveyor alikuja toka 28/04/2021 nipo ndani ya mita 45 panahitaji nguzo moja ila mpaka leo TANESCO hawataki kunipa control number, sasa sijui hizo siku 60 zinaanza kuhesabiwa kuanzia kwa surveyor au kuanzia siku uliyopewa control number. TANESCO naombeni majibu
Hivi tanesco mbona hii message yangu hamjibu? Mliniomba taarifa zangu nikawatumia ila mpaka Leo ni miezi 2 hamna majibu yoyote. Kama hili suala lipo nje ya uwezo wenu mseme
 
Hivi tanesco mbona hii message yangu hamjibu? Mliniomba taarifa zangu nikawatumia ila mpaka Leo ni miezi 2 hamna majibu yoyote. Kama hili suala lipo nje ya uwezo wenu mseme
Tafadhali tutumie taarifa kamili

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Mbona tanesco mnasambaza umeme kwa kusuasua Sana..haswa maeneo ya wilaya ya same..kulikoni
 
Kuna nguzo zipo barabara ya kupanda kidenge..naona huu mwaka wa 2..haziend panapohusika na tukiziomba huwa tunambiwa zina watu..
 
Tafadhali tutumie taarifa kamili

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
Jina: Lwitiko Mwambene
Eneo: chipaka
Wilaya: Momba
Mkoa: Songwe
0753154053
Haya taarifa zangu hizo hapo baada ya muda mtaniomba Tena. Maana tanesco Kwa usumbufu Kwa wateja mpo vizuri
 
Hussein
Kutoka Goweko
Wilaya ya Uyui, Tabora.

Toka siku ya Jumamosi usiku mpaka leo hakuna huduma ya umeme katika maeneo kadhaa ya wilaya ya uyui. Hakuna taarifa na tunapata shida
 
Hussein
Kutoka Goweko
Wilaya ya Uyui, Tabora.

Toka siku ya Jumamosi usiku mpaka leo hakuna huduma ya umeme katika maeneo kadhaa ya wilaya ya uyui. Hakuna taarifa na tunapata shida
Tafadhali onesha namba ya simu
 
Tafadhali toa taarifa police upatiwa police loss report kisha fika nayo ofisi za eneo lako huku ukiwa na barua ya kuelezea mazingira ya kupotea kwenda kwa manager wa eneo lako, taratibu zitafatwa kisha utalipia na kupatiwa nyingine
Nimefata taratibu kama ulivyonielekeza,tatizo wanizungusha kunipatia mashine nyingine,nifanyeje,niwape ya kubrashia viatu ?
 
Narudia tena. Kuna barua yangu nimeleta tangu mwezi wa 9, nikiomba kuhamishiwa nguzo kwani mafundi wenu wamemfungia umeme jirani yangu wa mtaa wa nyuma yangu kwa kupitisha waya juu ya paa langu na ndani ya uzio wa nyumba yangu.
Narudia tena naomba mje kuhamisha nguzo ili majirani zangu wote wapate umeme na waya usipite juu ya paa langu. Kwani waya ukichanika ukagusa paa langu naweza kusababishiwa madhara kwa binadam.
Nipo Msongola, nyuma ya kituo cha Watoto Yatima, jimbo la Ukonga, Ilala.
Nimeleta barua gongo la mboto.
Namba yangu ya simu hii 0714 520 882.
Yakitokea madhara I will sue the company and my neighbour. Nisiposhughulikiwa tena hili, nakuja kumuona Meneja wa Ukonga, akishindwa, naenda kwa meneja wa mkoa hata kwa waziri. We can't complain about the same thing for months alafu hakuna hatua yoyote as if hakuna uongozi!!!!
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu, tunaomba uvumilivu tuifikie
 
Nimefata taratibu kama ulivyonielekeza,tatizo wanizungusha kunipatia mashine nyingine,nifanyeje,niwape ya kubrashia viatu ?
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
NimekuPa taarifa kwenye PM .naomba msaada wako mkuu
 
Tanesco,naombeni mnieleweshe kuhusu hizi wanazoziita sub meter ambazo unanunua luku unaweka ,hizi ni tofauti na vile visoma Unit.Je ni halali kuwa na hicho ki sub meter?maana kuna wadau wanauza tena kwa bei ya laki na sabini (170,000).
Kwanini msizalishe ama kuagiza hivi nyinyi wenyewe Tanesco ili iwe rahisi kwa wateja wenye shida kama mimi katika nyumba zetu za kupanga?
Najua hampati kero hizi maana nyie hamlipii umeme,mna mita za bure ila mngekuwa mnalipia akili ingewakaa sawa.
 
Hivi vinafungwa baada ya mita hivyo ni jukumu la mteja na mkandarasi wake, ukitembelea maduka ya vifaa vya umeme utazipata kwa bei ya maelewano kati yako na wauzaji
 
Hivi vinafungwa baada ya mita hivyo ni jukumu la mteja na mkandarasi wake, ukitembelea maduka ya vifaa vya umeme utazipata kwa bei ya maelewano kati yako na wauzaji
Mkuu nimepata ile CIU iliyopotea,ambayo nilipata loss report ya polisi,pia niliandika barua ya kuomba nyingine tanesco,
Sasa mwizi kairudisha kaitupia uwanjani nimeamka asubuhi nimeikuta nje.

Kusoma inasoma unit zilizobaki,haijaharibika.

Je hatua gani nifate tena? Nirudi tanesco kuwataarifu kuwa CIU iliyopotea imepatikana au niendeleee na " maisha yangu"?.
Naomba ushauri hapa.
 
TANESCO speed yenu iko down ongezeni nguvu kidogo. Nimelipia tangu tar 3/9/2021 hadi leo tar 8/11/2021 n inahitajika nguzo moja tu. Miezi miwili na zaidi ni mingi sana kwa shirika makini hebu fanyeni mpngo bana. N hii sio kwangu tu kuna urasimu kuanzia kupata control no n ukiipata bado unaingia kwenye foleni ya pili ya kupatiwa huduma. Hain shida tutavumilia tu man hatun kwa kukimbilia.
Tukiuliza tunaambiwa tupo kwenye foleni tusubiri
 
Ili kuwa na mita zaidi ya moja lazima tujiridhishe kuwa mita ya sasa imefikia matumizi yanayotulazimu kuwa na mita nyingine, kama ni kwa ajili ya usimamizi wa wapangaji wako unadhauriwa kufunga mifaa maalumu vya kusoma matumizi yao na sio kuongeza mita nyingine.

Ahsante sana
Meter za kuonyesha matumizi bado huwa zinaleta mgogoro. Hizo meter nilizoomba TANESCO nazilipa sizichukui bure. Pili bado wapangaji watakuwa kila mmoja huru na kuweka umeme na ukiisha unaendana na matumizi yake

Ushauri wangu kwa TANESCO, nyumba za kupanga kero kubwa ni umeme. Ila kila mtu akitumia umeme wake ukiisha hana wa kumlaumu. Rudisheni meer separation kwani kipindi cha Kikwete ilikuwepo na mtu alikuwa huru kuweka meter nne kwenye nyumba moja ilimradi tu inasoma account moja

Mie nahitaji meter nne kwenye nyumba yangu ili wapangaji wawe huru na matumizi mubashara ya umeme. Kwenye hizi apartment naweka kila mpangaji jiko la umeme, air condition and water heaters zitakuwa zinahitaji umeme mwingi, kwa wapangaji kushare mnafanya umeme ulete mgogoro for no reason. Nitalipia meter zote please nahitaji meter nne. .
 
Back
Top Bottom