Me nimeomba umeme kigamboni na umeme upo karibu kabisa na kwenye site nimelipia kila kitu na hiyo 27000 nimetoa tayari ila nimekuja kuambiwa kwamba kama nataka umeme haraka haraka kwa ajili ya nguzo nilipe million 5 je hii ni sawa au tanesco naombeni ufafanuzi zaidi.....
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Ukishaja form ya kuomba kuunganishiwa umeme na surveyor ashakuja kuchek inachukua muda gani mpaka kuambiwa ukalipie
Nimefanya kila kitu tayari surveyor amekuja tayari nikaenda kulipia after hapo nimekuka kuambiwa kama nataka umeme wa haraka haraka inabidi nilipie million 5 ndio wanileteee je hii no sawa au mimi ndio sijaelewa hasaa hapa??
 
Nimefanya kila kitu tayari surveyor amekuja tayari nikaenda kulipia after hapo nimekuka kuambiwa kama nataka umeme wa haraka haraka inabidi nilipie million 5 ndio wanileteee je hii no sawa au mimi ndio sijaelewa hasaa hapa??
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Mgao wa umeme Kinondoni (toka asubuhi hadi sasa) pasipo taarifa.

KAZI IENDELEE
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
Leo tarehe 15 sept 2021 tangu saa 3 asubuhi hadi saa hizi 12 jioni eneo letu hatuna umeme. Ndio jinsi january makamba kijana wa madili kaanza kazi kwetu. Siiju maeneo mengine
 
Mbezi beach makonde umeme leo haukuwepo toka asubuhi umerudi jioni hii. Hurray Waziri mpya nimependa vibe lako.
 
Wafanyakazi wenu baadhi ya kanda na mikoa wanachelewa kusambaza Umeme kwa wananchi ili kutengeneza mazingira ya rushwa.

Umeme kuwashwa kwa wananchi unachukua muda zaidi ya mwaka na nusu, karibia miaka miwili. Kama si hivo, shida ni nini hasa?
 
Kimara mwisho mmeshakata umeme tayari leo hii.

Nasoma comment za watu humu inaonekana jana pia mlikata umeme maeneo mengi Dar. Labda umefika wakati watu wa Mungu tunaosali na Mungu akatusikia tujitambulishe kidogo.

Nawaambia hivi,na kama kuna mtu anamjua January Makamba humu akamuonyeshe post hii,TANESCO mkiendelea na utaratibu huu wa kuhujumu watanzania wanaoishi kwa jasho na damu,nasema hivi mbele za Mwenyezi Mungu wa haki, kuanzia saa hii nnaandika post hii mtaona kitakachotokea kwenu, wizara yenu na serikali yenu.

MARK THIS POST !
Sitaandika tena kuanzia leo. Shuhudieni wenyewe hali zenu!
 
TANESCO MBAGALA hongeleni sana kwa kazi nzuri, kwa sisi wenye uhitaji wa kufungiwa umeme,zaidi ya watu 50 tumeunganishiwa huduma siku ya jana 15/9/2021 maeneo ya chamazi kwa muda usiozidi miezi 2
 
TANESCO MBAGALA hongeleni sana kwa kazi nzuri, kwa sisi wenye uhitaji wa kufungiwa umeme,zaidi ya watu 50 tumeunganishiwa huduma siku ya jana 15/9/2021 maeneo ya chamazi kwa muda usiozidi miezi 2 .
Karibu sana
 
Ni wiki ya pili sasa hatuna umeme,BUSEGWE BUTIAMA transformer yenu iliharibika baada ya nyie kutoifanyia maintenance kwa miaka. Kila mkija mnazunguka zunguka na lori lenu mnaangalia transformer kisha mnaondoka.

Simu hampokei na mkipokea mmekuwa waongo mno. Hapa kuna taasisi zaidi ya tatu zinazotegemea umeme kupump maji, hivi tutaishi vipi bila maji?

Swala la nyie kuja na kuunganisha transformer ya karibu ikasambaza umeme mnashindwaje?

Mita zingine mmeweka juu ya nguzo na umeme ukiisha zinajilock hadi mje mpande juu ya nguzo ndo mzifungue. Mkiitwa makaa siku mbili ndo mje, mara ooh hakuna usafii MUNGU ANAWAONA

Ukitaka kuungiwa umeme ndo usiseme, mnataka mbebelezwe miezi miwili.
TANESCO KERO NA MATESO YAMEZIDI HAYAVUMIIKI
 
Back
Top Bottom