sabuni ya gesi
Member
- Dec 4, 2019
- 48
- 45
Wilaya ya BUTIAMA, KATA YA BUSEGWE, eneo la Busegwe tatizo transformer iliharibika tangu tarehe 9/9/2021. Taarifa hiyo ni kamili, taarifa zipi zaidi unahitaji?Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM