Nawasilisha malalamiko ya kutatuliwa tatizo la kukosa umeme kwa wiki mbili kwa kaya kadhaa kata ya Iwanga, Mbeya vijijini. Taarifa namba 2724 ilipokelewa kutoka namba ya simu 0754843847. Licha ya kaya zingine Kulalamika pia hakuna hatua zilizochukuliwa mpaka sasa