Nawasilisha malalamiko ya kutatuliwa tatizo la kukosa umeme kwa wiki mbili kwa kaya kadhaa kata ya Iwanga, Mbeya vijijini. Taarifa namba 2724 ilipokelewa kutoka namba ya simu 0754843847. Licha ya kaya zingine Kulalamika pia hakuna hatua zilizochukuliwa mpaka sasa
 
Ahsante kwa taarifa
 
TANESCO tuambieni kuna tatizo gani Mwanza wiki ya tatu sasa mnakata kata umeme kila saa hakuna taarifa yoyote, mpk muda huu Nyakato tupo gizani

Na jana umekatika saa 4 umerudi saa 6 usiku, ni Nyakato mpaka Buswelu, hapa nilipo naona mpaka Kiseke pako giza kasoro baadhi ya maeneo nadhani ni line ya Airport ndo unawaka
 
Na jana umekatika saa 4 umerudi saa 6 usiku, ni Nyakato mpaka Buswelu, hapa nilipo naona mpaka Kiseke pako giza kasoro baadhi ya maeneo nadhani ni line ya Airport ndo unawaka
Asante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi
 
Asante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi

Mnanishukuru kwa taarifa ili iweje badala ya nyie kutoa taarifa ya kwanini umeme umekatika maana mpaka sasa saa 8 kasoro usiku tangu saa moja jioni umeme hapa Mwanza maeneo ya Nyakato mpaka Buswelu umekatika
 
Mnakera sana kukatakata umeme mida usiku wa manane mitaa ya KIMARA....mnavizia watu wamelala alafu mnakata kwa maksudi.Hili limekiwa linajirudia mara kwa mara,acheni hizo mambo.
 
Ndugu mteja unaweza kuwasiliana nasi kwa namba hizi
IMG_20210107_124103_215.jpg
IMG_20210107_123953_192.jpg
IMG_20210107_123843_926.jpg
IMG_20210107_123811_265.jpg
IMG_20210107_123744_005.jpg
IMG_20210107_123534_443.jpg
IMG_20210107_123405_228.jpg
IMG_20210107_123326_410.jpg
IMG_20210107_123442_253.jpg
IMG-20210105-WA0117.jpg
IMG-20210106-WA0019.jpg

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
 
Attachments

  • IMG_20210107_123442_253.jpg
    IMG_20210107_123442_253.jpg
    90.7 KB · Views: 1
Jamani mi naomba kurudishwa taarif 4 nanunua umeme wa elf tano unit 14msaada tafadhal mnibadilishie,matumiz yangu mi ni madogo sana cna jiko la umeme ,nna friji tv redio bac naombeni msaada,nliwahi pia tuma ujumbe hapa lkin cjawai jibiwa
 
Wanapenda kulalia watu, wanapiga kimya ukiwauliza ili swali maana it seem like kama wana-discourage wakati ni haki yetu wateja, mie wamenibadilishia meter alafu wanasuasua kunirudisha wakati ile meter ya awali nimedumu nayo kwa miaka 4 nikiwa kama mtumiaji mdogo
 
Onyesha namba ya mita tafadhali
 
Habari...

Hoja zangu ni mbili tu ambazo ziko mkoa wa tabora (Tabora mjini)

1. MUDA WA KUUNGANISHIWA UMEME BAADA YA MALIPO

Hivi kwanini mtu analipia pesa kwa ajili ya kuunganishiwa huduma ya umeme lakini inachukua muda mrefu kuunganishiwa umeme?

Haiwezekani, mnatoa quatation na control number, mtu analipa kisha anasubiri umeme kwa muda mrefu sana, hii ni uzembe na hali hii ndio inapelekea urasimu na rushwa

2. UMILIKI WA VIFAA

Unampa mtu gharama za kulipia umeme ikiwemo kuchangia/kulipia nguzo, na akilipia nguzo unamwambia nguzo mali ya tanesco, inakuwaje hapo,serikali inatoa nguzo kwa ajili ya wateja ili wapate umeme na waanze kulipia kwa kadri ya matumizi husika, lakini bado watu wanalipishwa nguzo na baadae kuambiwa nguzo ni mali ya tanesco

Image.PNG

Tanesco.... Badilikeni, mtu akilipa apate huduma muda husika na kama hamna vifaa au vitendea kazi basi msitoe quatation na control number hadi pale mtakapokuwa mmekamilika
 
Mvua kidogo tu mnapata kisingizio cha kukuta umeme au ndo kunguru wa usiku hao....yaani nyie jamaa nyie,kama mnasave gharama za uendeshaji kiaina si msema tu au mtoe tangazo la mgao wa umeme!?
 
Back
Top Bottom