TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,160
- 2,719
- Thread starter
- #9,161
TANESCO TUPO KUKUHUDUMIA MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA -24/7tanesco tegeta tunahujumiwa mita zikiharibika tunakaa wiki mbili tunadanganywa kama watoto, mimi ni mhanga nina wiki sasa wamaundi wananizingua
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO
1.JINA................................
2.SIMU...............................
3.MKOA.............................
4.WILAYA..........................
5.MTAA/KIJIJI/KATA.........
6.JINSI YA KUFIKA................
7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................
8.NAMBA YA MITA................
9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................
10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................
Zingatia
-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme
-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme
-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa
"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"