Tulitoa taarifa za zoezi la kubadili mita zilizokwisha muda wake hivyo kama ni mafundi wetu walifika basi ni muendele?o wa zoezi hilo
Juma S Mbaruku. CHALINZE PWANI. 0714362834Jina
Wilaya
Simu
Tarehe uliyolipa tafadhali
BUREGA, MJIMPYA WANAPOCHIMBA MAWEKIGOMA ENEO GANI
SIMU TAFADHALI
Tunaomba namba yako ya simu kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetuTanesco
Umeme wa Rea Mkoa wa Tanga wilaya ya Mkinga Vijiji vya Vuo,Boma,Mwaboza,Petukiza,mmefanikisha kukamilisha ingawa baadhi ya nyumba zimeshindwa kufungiwa kutokana na rushwa kubwa wanayoidai watumishi wenu kila nyumba(yani mwenye pesa ndyo atapata umeme)
Sasa mbona mmeishia kijiji cha Kastamu?,tena pale mlipoishia kuna nyumba mmechagua na zingine mmeziacha??Wananchi wanajua jinsi mnavyopiga pesa
Nawapa siri tu mjitambue
Mfanye mnavyoagizwa.
Sasa jamani tanesco vipi mbona kimya mafundi wamekuja juzi wameangalia wamesema wanatoa taarifa kitengo Cha mita baadaa ya hapo kimyaaa hata kuambiwa lini nitawasha taa dah naomba msaada basi hiyo mita nibadilishiwe mapema maana nakata wiki Sasa sina umemeeTumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji mpendwa mteja wetuSasa jamani tanesco vipi mbona kimya mafundi wamekuja juzi wameangalia wamesema wanatoa taarifa kitengo Cha mita baadaa ya hapo kimyaaa hata kuambiwa lini nitawasha taa dah naomba msaada basi hiyo mita nibadilishiwe mapema maana nakata wiki Sasa sina umemee
Mita 43002355196
Songea mjini
Kata msamala
Karibu mtendaji mtaa ostabay
Natanguuliza shukrani
Asanteni kwa huduma tayari nimefungiwa meter mpya kwa hiyo wazungu nawaangali shukrani SanaTumepokea taarifa kwa ufatiliaji mpendwa mteja wetu
Naomba niwaandikie pm tafadhaliTunaomba namba yako ya simu kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
Kiongozi habari, nipo mkoa wa njombe mji Makambako, nimejenga umbali wa takribani 1km kutoka Umeme wa REA ulipo ishia.Karibu sana mpendwa mteja wetu
Endelea kufurahia huduma zetu
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
MAKAO MAKUU
Tuomba Tangazo la kutujulisha kama mnazima umeme ..na sio mnaamua kututuzimia tu leo mbagala kipat mlizima umeme siku nzima bila taarifa yeyote ile..Je umeomba umeme kwa jina gani? Eneo? Namba yako ya simu tafadhali
Tafadhali fika ofisini kwetu kwa maelezo zaidiKiongozi habari, nipo mkoa wa njombe mji Makambako, nimejenga umbali wa takribani 1km kutoka Umeme wa REA ulipo ishia.
Naomba kufahamu natakiwa kupitia mchakato gani ili kuweza kupata Umeme huko!
Eneo hili ni kwa ajili ya kuishi na kufanya ufugaji
Nitashukuru kama nitajibiwa
Je umeomba kwa jina gani? Namba ya simu? TafadhaliNauliza huku Wilaya ya Rorya kuna shida gani. Tunaomba umeme hatupati huduma. Tumajaza form tangu mwezi wa tatu adi leo. Hakuna cha survey wala nini.
Ukiuliza unaambiwa tunajianda mara huduma imesitishwa watumishi wengine wanatoa lugha chafu.
Na waziri wa nishati alitangaza nguzo bure lakini huduma hamna. Mnataka nini ninyi tanesco wa wilaya Rorya?
Nimeriport nguzo imeoza na ina line nne za umeme nina zaidi ya wiki 3 wamekuja kuangalia na wamebaini niyakutoa sijui wamelwama wapi nyaya zipo juu ya bati sina amani kabisa.kituo ni cha tazara naishi kiwalan fatilia ref no3128 hiyoKaribu sana mpendwa mteja wetu
Endelea kufurahia huduma zetu
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
MAKAO MAKUU