Tatizo letu Kwa huku kimara Baruti hadi kilungule kumekuwa na tatizo la low voltage Kwa miaka mingi sana kiasi kwamba wakati mwingine nyakati za jioni utakuta nyumba yako haina Umeme jirani yako unawaka nyumba tatu unawaka nyingine hauwaki ni shida sana kama kweli mnajali wateja wenu tatueni hili tatizo kwasababu tunajua lipo ndani ya uwezo wenu na wala halihitaji mfadhili