Mi nilidhani pengine umeme kukatika kipind cha kiangazi ni sahihi kwa sababu Mvua hkn na maji ni shida ktk mabwawa sasa ni tofauti Hii ni masika mvua za kutosha mabwawa full Turbine halaf umeme ndo
 
Habari wadau na watumishi Wa Tanesco
Mimi ni mkazi wa baruti maeneo ya daraja la bajaji kuelekea kilungule njia ya umeme inayoanzia pale baruti hadi kilungule kila Siku inamatatizo ya low voltage kisha umeme kukatika na kurudi inaweza chukua hata siku mbili tupo gizani . Sasa mimi nina maswali mawili kwenu
(1)kama sisi wakazi wa hapa kimara karibu Kabisa na makao makuu ya Tanesco hali ni hii wenzetu vijijini hali ipo je?
(2)hili tatizo tunalo takribani miaka hata saba na zaidi je hii inamaanisha mmeshindwa kulitatua hili tatizo na kama mmeshindwa ni nani atatusaidia tuweze kuondokana na hili tatizo (nakumbuka pale baruti kuanzia ile transifoma ipo juu hadi mmeishusha chini tatizo likapungua kidogo lakini sikuhizi ndio limekua kubwa kuliko zamani )
Mwisho ninawaomba mjue kuwa tunawategemea kwakuwa matumizi ya umeme mnayajua tunawatoto wanahitaji kusoma n.k umeme ni muhimu katika maisha yetu mkitunyima umeme mjue mmetuadhibu vikali tunaomba Msaada namba yangu 0717297821
 
Tumepokea taarifa yako mpendws mteja wetu tunaifanyia kazi
 
KIWANDA CHANGU NANUNUA UMEME WA KATI YA TSH 200,000 HADI 300,000 KWA SIKU,JUMAINNE RADI IMEPIGA NA KUHARIBU MITA,CHA AJABU MAFUNDI WA TANESCO ILI KUNIWAHISHIA KUREKEBISHA HILO TATIZO KWA WAKATI WANANITAKA MPAKA NIWAPE POSHO,NA BAADA YA KUWALALAMIKIA NA KUWAAMBIA TATIZO LA KUTENHENEZA NA KUREKEBISHA MITA NI JUKUMU LA TANESCO WANAJIZUNGUSHA KUJA KUNIREKEBISHIA,NIMEPANGA KUMUONA MENEJA WA MKOA LABDA WATAKUJA,VERY UPSET,KIWANDA HAKIFANYI KAZI SIKU YA NNE MPAKA WATEJA HAWANIELEWI.
 
Nimebaini tunapotezeana mda, wiayani mkoani na kwenye mita ndao yakijamii tanesco mnafanana. Ala najiuliza kwanini mnatupotezea mda pia Fedha? Inawezekanaje uulize majina ya mlalamikaji, mkoa aliko, wilaya na namba ya Simu, kisha ukae kimya, watu watu tunaambiwa tutoe hela eti ndo tuletewe mita, ilihali tulikwisha fanya malipo halali kwa kuzingatia gharama halali. Ama Kweli paka ni paka tu, haijalishi analangi ipi, ilimradi anakamata panya. Ngoja panya waendelee kuuziwa mita kama viazi mtaani, ilihali ninyi mnatupotezea mda watu kwenye mitandao yakijamii.
Tunapata wakati mgumu sana kukufatilia swala ambalo halina taarifa kamili. Tunapoomba taarifa kamili na wewe kutupatia ni lazima tufanyie kazi swala lako, tunaomba taarifa kamili mpendwa mteja
 
Thread no 4082,4099.nimeeleza, Bukombe /Mbogwe Geita, imeshakuwa kero issue ya Mita za 3phase, Malipo toka Mwezi February na Mwanzoni March, hatuna huduma, tunazungushwa kila siku, Sasa Wameenda Mbali wanaomba chochote ili wakupatie mita, ambazo wengine wanaelezwa hazipo nitatizo la taifa. Then tunawaeleza mnaanza kupuuza.
Hii mbona tuliwasilana na wrwe mkuu
 
TANESCO naomba kusaidiwa Mimi nimelipia kufungiwa umeme lakini sijafungiwa umeme huu Mwezi wa tatu .. naomba unisaidie na mimi nipate Huduma ya umeme
Naitwa Leonard R Lazaro nipo bujingwa mwanza na nililipia kituo cha Nyakato. Namba yangu 0767101328 .. mnisaidie Jamani nimechoka kukaa gizani
TANESCO mbona mmekaa kimya siku zinaenda?
 
Back
Top Bottom