nyaya nzuri za kufanyia wiring ni aina gani? maana mnaweza mkanielekeza aina ili nikiingia dukani kununua rolu nami niwe na ufahamuu
Mkandarasi anayekufanyia wiring ndio anaweza kukuambia aina gani za wire sisi tunakushauri tumia mkandarasi aliyesajiliwa
 
Ni miezi mi nne sasa toka nilipie service line hapa nyakato mwanza, ila kila nikiuliza naambiwa nguzo hakuna wakati nilishasikia mtu akilipia nguzo anatakiwa awe amefungiwa umeme ndani ya wiki moja? embu mniweke sawa kuhusu hilo wanaojua kama haiwezekani mnirudishie hela yangu nikanunue solar
Umelipa kwa jina gani, kiasi, lini na namba yako ya simu mpendwa mteja
 
Asanteni sanaaaa kwa Taarifa lakini ujumbe huu ulichelewa kutufikia.
Mmeuandika na Tatizo tayari lishatokea muda mrefu kidogo.
Hili ni tatizo ambalo halikuwa kwenye ratiba hivyo inapotokea tatizo tunawajulisha
 
Mkoani shinyanga hakuna umeme, nimejaribu kucheck na custumer care wanadai ni gridi ya taifa, je utarudi lini?
 
Tanga hakuna umeme
Hivi wewe mjibu hoja za tanesco umesikia habari ya msiri mwaka huu ? Umeme umekatika mahali flani nchini kwa Mara ya kwanza katika miaka 100 iliyopita, haikuwahi tokea , sisi leo hakuna umeme nchi nzima
 
Ngara tangu waungwe kwenye grid umeme ni tatizo. Tangu jana hadi leo naambiwa umeme hakuna!!! Rudisheni majenereta!!!
 
Sababu ni nini mmekata umeme tena Mbezi Beach leo kuanzia saa 6 kasoro mchana hadi sasa? Hivi nyie watu mna matatizo gani lakini?
 
Mbona umeme haurudi jaman mnataka tulale gizani na mvua hizi.
Tanesco mnakera sana
 
Nimeandikiwa invoice ya Tsh 2500000 kuunganishiwa umeme. Je, Naweza nikalipa kiasi nikaunganishiwa umeme halafu nikamalizia deni au ni hadi nilipie pesa zote ndo nipate huduma?
 
Tangu jana mchana mpaka sasa Yombo vituka lumo hakuna umeme na hata namba ya dharula haipatikani!
 
Back
Top Bottom