TANESCO Hizo kero mbona hamjibu,au majibu ni Yale Yale ya wahudumu wenu

Nimelipia huduma ya kufungiwa Umeme tangu mwezi wa 2 mwaka huu mpka Leo hawajatufungia,kuna mpango gani? Na kwanini wanachelewesha au m nataka rushwa ,
Kilimanjaro,
Marangu magharibu,
Kyala-masereni,
0625792843
N.B
Msipo ijibu hii nitakuwa nime note kitu cha muhimu
 
Tumeipokea mpendwa mteja
 
Mwananchi mwenye kusubiri Utekelezaji wa HAPA KAZI TU.
Ahsante saana ,
Nashukuru kile nilichokiona na kukitolea taarifa hatimaye Leo kimerekebishwa.

Namshukuru saana mfanyakazi wa Tanesco mwenye no ya simu 0717928763 mtumishi huyu ameonesha dhana halisi ya utumishi wa umma.

Muda mwingi amekuwa akinipigia na kuniomba kuwa na subra kutokana na taarifa wanavyozipokea na alihitimisha kwa kuniomba nimuelekeze yeyote aliyepo jirani ili mafundi wamfuate kwa kazi.

Hakika kazi imefanywa natoa pongezi na shukrani.
 
Tunashukuru sana
 
huku ilala na buguruni mnakata kata ovyo bila taarifa shida nn jaman mbona hamutaki kwenda na kasi ya viwanda jana samaki zimeoza za biashara na leo pia aibu kwenu
 
Leo hii 20/10/2017,Umeme umekatika kiluvya gogoni, kwa kawawa na hondogo tangu asubuhi hadi sasa hivi sasa 12:56 jioni umeme hakuna, na imekuwa mazoea Umeme kukatika Mara KWA Mara maeneo haya, tafadhali tanesco ondoeni kero hii, ni usumbufu .
 
Kulikuwa na kazi ya kuboresha miundombinu hivyo muda mchache ujao umeme utarejea
 
Mm nasubiria umeme wa REA Kwa sasa walituwekea mambo wakatuhaidi kurudi ndani ya mwezi lkn hawajaonekana, nikishaweka ndonitapata la kuchangia.
 
Leo pia tumesimamisha uzalishaji umeme umekatika, natumai leo pia ni siku nzima hakuna umeme. Uboreshaji wa miundo mbinu utakamilika lini?
 
Jina
Eneo
Namba ha simu
Mkoa
Wilaya
Taarifa kamili hurahisisha utoaji wa huduma bora
 
Maeneo ya kiluvya gogoni, kwa kawawa na hondogo katika kata ya Kibamba wilaya ya ubungo mkoa wa DSM
 
Back
Top Bottom