Phase- means single/ 3phase!, Idadi ya waya zinazokuja kwa mteja. Kama ni mbili hiy ni single phase, kama nne hiyo ni 3phase supply!. Tarrif ni kundi la matumizi ya umeme!.

Ili Tanesco wawe kuuza umeme lazima wawagroup wateja wao kwenye tarif mbalimbali , wana tarif 1 mpaka 6 nafikiri!. Hapo tarif 1. Ni mteja wa kati ya unit 76- 7500kwh. Hawa wana bei yao per unit!, Tarf 4 ni 1-75kwh mtu anayetumia elfu 9 kwa mwezi, . T2 , t3, hao tunaambiwa ni viwanda Au mahotel makubwa!

Awali ya yote niwape shukrani kwa maelezo mazuri mnayoyatoa hapa.

Swali langu kwanini huwa hamuwashirikishi wateja wenu katika kuwagawa katika hizo Tarrif( makundi)?? Unakuta mtu ananyumba yenye kutumia taa za kawaida 3 na runinga lakini mnamuweka katika kundi la Tarrif 1.

Hamuoni hili ni tatizo ambalo linapelekea hadi watu kutafuta alternative ya kupunguza hizo gharama na kupelekea kujiunganishia kinyemela?

Swali la pili: Kwanini mnawabebesha wateja gharama za kuwasafilisha servers hadi sites kipindi cha kuunganishiwa umeme?

Tena kibaya zaidi hao masaveya walazimisha ni lazima usafiri uwe ni Gari bila kujua mazingira wanayokwenda.

Mfano nilienda office za TANESCO zilizopo Tangi bovu Dsm nikahitaji survey. Mahali tulipokuwa tunaenda Gari haipiti (Daraja lillikuwa limevunjika)lakini chaajabu walikataa KWENDA na usafiri wa pikipiki kwa maana ndio uliokuwa unafikika site mpaka Daraja lilipo rekebishwa baada ya miezi sita

Swali la Tatu:Inapotokea Nguzo ya umeme ikawa imechimbiwa kimakosa eneo husika mfano katikati ya kiwanja cha mtu ni hatua zipi za kufuata na gharama zinamuhusu nani katika kuhamisha hiyo nguzo ??

Akhsante nasubir majibu yenu
 
Majibu yako ni kama ifutavyo
1.kuhusu khwashirikisha wananchi kwenye kupanga makundi ya matumizi (tariff)
Wateja hupewa nafasi ya kutoa maoni kwenye bei pendekezwa,mara baada ya bei kupitishwa na EWURA ni jukumu letu kuweka wateja kwenye madaraja yanayoendana na matumizi yao kwa mujibu ya sheria iliyopitisha

2.kutafuta alternative
Jibu ni kwamba sheria za Nchi ikiwemo sheria ya makosa ya jinai (Penal code) zinatumika kwa ubalifu wowote ule dhidi ya umeme au miundombinu yake

3.mteja hapaswi kuchangia gharama za kufanyiwa vipimo yaani survey

4.mteja anawezakuomba nguzo kuhamishwa lakini atapaswa kulipia gharama za nguzo kuhamishwa ukizingatia maeneo mengi hayajapimwa hivyo kusema kimakosa inakuwa sio sahihi.
 
Majibu yako ni mazuri sana,lkn bado hujaweka wazi,gharama za kuhamisha hizo nguzo anastahiki kubeba nani?

Mfano mmechimbia nguzo kwnye kiwanja changu na hamkunipa taarifa siku nafika kwenye site yang nakuta nguzo je gharama za kuitoa zinamstahiki nani?
 
Majibu yako ni kama ifutavyo
1.kuhusu khwashirikisha wananchi kwenye kupanga makundi ya matumizi (tariff)
Wateja hupewa nafasi ya kutoa maoni kwenye bei pendekezwa,mara baada ya bei kupitishwa na EWURA ni jukumu letu kuweka wateja kwenye madaraja yanayoendana na matumizi yao kwa mujibu ya sheria iliyopitisha

2.kutafuta alternative
Jibu ni kwamba sheria za Nchi ikiwemo sheria ya makosa ya jinai (Penal code) zinatumika kwa ubalifu wowote ule dhidi ya umeme au miundombinu yake

3.mteja hapaswi kuchangia gharama za kufanyiwa vipimo yaani survey

4.mteja anawezakuomba nguzo kuhamishwa lakini atapaswa kulipia gharama za nguzo kuhamishwa ukizingatia maeneo mengi hayajapimwa hivyo kusema kimakosa inakuwa sio sahihi.

Asante kwa majibu yenu

Ila napenda mnijuze zaidi kutoka katika maswali yangu ya msingi

1: Huwa mnazingatia nini wakati wa kugawa hayo makundi ikiwa ndo kwanza mteja anaomba kuunganishiwa katika nyumba ya makazi hakuna mteja ambaye huwa anaambiwa kuhusiana na Tarrif aliowekwa na sababu za kuwekwa katika Tarrif hiyo)

2.Je ni nani anapaswa kumsafirisha survey KWENDA kupima kwa mteja??( nimteja aliyeomba huduma au TANESCO)

3. Ni zipi Gharama za kuhamisha nguzo ndani ya mita moja?
 
Habari tanesco, ningependa mnipatie ufafauzi wa hili lifuatalo, mimi nina fremu ambayo ina luku yangu, bahati mbaya hilo eneo linatakiwa kubomolewa, kabla ya kubomoa nawajulisha mje mchukue mita ili kibanda kikibomolewa luku isalimike mnakuja tanesco mnaichukua.

Bahati nzuri napata fremu nyingine maeneo hayo hayo ambayo hapabomolewi ila bahati mbaya hiyo fremu mpya haina luku na mimi nataka kutumia luku yangu ile ya mwanzo ambayo niliwapigia simu mje muiokoe kupisha ubomoaji.

Je nifuate utaratibu gani niweze kupata luku yangu ileile?
 
Habari tanesco, ningependa mnipatie ufafauzi wa hili lifuatalo, mimi nina fremu ambayo ina luku yangu, bahati mbaya hilo eneo linatakiwa kubomolewa, kabla ya kubomoa nawajulisha mje mchukue mita ili kibanda kikibomolewa luku isalimike mnakuja tanesco mnaichukua, bahati nzuri napata fremu nyingine maeneo hayo hayo ambayo hapabomolewi ila bahati mbaya hiyo fremu mpya haina luku na mimi nataka kutumia luku yangu ile ya mwanzo ambayo niliwapigia simu mje muiokoe kupisha ubomoaji. Je nifuate utaratibu gani niweze kupata luku yangu ileile?
Andika barua kwa manager wa mkoa wa eneo lako uku ukuonyesha jina la mita ya kwanza sababu za kutolewa na hitaji lako
 
Duh! Yaan siamin kama mmenijibu haraka na mapema namna hii, kweli tanesco mmebadilika na hongeren kwa kazi nzuri maana ingekuwa tanesco ya zaman ninayoijua mimi nisingejibiwa ama ningejibiwa hata after 1 week! Asante Tanesco mpya
 
Asante kwa majibu yenu

Ila napenda mnijuze zaidi kutoka katika maswali yangu ya msingi

1: Huwa mnazingatia nini wakati wa kugawa hayo makundi ikiwa ndo kwanza mteja anaomba kuunganishiwa katika nyumba ya makazi hakuna mteja ambaye huwa anaambiwa kuhusiana na Tarrif aliowekwa na sababu za kuwekwa katika Tarrif hiyo)

2.Je ni nani anapaswa kumsafirisha survey KWENDA kupima kwa mteja??( nimteja aliyeomba huduma au TANESCO)

3. Ni zipi Gharama za kuhamisha nguzo ndani ya mita moja?
1.makundi ya wateja yanagawanya kwa kuzingatia matumizi ya mteja mfano mteja anayetumia chini ya unit 75 kwa mwezi anakuwa tarif 4, anayezidi unit 75 mpaka 7500 anakuwa tarif 1nk, aitha kwa wateja wanaounganishiwa mara ya kwanza taratibu ni kwamba wa mijini wote hufungiwa kwenye tarif 1 na vijijini tarif 4 kisha hupimwa kwa kipindi cha miezi sita kama wanakidhi kuwa kwenye makundi hayo au kupelekwa mengine kwa kuzingatia matumiz yao ya umeme

2.tumekujibu kuwa haupaswi kumsafirisha survey bali ni kazi yetu

3.kuhamisha nguzo inategemea ni ya line kubwa au ndogo na mpaka tufike tukupr gharama za makadirio(quotation) hivyo andika barua kisha tutakupa gharama za makadirio
 
Msinichoke kwa maswali

Swali la mwisho: Nini napaswa kufanya endapo ninakuwa nimewekwa katika Tarrif ifauyi na matumizi yangu.

Mmesema kuwa wateja wote wa MJINI wanaounganishwa Mara ya kwanza huwekwa katika Tarrif 1 na kisha kupimwa kwa muda wa miezi sita. Je kama situmii zaidi ya units 75 kwa mwezi na bado nipo katika Tarrif 1zaidi ya mwaka na miezi kadhaa nini napaswa kufanya ili kuwekwa katika Tarrif4
 
Unapaswa kufika ofisi inayokuhudumia kisha utajaza fom nasisi utakuja kwako kukagua miundombinu yako na kujiridhisha kama kweli matumizi yako ni hayo au kuna wizi wa umeme kisha utabadilishiwa
 
Shukran na Akhsanteni sana kwa majibu na ufafanuzi wenu
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUTOKEA HITILAFU YA UMEME MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI

Shirika la Umeme Tanzania Mkoa wa Kinondoni Kaskazini, linawataarifu Wateja wake kuwa njia ya umeme ya Ilala/ Oysterbay imepata hitilafu na Mafundi wanafanya jitihada ilikurejesha umeme kwa haraka.

Maeneo yanayoathirika ni baadhi ya maeneo ya Kinondoni, Mwananyamala, Osterbay, Msasani na Masaki, Ada Estate, Leaders na maeneo ya Airtel.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.

Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA UMEMEMKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na kazi ya maboresho ya miundombinu ya umeme kwa kufanya kazi ya kubadilisha nguzo zilizooza, kuimarisha viungio vya umeme na kukata miti inayogusa njia za kusambaza umeme, iliyolenga kuimarisha ubora na upatikanaji wa umeme Siku ya Jumanne, tarehe 24 Octoba,2017 kuanzia saa 03.00 Asubuhi hadi saa 12.00 jioni

Kutokana na matengenezo hayo baadhi ya maeneo yatakosa umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Kigamboni yote

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:

Dawati la dharura Mkoa wa Temeke 0714485488, 0783360411, 0765654767 au
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400/0768 985 100.

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook/twitter.com/tanescoyetu

Barua pepe:
customer.service@tanesco.co.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
23/10/2017
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke linawataarifu Wateja wake kuwa njia ya kusafirisha umeme ya Msongo wa Kilovolti 33 ya Chang'ombe, imepata hitilafu leo Oktoba 24, 2017, saa 05:10 Asubuhi.

Maeneo yanayokosa umeme ni:
Baadhi ya maeneo ya Chang'ombe, Superdoll, Bora Industry, Tanzania Distillers, SBL, Changombe Police, TCC,

Mafundi wanaendelea na kazi kuhakikisha umeme unarudi kwa wakati.

Imetolewa na: Ofisi ya Uhusiano

TANESCO Makao Makuu

24/10/2017
 
Hivi hii forum ipo kwaajiri ya taarfa za kukata umeme tu? Maana tuki uliza hakuna reply, japo trouble shooting tu. Kimyaaa.
 
Mteja ipo kwa ajiri ya kujibu matatizo yote, utoaji na upokeaji wa taarifa maoni na ushauri pia.

Pengine swali halikuonekana samahani karibu uulize ili upate majibu
 
Back
Top Bottom