Nipo Goba Wilaya ya Ubungo kero yangu ni kuwa nimelipia tangu mwezi July ili niwekewe umeme lakini hadi Leo nazungushwa tu hada kidogo nishatoa ila sapati huduma 0655969594 naomba msaada please
 
tarehe: 17/10/17
muda : 09:31 asubuhi
kiasi : 5000
mita : 54150797014
tid: 4JH8WXT0YA
simu : 0755316703

sijapokea token
 
Habari! Tatizo langu nimekosea kununua umeme kwa njia ya tigopesa mita yangu no ni 0134319587 lakini nimenunulia 01343197859 kimakosa kupitia no hii 0679244749 dk 5 zilizopita.
Mkoa Dar
Wilaya Temeke
Kata Mtoni kijichi.
ahsanteh
Kwa swala lakomtafadhi fika ofisini na huo umeme
 
nahitaji kufunga umeme nyumbani kwangu surveyor ameshakuja,kila nikiomba wanipatie bill kwa ajili ya malipo wananiambi CWO bado haijaenda mkoani zaidi ya miezi 2 ofisi ya kisarawe
 
nahitaji kufunga umeme nyumbani kwangu surveyor ameshakuja,kila nikiomba wanipatie bill kwa ajili ya malipo wananiambi CWO bado haijaenda mkoani zaidi ya miezi 2 ofisi ya kisarawe
Jina ulilotumia
Namba ya simu tafadhali
 
Halafu nyie TANESCO jibuni kero zote,hata kama ziko nje ya uwezo wenu mseme tu,sio mnakaa kimya au nyie ni matapeli,
Kuna maswala ambayo uliiliza bila kutoa taarifa kamili tunashindwa kukupatia ufumbuzi,mfano mkoa, wilaya ,namba ya simu, swali au lalamiko namba ya mita
 
tarehe: 17/10/17
muda : 09:31 asubuhi
kiasi : 5000
mita : 54150797014
tid: 4JH8WXT0YA
simu : 0755316703

sijapokea token
ulinunua umeme mara mbili
token zote ni hizi hapa
upload_2017-10-17_15-59-35.png
 
TANESCO makao makuu mnafanya kazi moja nzuri sana humu,
Mimi baada ya kufanikisha mambo yangu kupitia ukurasa huu
Nimewaleta humu jamaa zangu wengi sana.

Na ninayo furaha kusema na wao wamesikilizwa na kero zao zimeanza kufanyiwa kazi.

Ushauri wangu kwenu,
TANESCO hivi sasa anzeni kuwaondosha wafanyakazi wanaofanya kazi kwa mazoea hawa ndio wanaotufanya sisi au wateja wenu kwa ujumla tukimbilie humu kuja kutoa kero zetu.

Ila nyuma yetu wapo watanzania wengi sana wana kero zao nyingi sana na awana pa kukimbilia.

Awana smartphone awajui namna ya kujiunga JF
Ombi langu
Nendeni mkapeleke huduma kama hii facebook au Twitter
Angalau muwe mnatatua kero kupitia hizo kurasa za FB na twitter kwa wiki mara 2

Binafsi kiongozi aliyebuni ukurasa huu wa kero nampa hongera sana kwa ubunifu huu

Shirika la TANESCO hivi sasa linapata heshima kubwa kupitia uzi huu.
Aksanteni sana.
 
TANESCO makao makuu mnafanya kazi moja nzuri sana humu,
Mimi baada ya kufanikisha mambo yangu kupitia ukurasa huu
Nimewaleta humu jamaa zangu wengi sana
Na ninayo furaha kusema na wao wamesikilizwa na kero zao zimeanza kufanyiwa kazi
Ushauri wangu kwenu,
TANESCO hivi sasa anzeni kuwaondosha wafanyakazi wanaofanya kazi kwa mazoea hawa ndio wanaotufanya sisi au wateja wenu kwa ujumla tukimbilie humu kuja kutoa kero zetu
Ila nyuma yetu wapo watanzania wengi sana wana kero zao nyingi sana na awana pa kukimbilia
Awana smartphone awajui namna ya kujiunga JF
Ombi langu
Nendeni mkapeleke huduma kama hii facebook au Twitter
Angalau muwe mnatatua kero kupitia hizo kurasa za FB na twitter kwa wiki mara 2
Binafsi kiongozi aliyebuni ukurasa huu wa kero nampa hongera sana kwa ubunifu huu
Shirika la TANESCO hivi sasa linapata heshima kubwa kupitia uzi huu.
Aksanteni sana.
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu tumepokea maoni na ushauri wako
 
Tanesco Lushoto tunaomba mtuondolee hii kero ni mwaka wa 3 sasa nguzo za TANESCO zimesimama lakini hakuna utekelezaji kwenye kitongoji cha mwisho kwenye mradi wa usambazaji umeme Kijijini Kwekitui TANESCO mkoa wa Tanga tunaomba msaidie hili.

IMG_20171018_120803.jpg
IMG_20171018_120540.jpg
 
Back
Top Bottom