Ule na cha usiku kabisa
Muwe mnatembea msizubae tu hapo darNi wapi huko mkuu?
Taa za mchina zipo k.koo🤣Hizo taa sio za bongo, tumekushtukia
Sh ngapi na me nikanunue nipendezeshe chumbaTaa za mchina zipo k.koo🤣
Nilikuwa eneo hili giza kabisaMbezi kwa Musuguli hakuna umeme
Kuna line ya jeshi huko huwa haiguswiNipo kimara upo
USSR
Upo UnawakaIkulu hamna umeme
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣Usikute tanesco wameishiwa Luku
Sh ngapi na me nikanunue nipendezeshe chumba
Jack Palladino naomba na mimi taa kama hiyo.Mwambie akiwa anakuja mbagala akununulie kama zawadi kama anakupenda kweli
Jack Palladino naomba na mimi taa kama hiyo.
Muhimu hiloAkikupa niite nipige nayo self
Usikute tanesco wameishiwa Luku