chuse tbr
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 485
- 549
Tanesco msaada kwa huyu mama amefiwa na mumewe sasa ni mjane na hana kazi kwenye mambo ya msiba watu walitumia sana umeme akahamishwa tariff kutoka ile ndogo kabisa basi baadaya kugundua kuwa anapata unit chache akinunua akaenda Tanesco Tabora akaambiwa akatumia kwa mwezi matumizi yake yasipofika unit 50 arudi ajaze form arudishe kwa tariff ile ndogo ila ameenda wiki hii amembiwa ukishatolewa hurudishwi tena kaja mnyonge hadi huruma na uwezo kweli hana hebu msaidieni arudi tariff ile huyu mama jama mjane na hana uwezo mwishowe atashindwa huu umeme wenyewe, ita namba yake ni 01320663295, Tabora mjini maeneo ya Ali Hassan Mwinyi. Namba yake ya simu ni 0785356230
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app