verianus
Member
- Jan 27, 2015
- 29
- 5
Mm nimteja nimeleta malalamiko tanesco mbezi baada ya gari kugonga nguzo tuliwajulisha wakaja watu wa emergency wakakata umeme na mita wakaiweka kwa mjumbe wa serikali za mtaa
Tangu mwezi wa 3 mpaka leo hawajaturudishia umeme na tulipewa TB namba 4394 tumezunguka tanesco mpaka tumechoka na umeme hatujarudishiwa nadhani kupitia uzi huu mbezi wajirekebishe nadhani tutarudishiwa umeme hata kesho
Cm tuliyopewa haipokelew na akipokea ni mdada majibu yake cyo ya mtumishi wa serikali ya awamu hii ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app