TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,584
- 2,104
- Thread starter
- #6,381
Wananchi ya maeneo hayo ya Mradi tunategema mwishoni mwa mwezi huu nane Mradi huu wa Peri Urban utaanza na kujibu kero za kukosa umeme kwa haraka zaidi.Huku Chanika mtaa wa Zogo Ali mlileta nguzo kipindi cha uchaguzi wa marudio (baada mwita kuhama chama) baada ya uchaguzi na Mh Mwita kushinda mkaja mkabeba nguzo zenu,
Mlitujazisha fomu, kimia mpaka leo
Naomba kuwauliza
Mtaa wa zogoali tupo kwenye Rea namba ngapi maana hapa ni mjini kabisa
. Inaonekan mlileta nguzo kisiasa tu ili mgombea apate kura maana hata diwani naye kura alipata na bado tupo naye kigazani
Nilini mtaleta umeme kama hamna bajeti je mpo tayari kwa wale wananchi wenye uwezo kuwasambazia umeme kwa bei nafuu???