Huku Chanika mtaa wa Zogo Ali mlileta nguzo kipindi cha uchaguzi wa marudio (baada mwita kuhama chama) baada ya uchaguzi na Mh Mwita kushinda mkaja mkabeba nguzo zenu,
Mlitujazisha fomu, kimia mpaka leo
Naomba kuwauliza
Mtaa wa zogoali tupo kwenye Rea namba ngapi maana hapa ni mjini kabisa
. Inaonekan mlileta nguzo kisiasa tu ili mgombea apate kura maana hata diwani naye kura alipata na bado tupo naye kigazani
Nilini mtaleta umeme kama hamna bajeti je mpo tayari kwa wale wananchi wenye uwezo kuwasambazia umeme kwa bei nafuu???
Wananchi ya maeneo hayo ya Mradi tunategema mwishoni mwa mwezi huu nane Mradi huu wa Peri Urban utaanza na kujibu kero za kukosa umeme kwa haraka zaidi.
 
Habari poleni na majukumu ya kujenga taifa binafsi nashukuru sana kwa kupata huduma zenu na kwa uweledi mkubwa nashukuru sana bado tuna subiri kusajiliwa metre mpya TANESCO
 
Mimi naishi Kibaha Madafu.
Ninapoishi na wananchi wengine zaidi ya kumi hatuna umeme kwasababu tunatakiwa kupata nguzo tano.
Hamuoni kuna haja ya kutoA nguzo hizo bure ili kupata wateja?
Ni eneo lenye wakazi wengi na tayari tumeshajaza form za maombi hapa Mlandizi.
0718505991
 
Naomba kujuzwa, kama mi binafsi nimefuatilia kuunganishiwa umeme,, nikaambiwa Nguzo ni Changamoto... Je Kwa kuwa Nguzo zinapatikana IRINGA,, nakaona ni Busara nikazifuata mwenyewe na kuzileta Site.. Je Shida inakuwa nini tena Usumbufu Upo pale pale..
 
Inaelekea wamebadili ule utaratibu wa WATUMIAJI UMEME WADOGO. Nami nilikuwa nanunua hivyo hivyo, na matumizi yangu kwa mwezi, ni unit 50. Bila taarifa, naona nashindwa kununua kwa mpesa. Napewa namba nipige ili nipewe namba za kubadirishia mfumo wa kununulia.
Kama wameamua kufuta ule utaratibu, kwa nini kimya kimya?
Mimi nikinununua umeme wa 5000 napata unit 13.9 wakati awali nilikuwa napata unit 14 na point
 
Kata ya itende,mbeya mjini,mmesimika nguzo tuuu,mkapotea!!!ni wiki sasa imekwisha!!mini tatizo?!hakuna Mita au nyaya zinasumbua????!!😟😟😟😟😟😟😟
 
Naomba kuelimishwa, nimelipia umeme tangu tar 23 May 2019. Eneo Mamsera Juu Wilaya ya Rombo, Kilimanjaro, hadi leo sijapata huduma. Namba ya utambuzi 204 Bill 991031038449. Tatizo ni nini na nitapata huduma lini? au nifanye nini kupata huduma hii? Contact Me 0754 363 941. Thanks
 
Aisee Tanesco nikinunua umeme napewa mchache sana
Na matumizi yangu ni chini ya unit 1.5 kwa siku


Mfano nikinunuaa wa 2000/= napata 5.7 unit
While jirani anamatumizi makubwa kuliko mm anapata wa sh 2000/=14.87 Unit

Naitaj kujua namna yakufanya niweze pata umeme wa gharama nafuu kama jirani yangu.
 
Back
Top Bottom